SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ndivyo Inavyonekana hivyo....pamoja na Kuwatelekeza Mama zetu.Kwa hiyo tuwe na wanaume wrnzetu?
Ataeleweka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo Inavyonekana hivyo....pamoja na Kuwatelekeza Mama zetu.Kwa hiyo tuwe na wanaume wrnzetu?
MhhhKama ni hivi basi malengo hujayaweka sawasawa. Tangu nazaliwa, kujituma ndani ya maisha yangu hakujawahi kuendeshwa na uwepo wa mwanamke. Ninamalengo ila kamwe hayaendeshwi na uwepo wa mwanamke.
Nimefurahi umeona hilo.
Mbona unawaza maasi hivi ndugu. Yaani kwako wewe unaamini maisha ya mwanaume yanaendeshwa na uepo wa mwanamke and never vice-versa. Unaeneza chuki kupitia personal attacks kwamtu aliyeamua kujiweka mbali na wanawake kwasababu tu ya mapitio aliyopitia baada ya kujihusisha nayo. Tangu utotoni naliona mwanamke alivyojitahidi kujitenga na mwanaume hata kuleta mashindano aonekane bora na hata ndani ya mahusiano nimepitia various consequences kwakumsaidia mtu ambaye anaamini ni bora kuliko jinsia nyingine. Hamkuwafunza wala kuwachunga mabinti juu ya haya kwawanayojaribu kuyapush unnecessarily ila leo wataka kumtukana na kumpa lawama mwanaume kuwa anaeneza chuki. Be careful my brother. Hamna mtu asiyependwa kujali, the more you push them away the more they will continue to pull away. That is what women did, bila kujua a reverse card when played on you, you will surely cry and regret. Yalitabiliwa haya ndugu, chungeni mabinti sio kutupia lawama vijana. Ila pia kasi na hamu ya kujitafutia ikiletwa na mwanamke basi hukua na maono juu ya future yako, maana mwanamke awepo asiwepo I still want a good house, an expensive car, to heavily support my parents and relatives and live a life not worrying about having less cash. Acha chuki chief.Mhhh
Unatumia nguvu zako kubishana na hili thenge??? Si uliweke kwenye ignored list??Mbona unawaza maasi hivi ndugu. Yaani kwako wewe unaamini maisha ya mwanaume yanaendeshwa na uepo wa mwanamke and never vice-versa. Unaeneza chuki kupitia personal attacks kwamtu aliyeamua kujiweka mbali na wanawake kwasababu tu ya mapitio aliyopitia baada ya kujihusisha nayo. Tangu utotoni naliona mwanamke alivyojitahidi kujitenga na mwanaume hata kuleta mashindano aonekane bora na hata ndani ya mahusiano nimepitia various consequences kwakumsaidia mtu ambaye anaamini ni bora kuliko jinsia nyingine. Hamkuwafunza wala kuwachunga mabinti juu ya haya kwawanayojaribu kuyapush unnecessarily ila leo wataka kumtukana na kumpa lawama mwanaume kuwa anaeneza chuki. Be careful my brother. Hamna mtu asiyependwa kujali, the more you push them away the more they will continue to pull away. That is what women did, bila kujua a reverse card when played on you, you will surely cry and regret. Yalitabiliwa haya ndugu, chungeni mabinti sio kutupia lawama vijana. Ila pia kasi na hamu ya kujitafutia ikiletwa na mwanamke basi hukua na maono juu ya future yako, maana mwanamke awepo asiwepo I still want a good house, an expensive car, to heavily support my parents and relatives and live a life not worrying about having less cash. Acha chuki chief.
Bas sawa ila tafuta mshauri wa saikolojia utakua vizur tu mdadaWapi aliposema msiwape pesa Wanawake Malaya? Inawezekana hapo sikusoma au wewe unakisia kisia tu ndilo alivyomaanisha....na kwa mantiki hiyo atakuwepo mwingine atakaye kisia kwamba anamaanisha ampuuze hata mama yake? au na huu ndio "Uzuzu" anaolazimisha?
Au tunazungumzia Ukimbari tena? Kwani umekosa Pisi kali wa aina yake anayotangaza humu?
Au "Wanawake Malaya" sio Wanawake kamili....hawana maku?
Ataeleweka tu.
...endelea na maisha yako mie sina la kukuahidi.
Usinitishe.Mbona unawaza maasi hivi ndugu. Yaani kwako wewe unaamini maisha ya mwanaume yanaendeshwa na uepo wa mwanamke and never vice-versa. Unaeneza chuki kupitia personal attacks kwamtu aliyeamua kujiweka mbali na wanawake kwasababu tu ya mapitio aliyopitia baada ya kujihusisha nayo. Tangu utotoni naliona mwanamke alivyojitahidi kujitenga na mwanaume hata kuleta mashindano aonekane bora na hata ndani ya mahusiano nimepitia various consequences kwakumsaidia mtu ambaye anaamini ni bora kuliko jinsia nyingine. Hamkuwafunza wala kuwachunga mabinti juu ya haya kwawanayojaribu kuyapush unnecessarily ila leo wataka kumtukana na kumpa lawama mwanaume kuwa anaeneza chuki. Be careful my brother. Hamna mtu asiyependwa kujali, the more you push them away the more they will continue to pull away. That is what women did, bila kujua a reverse card when played on you, you will surely cry and regret. Yalitabiliwa haya ndugu, chungeni mabinti sio kutupia lawama vijana. Ila pia kasi na hamu ya kujitafutia ikiletwa na mwanamke basi hukua na maono juu ya future yako, maana mwanamke awepo asiwepo I still want a good house, an expensive car, to heavily support my parents and relatives and live a life not worrying about having less cash. Acha chuki chief.
