Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hapa mpaka tuanze kutafutana kwa mchaka mchaka wa Libya Ndio heshima itarudi
Hatuwezi kuvumilia mateso yote haya
Halima Mdee kila siku polis wanamuandama.... Leo Tena
Somanga mabomu kwa nini???????
Freshi mkuu unafikiri Libya kulikua na shida?Itapendeza kama wewe siku hiyo utakuwa mstari wa mbele ili kupitia kwako wengine tujifunze!
Freshi mkuu unafikiri Libya kulikua na shida?
Tatizo Gaddafi alitawala watu kiubaguzi
Wengine tabaka lingine wengine tabaka jengine
Hii ni nchi yetu sote au tuishi kwa haki amani na upendo
Au kimbembe cha wote
Hakuna kheri wala Dotto wote kambi ya wakimbizi
Kuna watu wanajusahau Sana
Tunajisikia vibaya kunyanyaswa kwetu
huyo mgeni kageuzwa kuwa propaganda za kumzuia Lissu kushinda urais,.Lissu ni tishio kubwa ana nguvu kubwa kisiasa hata bila huyo mzungu.Wapinzani wa lissu wamepata hoja kumtwanga Lissu akose ushindi,Hata hivyo Lissu ni mtanzania na ni mzalendo wa nchi yake,Hadhira inaonesha kumkubali.Inabidi tu wapinzani wake wafanye kila aina ya propaganda kuzuia ushindi wake ambao ni dhahiri unaonekana kwa jinsi wananchi wanavyomhitaji kuongoza mabadiliko ya kisiasa
This must have been shredded before it reached its intended destination.
Mwambie aende akaichunguze Home land Department ya huko Marekani kabla ya kuingilia mambo ya Tanzania.I am beginning to think Amsterdam is another ‘mental case’ who does this guy think he is in this world; the US president or somen? What an egomaniac.
Wakuwalaumu ni Fatma Karume na Tundu Lissu kwa kumuaminisha he actually matters; like serious huyu mtu kwenye kichwa chake anaamini serikali ya Tanzania ina muogopa au huyo Lissu wake kweli ana supporters wa ivyo.
Hata huyu wakili wake ni tapeli wa kimataifa.Kama Lissu ni mzalendo, basi tupo watu wengi sana ambao hatujui maana ya neno mzalendo. Nijuavyo mimi, mzalendo ni muumini wa falsafa ya Taifa Kwanza. Sijawahi kuona mzalendo anayehujumu taifa lake, kwa maslahi binafsi!
"As shameful and criminal as Robert Amsterdam's behavior is in supporting a violent political front for a convicted criminal and mass murderer, at least Amsterdam admits he is doing so because he is a paid lobbyist. Unfortunately, it appears he has also constructed a network of faux "third party independent voices" he uses to lend his message credibility his status as a paid lobbyist cannotHata huyu wakili wake ni tapeli wa kimataifa.
Who is Robert Amsterdam?
Empire of the Deceit: Recep Tayyip Erdogan and Robert Amsterdamwww.empireofthedeceit.com
Kuhusu hujuma sijui, Ila mwanasiasa yeyote ni mzalendo wa maslahi yake kwanza halafu huu uzalendo mwingine Kama upo kweli unafuata.Kama Lissu ni mzalendo, basi tupo watu wengi sana ambao hatujui maana ya neno mzalendo. Nijuavyo mimi, mzalendo ni muumini wa falsafa ya Taifa Kwanza. Sijawahi kuona mzalendo anayehujumu taifa lake, kwa maslahi binafsi!
Hivi ni sahihi kweli tuonywe na kukaripiwa kama mtoto mdogo na mtu mmoja wa nje kwamba kutakuwa na 'serious consequences' kwa kile tunachoamua hapa nchini kwetu? Kama tungekuwa na ugomvi na mtu wa nje kama yule aliyekuwa akishika ndege zetu, pale inaeleweka kwa kuwa suala linahitaji usuluhishi wa kimataifa.
Kama nacheka vile front lineTumekuelewa; tunachohitaji sisi ni wewe kuwa mstari wa mbele ili uwe mfano kwa sisi wengine!
Haswa upande wa mashoggaz wenzao.Ukiona mgombea anatetewa sana na wazungu ujue kuna jambo wanalitaka
Maelekezo hayana impact as long as kuna usawa na haki. Hata dunia nzima ikisema uchaguzi uwe huru na haki kama ni huru na wa haki hakuna tatizo.Sijui kama unaelewa ulichokisema! Kuna 15 presidential candidates. Hivi kama kila candidate atatafuta foreign actors wa kuipa nchi maelekezo, hii nchi itakuwa taifa la aina gani?
Kabisa ndio maana hatutampa kura watanzania hawatujui tukipigania Uhuru tujitawale mzungu hawezi kutupa mtu awe raisi wetu .Lisu hatumpi kuraUkiona mgombea anatetewa sana na wazungu ujue kuna jambo wanalitaka
Kwani Magufuli ana mpango wa kwenda ulaya au Marekani au ana akaunti ulaya au Marekani?Kwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Dah...yaani bado watu wanawaza kuhusu US & UK nyakati hizi...Dah [emoji2960]Kwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Kumbuka hata Nyerere kwenye kesi zake za uchochezi alitumia wanasheria toka UingelezaUkiona mgombea anatetewa sana na wazungu ujue kuna jambo wanalitaka
WatamtafsriaHii ni barua au waraka?. Siku zote mnasema Rais hajui kiingereza alafu mnaandika barua za Kiingereza