Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hakuna namnaNa sisi tunalijua hilo ndio maana tunawagonga na kuwaacha solemba hakuna cha huruma wala ndugu yake na huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna namnaNa sisi tunalijua hilo ndio maana tunawagonga na kuwaacha solemba hakuna cha huruma wala ndugu yake na huruma
kama umekuja kupatia umaarufu kwangu sahau,angalia namna ingine ya kuwa popularFull imbecile
Umeupiga mwingi sana.
Wewe Sina shaka, utakua Mwamba wa Kanda ya ziwa !!
Badilisha tu.Hajakuita hapa. Sisi wengine tunapenda hizo chuki zake. Kila mmoja ale anakopeleka mboga.
Wapi na Wapi? Mkoa gani? Unakuja kuthibisha Ukimbari wenu.Kwamba Robert Heriel ni Mzungu au? [emoji38][emoji38][emoji38] mbona muoga muoga weweee. We' wa mkoa gani?[emoji38]
Wanawake tumegoma kulike huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kalike uzi wenu keshawashauri na ninyi huko
[emoji3][emoji23][emoji23]
Binadamu mnamambo!
Sio nimeandika linalokufurahisha?
Ficha upuuzi wako. Unamtuhumu mtu afu ukiambiwa ulete ushahidi unasema tumuulize mtuhumiwa.Muulize yeye.
Muulize ni kipi alichoandika humu JamiiForums ambacho kina Misingi ya Maadili na Utamaduni wa Kiafrika. au Mwaafrika.
Usitetee upuuzi wake.
Nifiche ili iweje. Ndio nimetuhumu, ajibu tuhuma.Ficha upuuzi wako. Unamtuhumu mtu afu ukiambiwa ulete ushahidi unasema tumuulize mtuhumiwa.
Akili yako iko sawa kweli?
Hv kati ya mtoa tuhuma na mtuhumiwa ni nan anatakiwa kuthibitisha uhalali wa tuhuma?Nifiche ili iweje. Ndio nimetuhumu, ajibu tuhuma.
Akili iliyo sawa ikoje?
Unatetea nini sasa?
Mwanamke usimuhurumie hata kidogo
Kauli mbiu ile ile “Kataa ndoa”
Hilo swali la mwisho uulizwe wewe. Je, ni mumeo? Mbona unam diss as if kakuolea mke wa pili?Wapi na Wapi? Mkoa gani? Unakuja kuthibisha Ukimbari wenu.
Tena mzungu Kaburu. Abishe mwenyewe. Athibitishe yeye.
Kale chakula cha mchana.Upate nguvu kidogo... Uwoga wako usinimezeshe mie. na maneno maneno ya ukimbari Jibu hoja Sh...n ...type.
Mumewo huyo?
Hili jamaa siyo bwege kweli??Hv kati ya mtoa tuhuma na mtuhumiwa ni nan anatakiwa kuthibitisha uhalali wa tuhuma?