Elewa msingi wa hoja na siyo kukurupuka.Kwaiyo wewe roho inakuuma ccm kutembekea v8.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa msingi wa hoja na siyo kukurupuka.Kwaiyo wewe roho inakuuma ccm kutembekea v8.
Kama noma wacha iwe noma bhannaPole pole anahusikaje na Wewe moja moja ? Yeye Si Mtu wa chama na si serikali pesa wanazopata Kwenye ni Miradi yao na ruzuku
Mbona pia Chadema wana maford ranger na Ma V8 pia ?
Sijui kama Kuna raia wa kawaida wanao furahia vita
Wewe umeshawahi fanya Vurugu Popote pale ? Una Experience ya Muda gani na hio kazi ? Ni kazi Ngumu sana inahitaji Experience kweli kweli unawez vunja mguu ndan ya Dk kadhaa tuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kauli za kizalendo hizi mkuuBora kuwekewa vikwazo kuliko kuwa na kiongozi kibaraka au wakala wa wanyonyaji.
Heri kufa masikini kuliko kukubali kuwa mtumwa wa wanyonyaji.
Heri kufa tukiwa tumesimama kuliko kuishi tukiwa tumempigia magoti mnyonyaji.
Unaandika utopolo na kujijibu mwenyewe.Umesema vyema
Uonevu sasa mwiisho wake umewadiaBora wazungu waje watusaidie kwa gharama yoyote tutawapa sapoti kuliko maccm na fisadi mkuu magufuli kutunyanyasa kiasi hiki.....
Tumechoka tumechoka saaaaaa..... Baaassss
Be matured at least!Unaandika utopolo na kujijibu mwenyewe.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaUtopolo mtupu. Kipondo kipo palepale.
Ya Sudan yanakuja Tanzania mda si mrefuMadikteta wana roho ngumu sana, wapo tayari watu mamilioni kwa mamilioni wafe lakini wao waendelee kusalia madarakani tu. Omar Bashir wa Sudan alipigiwa kelele sana bila ya mafanikio, thanks God sasahivi anavuna alichokipanda. Mwisho wa Magufuli utakua mbaya sana..
Mtu kuwa Kijani ni lazima ufikie advanced stage ya upumbavu.Ukiwa na akili timamu huwezi kukaa kwenye hcho chama hata kwa sekundeCCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Kwenda huko na kiingereza chako cha chimpumu na komoniI am a Tanzanian, a true son of my beloved mother Tanzania! You're my brother but I am skeptical that you're from one of those small countries in Northern part of Tanzania like Rwanda,Burundi or DRC Congo where hooliganism and genocide is norms of the day!!
But for a true son of Tanzania as groomed by the Father of our Nation, the Late Mwalimu JK Nyerere will NEVER entertain these rubbish and nonsense being practices by Magufuli and his dirty government machinery......Never!!!
If at all come 28th October, this country is gonna errupt in a turmoil.....Mr. Magufuli and his whole system will be held responsible for each and everything.... There'll be no chances of escape!!
Just stay tuned.
God bless Tanzania and his true sons and daughters! Amen[emoji120]
Kama noma iwe noma maana kuna watu wanaona nchi hii ni yaoKauli za kizalendo hizi mkuu
Fanya kazi kwa bidii na wewe ununue v8 unataka v8 kutwa upo insta unashindana kupost na wakina james deliciuos kila kitu ni v8. njoo uwe mke wangu nikununulie bugatti v16 iwazidi ata hao wenye v8.Matatizo yangu kuna watu wanafikiri hii ni nchi yao peke yao
Kama kina polepole
Wewe unafikiri nchi zenye vita watu wote wanajuta?
Wapo wanaofurahi kuwaona watu wa Mavi 8 pamoja nao kwenye kambi
Hapa yakhe kutaeleweka tu
Mbona unachochea Vurugu na kuhatarisha Amani sana mkuu, Una matatizo gani ??
Mbona unachochea Vurugu na kuhatarisha Amani sana mkuu, Una matatizo gani ??
Fanya kazi kwa bidii na wewe ununue v8 unataka v8 kutwa upo insta unashindana kupost na wakina james deliciuos kila kitu ni v8. njoo uwe mke wangu nikununulie bugatti v16 iwazidi ata hao wenye v8.
Mimi na wewe tutakutana kambi ya wakimbiziFanya kazi kwa bidii na wewe ununue v8 unataka v8 kutwa upo insta unashindana kupost na wakina james deliciuos kila kitu ni v8. njoo uwe mke wangu nikununulie bugatti v16 iwazidi ata hao wenye v8.
Anauwezo wa kuweka Debate na kujibu hoja toka kwa mtu yeyote ndani na nje ya Bara la Afrika.Ataiunganisha Africa kwa kushirikiana na wazungu Ausio ??[emoji28][emoji28][emoji28]
Pole pole anahusikaje na Wewe moja moja ? Yeye Si Mtu wa chama na si serikali pesa wanazopata Kwenye ni Miradi yao na ruzuku
Mbona pia Chadema wana maford ranger na Ma V8 pia ?
Sijui kama Kuna raia wa kawaida wanao furahia vita
Wewe umeshawahi fanya Vurugu Popote pale ? Una Experience ya Muda gani na hio kazi ? Ni kazi Ngumu sana inahitaji Experience kweli kweli unawez vunja mguu ndan ya Dk kadhaa tuu [emoji28][emoji28][emoji28]
MagMbona unachanganikiwa kwa vitu vidogo hivi, kumwandikia mtu barua kunahitaji mamlaka kweli?
Watanzania sio wajinga kama waarabuu na tushathibitisha ilooo Magu tano TenaGaddafi. Pia alikua anakiburi Sana mwisho wake akawekwa kwenye soko watu Wakawa wanaangalia maiti
Hapa mpaka tuanze kutafutana kwa mchaka mchaka wa Libya Ndio heshima itarudiMag
Watanzania sio wajinga kama waarabuu na tushathibitisha ilooo Magu tano Tena