Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #481
Noted!!!! 2023 na ahsante...
🙏🏾🙏🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noted!!!! 2023 na ahsante...
kigoma,huko hukoAlikuwa na Makazi Dsm?
Inabidi tumtumie afutatu akale.Mbona kama una hasira sana
Umekula kweli Leo ?
Taikoni kweli yule jamaa umempa jina sahihi.Mimi ukiona MTU nimemuita Zuzu jua ni kweli ni Zuzu.
Sijamuita ili kumuoena, ni kawaida yangu kuwapa Watu Haki zao.
Kujadiliana naye ni just for Funny,
Taikoni kweli yule jamaa umempa jina sahihi.
Nikifanya hivo huyo mpenzi wangu nitamfukuza kabisaaaa asirudi mazima wkt nampenda! sisi tumeumbwa kupokea tuuu, na wala si kutoa km unavo dhania!Mfano ukiwa na tsh million 5 isiyo na kazi, kwenye mawazo yako utawaza kumtoa out mwanaume unaempenda weekend M-spend laki 3 hivi, full bill on u, kuwa honest smaki
Weee! ndo mugumu!! vijikaratasi vile vina ugumu gani???? watu wanauza mchicha wa msimbazi na wana majumba???Pesa ngumu Sana ..ndio.maana zinatafutwa kila mbinu..
Mwanamke talker talkerNikifanya hivo huyo mpenzi wangu nitamfukuza kabisaaaa asirudi mazima wkt nampenda! sisi tumeumbwa kupokea tuuu, na wala si kutoa km unavo dhania!
Mwanaume hawataki upande wa wao kupewa na kupokea sijui kutunzwa na ke......... wanaume ndo mlivyo! kwa asili!! tena kosa mkichekwa/mkisemwa/mkipigwa kidogo tu ndo kabisaaa hamrudiii hapo.
sasa km mtu hapendi hela zangu! je nitamfunga kamba ili anipende??? tena ke ukitaka kuachwa onyesha vijicent! hivyo tunafichaga mbali!....kwanza unaweza kunijambazia vikaisha nitakuweza wapi??
lkn mwanaume kabisa kumjambazia hela yake hivihivi???!! yaani uwe na ubavu hasa! marungu, mapistol,km yote mabomu ndo utamuweza!..........lkn ke aaaah! kofi moja tu kuleeee! hela unaachia!
Na bado! mpaka myambe kifukuto!Mwanamke talker talker
mkuu pole sana, kiukweli mambo uliyopitia kupitia hao watu haitofautiani sana na ya kwangu. hawa viumbe hawastahili huruma kabisa. ukiyumba kidogo anatafutwa wa zamani. namkshukuru Mungu nililigundua hilo mapema. na sasa nimekuwa na Amani. dawa ni kuwapuuza tuUzi bora kabisa wa kufungulia mwaka.
Binafsi ninashuhudia hayo aliyosema mleta mada ni kweli hivyo vijana wenzangu kama tunataka kuishi maisha yenye amani na utulivu jisia ya kike tuweke kwenye list ya ignore.
Hii nashuhudia kama mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 ya kujihusisha na mwanamke.
Nakumbuka vizuri kabisa nilianza maisha na malengo makubwa, na nilikua na akaunti benki yenye kiasi cha kutosha kwa wakati huo cha kuanza maisha, lakini niliporuhusu mwanamke kuingia kwenye maisha yangu mpaka leo hii sijasimama tena.
Wengine waliniacha na majereha makubwa ya kutosha , vile nilivyokuwa nawaonea huruma, vile nilivyo kua nalia wakilia wao, vile nilivyo simama na changamoto zao kuliko nilivyo simama na maisha yangu, lakini mwishowe wanakuacha kama haujawahi kuonana naye maishani mwake, hata salamu hata shukurani hawakupi hata ile ya kuigiza!!!
Vijana wenzangu maisha haya hatuishi mara 2 ni mara moja tu , kamwe hautapata furaha kamilifu kutoka kwa mwanamke.
Aisee mwanamke kwangu ni mtu mzuri sana kwani nimetokana na mwanamke nimekuzwa na mwanake lakini I'm sure ukizingatia sana mwanamke maisha yako yatakuwa hayana furaha wala amani.
Punguza kuhonga. Bania pesa.Nimekuelewa mkuu now ni kuishi kwa principle tu
nmechelewa kuona ushauri wako... kuna yaliyo nikuta kuhusu manz mmoja hapa kazin
Mimi siwezi kukaa siku tatu bila kua karibu na mwanamke.
Hata nikiwa na stress nikiona mwanamke mzuri stress yote kwishah.
Nadhani kila mwanamume amekusikia😅✊ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.
Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.
Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.
Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.
Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.
Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.
Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.
Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.
Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.
Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.
Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.
Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.
Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.
Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.
Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.
Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.
Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.
Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.
Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.
Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.
Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.
Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.
Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.
Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.
Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.
Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.
Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.
Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?
Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.
Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu
Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.
Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!
Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.
Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Nadhani kila mwanamume amekusikia😅✊