Huyo mnayedai Taikun ni Uchwara, Huyo ni mtu mwenye chuki dhidi ya Wanawake, hata kumtishia Mama ake Dada ake Bibi yake, hauoni kuwa yeye ni Misogynist..
Oh Mara mfanyabiaahara, mara mwanafunzi, Ni mwongo mwongo tu. Mnajibishana kana kwamba kuna wengine wanakubaliana na uchafu wenu, ati ukweli! Hakuna lolote lile zaidi ya Kujenga chuki dhidi ya Waafrika. na Jamii ya Watanzania.
Hakuna sehemu yeyote ile ambayo mnaweza bandika ushenzi wenu. Chukua neno kwa neno ubandike Faisbuk au Twiiita uone kama bandiko litakaa. I dare you!
Katika maandishi yake Humu JamiiForums yote kuhusu wanawake, iwe pisi kali au hili bandiko ni la Chuki. Linalenga na dhamira potofu, hasi na uhasama kwa Jamii yeyote ile Duniani.
We do not want your "Tobaco Brides" hatutaki kuzaliana kama mnavyozaliana na kaka na dada zenu hatutaki!
Tatizo huwa mnajiona kuwa ni wajibu wenu kuwepo na uhitaji wakumdhibiti Mwanamke na hizo ni fikra za Kimbari ,ni Fikra za Oswald Spangler pamoja na Sigmud freud. Ni watu hatari kwa Jamii.
Sambamba, kwa ushetani wenu na uovu mnaoendelea kueneza, mtashindwa tu. Mnaamini kuwa ni wajibu wenu kuongoza wale wanaoonekana dhaifu, mfano mzuri tu Ni Wanawake hawa Wakiafrika tena Vijana. Alas you are Insecure, Petty and Ignorant
Narudia, Huyu Hererl ni Mbaguzi A Misogynist kama nyie wengi mnaomtetea na Bandiko lake hili na mengine, Njama zenu Mawazo yenu hayana tofauti na yale ya Trump na wenzake
Herieri Has no moral authority, let alone education or any proven research to lecture our Women and or Men in any Social Subject. Let alone our Society.
Mkalegeee, na mchomeke hapa hapa Duniani.
We do not want you to instill your values nor your evil Traditions amongst our Youth.
Sasa muitane tuwajue
Aluta Continua.