Jibu hoja....tsk tsk yale yale kwa hiyo nikiwa mdada nisikujibu...nisidadavue?Bas sawa ila tafuta mshauri wa saikolojia utakua vizur tu mdada
kiufupi ni kwamba munajizuzua tu lakini hamuwezi kuwawacha wanawake.Shida ni kwamba, hauwezi kuwapuuzia. Na ndio wanafanya tutafute pesa Kwa nguvu na jitihada zote.
Mwanamke akikukataa unaitafuta pesa Kwa hasira zote kuweka heshima.
kiufupi ni kwamba munajizuzua tu lakini hamuwezi kuwawacha wanawake.
Bas sawa ila tafuta mshauri wa saikolojia utakua vizur tu mdada
Wapi hapo Unapojadiliana.Mchezo wa kujadiliana na Zuzu kuna Wakati ni mtamu
Mbona kama una hasira sanaUmesoma toka mwanzo, Umenisoma toka mwanzo?
Personal attack my foot. yeye amefanya nini.?
Unatizama upande mmoja na wewe.
Usinifundishe.
He is and will Remain A Misogynist . Bisha
Lakini Na wewe unatumia lugha kali pia sanaWapi hapo Unapojadiliana.
Ngoja nikuongezee utamu....
.....Ukiambiwa ukweli, ukipingwa,unaishia kuleta Kejeli na Matusi.
Hakuna lelote ambalo umeleta humu JamiiForums unalolijadili.
Unachofanya, ni kuweka bandiko, unachofanya ni kudhihaki, na baada ya hapo unaleta Asertion zisizokuwa na mshiko, ukishtukiwa unakimbilia kejeli....mjinga, wewe, zuzu wewe, matusi lukuki kuchanganya watu wakuache....bila kujadiliana, badala yake unawasubiri wale mazuzu wenzako waje kukupa kongole, waje kudhihaki....ndio unaita Majadiliano???
Utaumbuka tuu. Njoo upindishe na haya nayo shikilia kidete, haramia wee.
Narudia, Wewe ni Mkimbari, wewe ni Mtia chuki, wewe ni Uchwara tu.
Njooni mjichekeshe chekeshe, mda wenu Umefika!
Haiingii akilini Mtu Ambaye anajidai kuweka Taswira ya kuwa yeye ni Mtanzania, kuwa yeye ni msomi ati "Taikun wa Fasihi" kuwa yeye anyejiweka kuwa ni Mzalendo, kuwa ni mpigania haki, kuwa ni mwalimu wa hili na lile na wakati huo huo anamdhihaki Mama yake, dada yake bibi yake na Mtanzania mwenzake kwa kumuiita 'Malaya' 'Hana la kusema' kwako ' hana mchango wowote kwenye Jamii' na hapo hapo kutandika blanketi kwa Watanzania wote kuwa ni Wajinga....Wewe ni mtu gani, kwa taswira uliyojiwekea Kutokujiheshimu, kutokuheshimu Watanzania wenzako unaodai kuwaelimisha? na makala Uchwara? Na matusi na Kejeli??
Hilo limekaa vipi? Narudia....
Wewe ni mchumia tumbo tuu, wewe ni mtu mwenye chuki chuki wewe ni Misogynist, wewe ni Bigot, mkimbari na haufai katika Jamii yeyote hapa Duniani...
Najua utaenda kujificha ficha kwa mazuzu wenzako huko na kutupa vijembe.
Njooo tujadiliane Man-O-Mano
Njoo Ubishe wewe sio Mkimbari, Njoo Ubishe wewe sio Mchukia Wanawake.
Njoo ubishe unayo hiyo Elimu unayochagiza kwa Matusi, kwa Udhalimu na Chuki
Njoo ubishe ya kuwa wewe sio Mtanzania.....Njoo wewe Haramia!
Mama Salehe Aliniletea Mihogo.Mbona kama una hasira sana
Umekula kweli Leo ?
Wapumbavu kama wewe tuu.Lakini Na wewe unatumia lugha kali pia sana
Mtoa mada hayupo sahihi kukuita zuzu lakini unatumia lugha kali mno navyosoma maandishi mate yananidondokea unafoka sana mkuu
Una ma idea kibao mkuu mengi mno ila unavuoyawasilisha ni changamoto sana nahisi upo hivyo kwenye maisha ya kawaida pia labda unahisi watu hawakuelewi be calm and present your ideas well
Hata wapumbavu kuna muda wana present idea zao vizuri Unaweza kuta Mtoa mada nae ni mpumbavu ila kawasilisha mada yake vyema watu wameikubali
Usinijibu kwa gazeti mwenzako mvivu kusoma na simu namkabidhi swalehe