Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Huwezi mtosheleza mwanamke kwa fedha ukimpa fedha sana anatafuta vijana wasio na vitambi wamchakate na ukimchakata sana atatafuta mabosi wampe pesa ili wamchakate, sasa ukiwaendekeza utakufa kwa msongo wa mawazo mapema sana na ndio maana ulishauriwa ishi nao kwa akili
Tatizo lako wewe umataka kumiliki mwanamke. Sie tunataka kugegeda mwanamke na kutupa kule.
 
Mwanamke kama maji yani....usipokunywa utaenda kuoshea naniliu mtapambana uongo hapa lakini naamini thread na comments za kulilia wanawake zitazidi zaidi na zaidi niko pale nimekaa.... ladies happy new year hawa viumbe tushikilie hapo hapo hakuna kuwalegezea 😁😁
 
Haswa wapuuzeni Wanawake wote hawa...Wazungu, wanaojifanya Wazungu, Wanaotaka kufanana na Wazungu, Waarabu na wengine kwa kubandika minywele, kujifanya kiingereza ndio lugha wanayoelewa, au kuongea.

Yaani wote wasiokuwa na Maadili na Tamaduni za Kiafrika.

Waafrika weusi ni Wazuri hakuna mfano! Hawa ndio wa Kuwaoa. Sio wa kupuuzwa. Wana utamaduni na maadili mazuri.

Tahadhari; Msomeni Huyu Taikun kwa Uangalifu. Ni mmoja wa Watu wasiojali Watu wa Afrika. Ni watu wanaoutumika kwa kuleta Ukimbari, wanaotaka kufaraganya Fikra za Waafrika, ni mmoja wa watu ambao wanaolipwa(inasadikika) kusambaza uongo na hisia kali chanya na udhalimu juu ya Utamaduni na Maadili ya Muafrika.
Aluta Continua.
Ktu gan alichoandka kinachoonesha Hajali watu wa africa? Naomba Nithibitishie!!!!!
 
Mwanamke kama maji yani....usipokunywa utaenda kuoshea naniliu mtapambana uongo hapa lakini naamini thread na comments za kulilia wanawake zitazidi zaidi na zaidi niko pale nimekaa.... ladies happy new year hawa viumbe tushikilie hapo hapo hakuna kuwalegezea [emoji16][emoji16]
Mbona kama unalia sasa?[emoji28] Hata me pia ni kama maji tu.
 
kazi tamu sana hii.

NAMKUMBUKA MJOMBA WANGU, ALIKUWA NA BIASHARA KUBWA SANA KULE KIGOMA, MUUZAJI WA SPARE ZA MAGARI, MMILIKI WA GEREJI, MPAKA SHELI. MZIGO ANA AGIZA NA KUKODISHA BEHEWA MOJA LA TRELI MIAKA HIYO YA 1998.
BASI AKAKUTANA NA MWANAMKE, AKA MZALIA WATOTO WA KIUME WAWILI FASTA (KWENYE NDOA YAKE ALIPATA WATOTO WA KIKE TU).
SIMULIZI NI NDEFU ZA MATUKIO.
MPAKA KUFIKA 2015 JAMAA ALIKUWA DEREVA TAXI ANAPELEKA HESABU KWA BOSI WAKE, KWANI MALI ZOTE ZILIKWISHA KWA SBB YA WANAWAKE! ULE MCHEPUKO UNAMILI NYUMBA NA BIASHARA NA MJOMBA ALIFUKUZWA.
AKAWA MLEVI KUPINDUKIA, KWA SASA AMETANGULIA MBELE ZA HAKI.

KIJANA UKIWEZA KUHONGA WE HONGA TU!
 
Kiufupi ukiona ww ni lazima ujitenge na wanawake malaika hawa malkia wa dunia hii ndipo uweze kuseti malengo yako na kupata mafanikio basi ww ni kijana wa hovyo hujitambui na huna misimamo na huna akili pia kwakua hawa tumeumbiwa sisi na tukaambiwa tuishi nao kwa akili.

Free education. Usilete hard feeling
Sasa akili zenyewe si hizi anazo Sema mwandishi
 
kazi tamu sana hii.

NAMKUMBUKA MJOMBA WANGU, ALIKUWA NA BIASHARA KUBWA SANA KULE KIGOMA, MUUZAJI WA SPARE ZA MAGARI, MMILIKI WA GEREJI, MPAKA SHELI. MZIGO ANA AGIZA NA KUKODISHA BEHEWA MOJA LA TRELI MIAKA HIYO YA 1998.
BASI AKAKUTANA NA MWANAMKE, AKA MZALIA WATOTO WA KIUME WAWILI FASTA (KWENYE NDOA YAKE ALIPATA WATOTO WA KIKE TU).
SIMULIZI NI NDEFU ZA MATUKIO.
MPAKA KUFIKA 2015 JAMAA ALIKUWA DEREVA TAXI ANAPELEKA HESABU KWA BOSI WAKE, KWANI MALI ZOTE ZILIKWISHA KWA SBB YA WANAWAKE! ULE MCHEPUKO UNAMILI NYUMBA NA BIASHARA NA MJOMBA ALIFUKUZWA.
AKAWA MLEVI KUPINDUKIA, KWA SASA AMETANGULIA MBELE ZA HAKI.

KIJANA UKIWEZA KUHONGA WE HONGA TU!
Kwa kisa chako hiki mkuu mzee wetu naye alipata kimwana enzi hizo akamzalia watoto wawili , na kwa ushawishi wa huyo mama mzee alidili na watoto wa huyo mama kielimu walifika mbali sana, kiufupi wote wawili walisomea nje ya nchi, watoto wa mke mkubwa alie soma sana aliishia kidato cha nne.

Huyo mwanamke alisomeshwa na mzee mpaka akawa digrii zake na sasa ana kazi nzuri tu serikalini, mzee hapo alipo sahihi hana hata 100 na mwanamke hapokei hata simu yake.
 
IMG-20230102-WA0008.jpg
 
Acha avune alichopanda huyo mzee. Walishaachana na huyo kimwana? Hao watoto wanamjali baba yao hata kidogo?
 
Back
Top Bottom