Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Hajakuita hapa. Sisi wengine tunapenda hizo chuki zake. Kila mmoja ale anakopeleka mboga.
Badilisha tu.
Kwani nani alikuita umjibie.
Kama hizo akili zake ni kubwa si ajibu hoja zinazo letwa?

na kila wakati analeta lugha za Kimbari aachiwe sio.

Utazikwa nae? Usiibugudhi hii ndonga.
 
Mzee wa taikuni ndo mashine gani hii
Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.
 
Kwamba Robert Heriel ni Mzungu au? [emoji38][emoji38][emoji38] mbona muoga muoga weweee. We' wa mkoa gani?[emoji38]
Wapi na Wapi? Mkoa gani? Unakuja kuthibisha Ukimbari wenu.
Tena mzungu Kaburu. Abishe mwenyewe. Athibitishe yeye.

Kale chakula cha mchana.Upate nguvu kidogo... Uwoga wako usinimezeshe mie. na maneno maneno ya ukimbari Jibu hoja Sh...n ...type.

Mumewo huyo?
 
Wanawake tumegoma kulike huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muulize yeye.
Muulize ni kipi alichoandika humu JamiiForums ambacho kina Misingi ya Maadili na Utamaduni wa Kiafrika. au Mwaafrika.

Usitetee upuuzi wake.
Ficha upuuzi wako. Unamtuhumu mtu afu ukiambiwa ulete ushahidi unasema tumuulize mtuhumiwa.

Akili yako iko sawa kweli?
 
Ficha upuuzi wako. Unamtuhumu mtu afu ukiambiwa ulete ushahidi unasema tumuulize mtuhumiwa.

Akili yako iko sawa kweli?
Nifiche ili iweje. Ndio nimetuhumu, ajibu tuhuma.

Akili iliyo sawa ikoje?

Unatetea nini sasa?
 
Wapi na Wapi? Mkoa gani? Unakuja kuthibisha Ukimbari wenu.
Tena mzungu Kaburu. Abishe mwenyewe. Athibitishe yeye.

Kale chakula cha mchana.Upate nguvu kidogo... Uwoga wako usinimezeshe mie. na maneno maneno ya ukimbari Jibu hoja Sh...n ...type.

Mumewo huyo?
Hilo swali la mwisho uulizwe wewe. Je, ni mumeo? Mbona unam diss as if kakuolea mke wa pili?
 
Back
Top Bottom