Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Nimeona sana na kushuhudia ,wanaume wengi wanaendeshwa na hisia za mwanamke,ndio maana wengi hubadilika pindi watakapo funga ndoa.,unakuta mwanaume kabla hajafunga ndoa alikuwa ana mawasiliano mazur na wazaz wake na ndugu zake kusomesha na misaada midogo midogo,

#ushuhuda
Lakin akishaoa mwana mke anambadilisha na kumkataza asisomeshe wadogo zake au kuwajengea wazazi wake nyumba nzuri.,kisa tu ni wivu na ubinafsi wa mwanamke kutaka ndugu zake ndio wafaid tu na wazazi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano ukiwa na tsh million 5 isiyo na kazi, kwenye mawazo yako utawaza kumtoa out mwanaume unaempenda weekend M-spend laki 3 hivi, full bill on u, kuwa honest smaki
Nikifanya hivo huyo mpenzi wangu nitamfukuza kabisaaaa asirudi mazima wkt nampenda! sisi tumeumbwa kupokea tuuu, na wala si kutoa km unavo dhania!

Mwanaume hawataki upande wa wao kupewa na kupokea sijui kutunzwa na ke......... wanaume ndo mlivyo! kwa asili!! tena kosa mkichekwa/mkisemwa/mkipigwa kidogo tu ndo kabisaaa hamrudiii hapo.

sasa km mtu hapendi hela zangu! je nitamfunga kamba ili anipende??? tena ke ukitaka kuachwa onyesha vijicent! hivyo tunafichaga mbali!....kwanza unaweza kunijambazia vikaisha nitakuweza wapi??

lkn mwanaume kabisa kumjambazia hela yake hivihivi???!! yaani uwe na ubavu hasa! marungu, mapistol,km yote mabomu ndo utamuweza!..........lkn ke aaaah! kofi moja tu kuleeee! hela unaachia!
 
Mwanamke talker talker
 
mkuu pole sana, kiukweli mambo uliyopitia kupitia hao watu haitofautiani sana na ya kwangu. hawa viumbe hawastahili huruma kabisa. ukiyumba kidogo anatafutwa wa zamani. namkshukuru Mungu nililigundua hilo mapema. na sasa nimekuwa na Amani. dawa ni kuwapuuza tu
 
nmechelewa kuona ushauri wako... kuna yaliyo nikuta kuhusu manz mmoja hapa kazin
 
Nadhani kila mwanamume amekusikiaπŸ˜…βœŠ
 
Dubwasha
 

Attachments

  • neria_fumane_official_1671062387837611.jpg
    201.1 KB · Views: 6
What is Misogynism?

Africa and Racism

In this thread, it's where Misogynism meets Racism.




By Robert Heriel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…