Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Ha ha ha hapa kama wamekuelewa nenda kule kwenye uzi wao unaitwa wanaochukua Malaya wa badoo sijui tinder uone wanavyofanya bidii kwenye uzinzi! Ni balaa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bado MTU aseme Kwa nini hafanikiwi
 
Hapo nimemuita muda kweli, hajatokea. Ana kazi ya kunisengenya tu huku na kwanini hanimention?

kajekudya Honga Hisense huko acha janja janja! πŸ˜… Na ukihonga tu huko na mimi napiga parefu! Ila nimekumbuka nina deni πŸ€”πŸ€­
Sijakuona upande wa pili, karibu
 
Anayefilisiwa na mwanamke ni mlala hoi na si tajiri.

Imagine mtu pesa zake zinaongezeka akifanya zinaa, huyu unamfilisi vipi yaani? Unaanzaje kwa mfano?
Kumbeee hapo sawa ...ila sio sawa moja kwa moja
 
Siku nikitaka kufanya new application, utakuwa shortlisted jiandae Kwa usahiliπŸ˜‰πŸ˜‰
Ohooo.mbona na mm hizo mambo nimeshazipita za usajili kwa sasa nimesha sign mkataba wa kudumu ambao termination yake ni kifo tuu. πŸ˜† πŸ˜†
 
Kuna watu mada kama hizi hawazipendi,unajua kwanini? Kwa sababu zinaondoa na kuharibu ajenda zao! Trust me kuna mambo hayako kwa bahati mbaya! Sasa ikitokea kuna mtu akawa kama anataka kuwasanua hivi lazima ashughulikiwe mapema!

Lakini kiufupi katika taifa lolote ukishaweza kuwaharibu vijana na wakashindwa kufikiri vizuri na ukawaweka busy na vitu vya kipuuzi basi hilo taifa ni mfu! Si mnaona wenyewe siku hizi watoto wa kiume wanashindana na dada zao?

Angalia mitandao yote ya kijamii ni upuuzi tu umejaa..na ukijifanya uko busy na mambo ya msingi utashangaa kuna video au picha ina pop up bila ridhaa yako..lengo ni kukuvuruga...now days huwezi kuangalia mitandao ya kijaa kwa amani..nenda twitter uone balaa..lengo watu wanapush agenda zao..na wamefanikiwa.
 
Ohooo.mbona na mm hizo mambo nimeshazipita za usajili kwa sasa nimesha sign mkataba wa kudumu ambao termination yake ni kifo tuu. πŸ˜† πŸ˜†

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Barikiwa Mkuu.
Nitaeleza Wakati mwingine Aina ya Vifo, sio ajabu MTU akawa Kifo
 
Sasa sijui umeandika nini hapa. Maana unahama hama kama Kambale kwenye tope.

Hebu weka hoja zako katika mstari tukuelewe maana hapa unaanza kusound personal sana kwa jamaa yetu.
 
Mbona kama una muattack taikuni wetu as if u have personal issues nae?!

Kama una hoja kinzani kwann usiiwasilishe kwa namna ya utulivu badala ya hii ya kushambuliana.
 
BBC:Mwanaume akifikisha umri wa miaka 35 kuna hatari ya kupata mtoto mwenye USONJI.

Mwisho wa kunukuu
Then marafiki zangu wote wangepata watoto wenye usonji. Maana wengine wamepata watoto from 30+.

Anyways ubora wa afya ya akili ya mtoto unachangiwa na mayai ya mama pia. So its important kutazama factors zinazo affect ubora wa mayai na mbegu.

Mfano watoto wengi wanazaliwa na matatizo ya kiafya na akili sababu ya lishe mbovu ya watoto wa kike wanayokula sasa, matumizi ya dawa vibaya mfano contraceptives, matumizi ya vipodozi vyenye kemikali mbaya mwilini zinazopenya wakiwa salooni kuseti nywele plus wanazopakaa.

Mwanaume ana asilimia ndogo sana katika kuharibu mtoto na mostly ni DNA na genes hapo ndio huleta shida. Ila kama yupo poa anaweza zaa hata akiwa na maika 60 na watoto wakatoka vema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…