Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Kama hamuwajali au kuwahitaji akina mama akiwamo mama yako basi geuzaneni muone mtaishia wapi. Hili andiko halina akili. Ni ujinga na utopolo mtupu wenye wingi wa mjumuisho na uvivu wa kufikiri.
Andiko linazungumzia wanawake ambao ni wapenzi yaani wale unaowaogonga.
Mwenyewe nilishaacha kuwahonga, nilishagharimia na sikuona faida yoyote na niliishia kugongewa na kuachana.
 
Wacha inyeshe tuone panapovuja!
Uzuri kila mtu atakuwa analia akiwa kwake. Wapo wataotafuta kumwambia bwana Robert kwanini ulitudanganya, naye atawaambia "MANENO YANGU SIO SHERIA" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niko paleeeee nacheza amapiano nikisubiri kuona jua likichomoza kaskazini na kuzama kusini!
Hatuowii ivi huelewi
 
Kumbe ni wew uliyekuja dukani kwangu ukilalamika Tv za kichina hazina ubora ukataka nikuuzie kwa discount kumbe unataka kwenda kuhonga? Oyaa broo rudisha hiyo Tv dukan kwangu haraka, nitakurudishia pesa yako yote bila kukudai risiti...kulko kuhonga hiyo Tv bora urushe dukan, na pesa nikikupa mtumie ndugu yako huko kijijin anunue mbolea, achana na madem..rudisha kabla sijakuitia polis kwa jaribio la wizi.ahahahahahaha JOKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we jamaa
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.

Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.

Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.

Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.

Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.

Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.

Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.

Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.

Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.

Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.

Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.

Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.

Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.

Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.

Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Nice

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu asavali umejifikirisha.

Jee ana Mama? Mama ake au Mke ni Pisi kali?

Sasa kwa wengine wakuchukulia kijuu juu anayobandika humu ndani lazima utadhoofika kifikra kimila Kiutamaduni.

Inawezekana mke wake ni mwanaume???

Dhamira yake haswa ni nini?

Kuna mengi tu. I dare him. Kama kweli haya anayobandika humu yana miguu au Kichwa akabandike Facebook, Au Twitter au kokote kule Tuone kama atapata kura ya aina yeyote ile....Anabebwa sehemu huyu, inawezekana kabisa. Haijalishi misingi ya kuropoka chochote kile vitaleta Madhara au la. Hafai kwenye Jamii yeyote iliyosukwa kimaadili na Kitamaduni.
...au Labda akubalike huko huko alikotoka. Sio Afrika.

Kwa kukusaidia,
Nina mke, Nina Mama, ninashangazi, Nina Bibi, Nina Wakwe, Nina Dada, Nina Mama wakubwa na wadogo.
Kitu kipekee ambao hao niliowataja wanakijua Kutoka kwangu ni kuwa wanajua Taikon sio mnafiki na hapendi Watu wafanye Uzuzu, upuuzi, hata wao wenyewe wanajua wakifanya huo uzuzu sitaaonea haya kuwaambia ikiwa itahitajika kuambiwa.

Upuuzi mtupu. Nawe unapaswa kupuuziwa kwa vile u mpuuzi na upuuzi wako wa kujumlisha. Na mama yako naye apuuziwe siyo?

Hiyo ndio Roadmap ya 2023.
Kama unaniona Mimi ni mpuuzi nipuuzie. Sio lazima unizingatie ninachokifanya iwe humu JF au popote pale.

Unafikiri Mimi ninaogopa kupuuzwa ikiwa nitafanya mambo ya hovyo?
 
Back
Top Bottom