Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

usibishe bana ndo mnaanzaga ivo ivo! af ulianziaga kwa mabaunsa uongo? unabisha waje?

ndo ivovivo st kayumba mnaamini kurudia! rudia sana nyie kuwajua ni rahisi sana!
Sasa u special wako upo wapi wakati hata kujenga hoja vizuri huwezi? Baba yako alipoteza hela tu, namuhurumia mno mzee wa watu.
 
usibishe bana ndo mnaanzaga ivo ivo! af ulianziaga kwa mabaunsa uongo? unabisha waje?

ndo ivovivo st kayumba mnaamini kurudia! rudia sana nyie kuwajua ni rahisi sana!
"usibishe bana ndo mnaanzaga ivo ivo! af ulianziaga kwa mabaunsa uongo? unabisha waje?"
[emoji115][emoji115]
Nishakueleza unabisha. Unaonekana ubishi upo damuni. Naanzaje kwa bouncers wakati myself ni bouncer? Hopeless

Anyway basi tufanye nilianza kwa bouncers.
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.

Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.

Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.

Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.

Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.

Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.

Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.

Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.

Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.

Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.

Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.

Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.

Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.

Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.

Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
HUMU SASA HIVI UKIWAULIZA WALE WAZEE WAZEE WATAKUELEZA JINSI WALIVYOUMIZWA!...TABIA YA GOLD DIGERS HUWA WANAZENGEA FEDHA KAMA FISI ANAVYOZENGEA MFUPA.KUNA MA GOLD DIGERS WALE WSLIOWEKWA NDANI KABISA.UKIENDA KAZINI WANAWASHAWISHI WATOTO JINSI ULIVYO MBAYA KICHINI CHINI ACHA SASA UZEEKE UTAUONA MOTO!
 
🤣Ni kweli kabsa ila ndo uandike kwa herufi kubwa mkuu?
 
Faidi kuu ya uzinzi ni kwamba inakufanya utafute ndalama kwa nguvu sana

Huwezi mtosheleza mwanamke kwa fedha ukimpa fedha sana anatafuta vijana wasio na vitambi wamchakate na ukimchakata sana atatafuta mabosi wampe pesa ili wamchakate, sasa ukiwaendekeza utakufa kwa msongo wa mawazo mapema sana na ndio maana ulishauriwa ishi nao kwa akili
 
Huu ndio ulikuwa mwisho wa kumhurumia mwanake
Baada ya kugundua tunaishi mtaa mmoja na tunafanya kazi jengo moja, ikawa nampa lift mara nyingi. Tukazoena, akaanza kunisimulia changamoto zake na njaa zake. Nikawa mstari wa mbele sana kumsaidia. Kuna wakati akawa anahangaika na masuala ya mirathi. Nikampa connection moja ikamaliza kila kitu. Yule binti akashangazwa sana na roho yangu nzuri.
Basi bwana nikaona mbona kila shida ananipa mimi kwani hana mtu anayemla? Akaniambia hana, ikabidi nimvae niwe nakula kupunguza machungu. Kwa vile ana shida alikubali haraka tu, ila kwa ahadi. Ila nilimwambia awe huru, akubali kwa sababu amenielewa sio kwa sababu namsaidia.

Nikawa nampa lift break ya kwanza lodge. Tukifika hapo anagoma kushuka eti hayuko vizuri. Ikabidi misaada isitishwe kuona response. Baada ya kusitisha misaada na kupunguza mawasiliano akaanza kunikwepa.

Mwisho kabisa nikamtumia hotuba ya dk 46 voice note kumweleza hicho ulichoandika juu. Kwamba wewe utakuwa mwanamke wa mwisho kuonewa huruma na mimi.

Baada ya hapo dada akileta shida zake na mimi nampa za kwangu. Oooh hivi huwezi kunisaidia bila mapenzi. Majibu ni simpo tu, wewe una lipi la kunisaidia mbali na ngono?!
 
Ume play kibwege sana man. Ulionesha udhaifu sana kumtongoza. Ungemsaidia kimtindo ili uone hatma yake. Usingegusia suala la mapenzi. Hapo ungejua mbivu na mbichi.
 
Unaonekana ubishi upo damuni. Naanzaje kwa bouncers wakati myself ni bouncer? Hopeless

Anyway basi tufanye nilianza kwa bouncers.
Tetete tetee ! si unaona nilivo na akili?? tena mingi?? siyo ubishi mie nakusaidia! ili ikibidi uzae kabisaaa! yaani unafanyiwa operesheni unapewa maku, hiyo naniliu isofanya kazi inaondelewa kabisaa!

Nairobi na kizazi kinapachikwa mbaa! inachukua dakika 45 tu! utaipenda ni rahisi tu wengi humu nilisha wasaidia!
 
wanawake wabishi na jeuri kama Smaki
emoji38.png
Mie kibinafsi yangu si mbishi wala jeuri mie bana nawasahuri msikie! halafu nina akili mingi na ninajua kuwa najua! na kujua si dhambi uongo wajameni?? JF??
 
Tetete tetee ! si unaona nilivo na akili?? tena mingi?? siyo ubishi mie nakusaidia! ili ikibidi uzae kabisaaa! yaani unafanyiwa operesheni unapewa maku, hiyo naniliu isofanya kazi inaondelewa kabisaa!

Nairobi na kizazi kinapachikwa mbaa! inachukua dakika 45 tu! utaipenda ni rahisi tu wengi humu nilisha wasaidia!
Well with your help ila mimi siyo transgender mkuu. Mimi ni eater wa tundu lako la nyuma na la mbele. Ushauri wako ni mzuri ila umeweka kwenye wrong person.

Pole lakini
 
Mie kibinafsi yangu si mbishi wala jeuri mie bana nawasahuri msikie! halafu nina akili mingi na ninajua kuwa najua! na kujua si dhambi uongo wajameni?? JF??
Huwezi jiita wewe una akili. Unatakiwa uitwe coz hata taahira anaweza jiita hivo
 
Haswa wapuuzeni Wanawake wote hawa...Wazungu, wanaojifanya Wazungu, Wanaotaka kufanana na Wazungu, Waarabu na wengine kwa kubandika minywele, kujifanya kiingereza ndio lugha wanayoelewa, au kuongea.

Yaani wote wasiokuwa na Maadili na Tamaduni za Kiafrika.

Waafrika weusi ni Wazuri hakuna mfano! Hawa ndio wa Kuwaoa. Sio wa kupuuzwa. Wana utamaduni na maadili mazuri.

Tahadhari; Msomeni Huyu Taikun kwa Uangalifu. Ni mmoja wa Watu wasiojali Watu wa Afrika. Ni watu wanaoutumika kwa kuleta Ukimbari, wanaotaka kufaraganya Fikra za Waafrika, ni mmoja wa watu ambao wanaolipwa(inasadikika) kusambaza uongo na hisia kali chanya na udhalimu juu ya Utamaduni na Maadili ya Muafrika.
Aluta Continua.
 
Back
Top Bottom