el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 495
- 575
Vidume huko Lagos vipo mitaani vinadai haki ila huku watu wapo nyuma ya keyboard wanafurahi barua kutoka nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidume huko Lagos vipo mitaani vinadai haki ila huku watu wapo nyuma ya keyboard wanafurahi barua kutoka nje.
Kasome historia ya huyo Amsterdam halafu utajua sasa anaejianika hapo ni nani? Jiulize why Mbowe alimtahadharisha Lissu kutojihusisha na Amsterdam kwenye kipindi hiki cha uchaguzi.Good!
Hii barua, kwa upande mwingine, inamuanika vibaya sana Magu kimataifa.
Mtu huvuna apandacho!!
Wanamuandikia halafu wanamtumia arekebishe lugha kidogo then asaini. Baadae inarudishwa kwa mabongolala a.k.a misukule inakuja kushangilia kwenye mitandaoDaaah jamaa yuko nondo sana yani data zote anazo, kuna vipengele vingine hata mimi raia wa hii nchi nilikua sina aware navyo lakini hiki kichwa kinayajua yote
Mhe.Lissu Rais mtarajiwa ametumia hekima na busara kuepusha shari na usumbufu kwa Wapiga kura wake. Don't take that for granted..... !!!!
Hii ni kitu haingii akilini. The whole world is just seeing and watching at a distance every move and every iota.
It's just a matter of time......!!!
Sasa hapo nani ni looser? Ni Magufuli au watanzania? Mnapoambiwa mkiona mgombea anaungwa mkono sana na wazungu ujue wana jambo lao. Wazungu hao hao wana msemo wao kwamba; There's no free Lunch. Huyu Lissu hatufai hata kidogo ni kibaraka kama walivyo vibaraka wa Libya na Iraq.Kwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
We ndio secretary wao?Wanamuandikia halafu wanamtumia arekebishe lugha kidogo then asaini. Baadae inarudishwa kwa mabongolala a.k.a misukule inakuja kushangilia kwenye mitandao
Nawe ni mmoja wa ile misukule?We ndio secretary wao?
Madhara ya kupiga mabomu mkutano wa kampeni hujayaona?CCM wanasaidiwa na polisi kutengeneza evidence kwamba wanakandamiza wananchi.Think big-Adui wa CCM ni smartphone na internet
Hiyo haki na wajibu ni kwa upinzani tu?Kwa hyo unataka kuaminisha CCM ndo wafata sheria?Mnapotosha sana! Hakuna haki bila wajibu. Hakuna taifa linaloweza kusimama kwa kuacha kila mtu afanye chochote anachotaka. The police force is there to enforce the law. Ukikaidi maelekezo yao, wanayo mamlaka ya kutumia nguvu yoyote ambayo ni necessary to restore order!
Kwa ujumla, nyie mnadhani hata hiyo ICC ni baraza la wananzengo!
Nobody cares about that idiot. Tanzania is our country and you will not do anything to anybody, ''mark my words.''Good!
Hii barua, kwa upande mwingine, inamuanika vibaya sana Magu kimataifa.
Mtu huvuna apandacho!!
Hiyo haki na wajibu ni kwa upinzani tu?Kwa hyo unataka kuaminisha CCM ndo wafata sheria?
Fikiria kwa makini sana katika hilMungu wabariki Wazungu
Nzalendo 2015 kwani Alhamisi wiki ijayo ni mbali? Wito wangu ni Lissu asiachiwe akatoroka nchi, hilo tu. Eti 'the whole world is just seeing and watching....'
Which world are you reffering here? That cartel of insane individuals , Lissu, Robertson and the likes?!!!#tag Idiots.
Daaah andika kiswahili tu maana hii english ni ya kugoogle sijuiI am beginning to think Amsterdam is another ‘mental case’ who does this guy think he is in this world; the US president or somen? What an egomaniac.
Wakuwalaumu ni Fatma Karume na Tundu Lissu kwa kumuaminisha he actually matters; like serious huyu mtu kwenye kichwa chake anaamini serikali ya Tanzania ina muogopa au huyo Lissu wake kweli ana supporters wa ivyo.
joined septembaFikiria kwa makini sana katika hil
Aisee.Magufuli ni rais atakayekuwa wa kwanza kutawala awamu moja ndani ya taifa letu zuri.
Amewagawanya watanzania
Amewadharau watanzania
Ameharibu mfumo mzima wa taifa letu huku mambumbumbu machache yakimkenulia meno!
Wengi wamekufa mazingira ya kutatanisha kwenye serikali yake
Kawafunga wengi kisiasa
Serikali yake imetetea ushoga mchana kweupe pee kwa kujitenga na operesheni ya makonda ya kuwasaka mashoga, serikali yake ikaandika barua ya kujitenga na lengo la makonda na ikakiri kwamba mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania [emoji17]
Katumia vibaya hazina ya tsifa na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma kwa kiwango cha kutisha!
Amevuruga demokrasia
Kala fedha za rambirambi za watu wa Kagera
Kaliingiza jeshi la polisi na jeshi la wananchi kwenye siasa zake za majitaka
Hatufai hata kwa mwezi mmoja huyu mtu!
Watanzania wapenda haki pamoja na watu wote wapenda demokrasia wamemkataa
Daaah andika kiswahili tu maana hii english ni ya kugoogle sijui
For sure. Historia iko wazi kabisa.Ukiona mgombea anatetewa sana na wazungu ujue kuna jambo wanalitaka
Nobody cares about that idiot. Tanzania is our country and you will not do anything to anybody, ''mark my words.''