minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kutwa CCM wanaenda kuomba omba misaada kwa wazungu na wakienda kuomba omba misaada huwaita wazungu ni wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu unyanyasaji uonevu uovu wa CCM ndipo hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jikeKwa wajinga tu!
Na hukuelewa hata maana ya dunia ni kijiji!
Kwahiyo ukiishi chato unakuwa uko kuzimu? Hizi fikira zenu za kipumbavu ndio zinafanya mshabikie hata ujinga.
Amsterdam anamounguzia Lisu kura, ila wajinga hawaelewi hili. Afrika hii huwezi kupiganiwa na mzungu uwe rais ukategemea utaungwa mkono.
Utaungwa mkono na kakikundi ka wajinga wenzio wachache sana.