minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Tarehe 28 Tanzania inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusiJPM 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 28 Tanzania inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusiJPM 2020
Nchi inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusiTukutane tarehe 28-10-2020
Ila haitasaidia kumtoa JP Magufuli.Daaah jamaa yuko nondo sana yani data zote anazo, kuna vipengele vingine hata mimi raia wa hii nchi nilikua sina aware navyo lakini hiki kichwa kinayajua yote
Nchi inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusiKuna vitu vingine mtu unashindwa uwanzie wapi umalizie wapi?
Chamsingi ngoja ifike hiyo 28 October.
Jiwe unaweza kumtafsiria maneno yakimuingia akakutumbua hadi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaetafasiri kwa jiwe kazi anayo jamani maana mpaka aelewee na barua ni nyingiii uwiii
Mtu ukishatanguliza tusi kwenye hoja unakuwa huna tofauti na anything rubbish;Stand up as a man.Kujua kwingi while naona umeandika hopeless.Kwa wajinga tu!
Na hukuelewa hata maana ya dunia ni kijiji!
Kwahiyo ukiishi chato unakuwa uko kuzimu? Hizi fikira zenu za kipumbavu ndio zinafanya mshabikie hata ujinga.
Amsterdam anamounguzia Lisu kura, ila wajinga hawaelewi hili. Afrika hii huwezi kupiganiwa na mzungu uwe rais ukategemea utaungwa mkono.
Utaungwa mkono na kakikundi ka wajinga wenzio wachache sana.
Huko ni kujiongopea.Nchi inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi
Sisi tunataka Usawa kama kuku tule wote kama kimbembe kitumbembe wote
Nchi ni yetu sote kwa nini mtu fulani yupo kwenye Mavi 8 na wapwa zake tu
Wanakula matunda ya uhuru sisi tunakula mizizi ya mwarobaini
Wewe hujui Hawa watu wanavyo ringa na kunyanyasa watu Mavi 8 sio yao yetu sote
Mimi nikiwaonaga napata usongo Sana naona kama tulianzishe tu tutafutane humuhumu
Kama noma na iwe noma
Watetezi wa CCM mitandaoni kwa 95% wapo gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wakikaririshwa ujinga na hao watu ndiyo maana utetezi wao mitandaoni hufanana sanaMtu ukishatanguliza tusi kwenye hoja unakuwa huna tofauti na anything rubbish;Stand up as a man.Kujua kwingi while naona umeandika hopeless.
Wewe utakuwa unatumiwa vicent vya mboga na usikute wewe unatengeneza story ya uongo ili kuharalisha uonevu wa BOT kwa watu wanaotumiwa pesa toka nje hususani wafanyabiashara wakubwa ambao wameathirika mno kwenye utawala wenu wa kidikteta, wewe amini usiamini jua kuwa wafanyabiashara wengi sasa wanaweka pesa zao kenya Uganda Zambia ambapo Bank kuu za huko hazina unyanyasaji kama uliopo Tanzania.
Pumbaaaaaaaf Sana!Kwaiyo wewe roho inakuuma ccm kutembekea v8.
CCM ndiyo mnajiongelesha mmejisahau mnaishi kwa mazoea mmekariri kuwa ya miaka ya nyuma ni sawa na sasa, mwaka 2020 ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania na CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenyaHuko ni kujiongopea.
Huyo Amsterdam hatawasaidia chochote.
Nakushauri na wewe ukate tiketi yako mapema, baada ya 28 October, umfuate Lisu huko atakako tokomea.
Kwani wanasheria wa Tanganyika hawakuwepo?Wakati huo Tanzania ilikuwa koloni la mwingereza na mahakama zilikuwa za mwingereza ndio maana alitumia mawakili waingereza
Tulieni dawa iingieUkiona mgombea anatetewa sana na wazungu ujue kuna jambo wanalitaka
Wapo waliotoa Maelezo yote tena kwa kuwatumia wanasheria lakini na bado pesa zao zinaporwa, kubali ukatae BOT kuna shida kubwa na mojawapo ya kikwazo kwa uchumi wa Tanzania kwani pesa nyingi ambazo zingeweza kuja BOT sasa zinaelekezwa kenya Uganda Zambia na Nchi zingine jirani ambapo hawana ukiritimba wa kutengeneza mazingira ya Rushwa kwenye Pesa za watu.Kuhusu miamala hakuna haja ya kusema natumiwa sh ngap ila swala lililopo ni kwamba pesa ikiingia inatakiwa uitolee maelez sehemu ilipotoka na uhalali wake kitu ambacho si cha ajabu na kila nchi ina huo utaratibu
Tafuteni nchi ya kuishi baada ya tarehe 28. Raisi JPM
Ndo tutapata because afrika tumeshindwa kujiongoza kwa kufuata tu hata sheria tulizojiwekea tunashindwa kuzifuataJust another trash! Hakuna nchi africa imewahi kupata rais kwa mapendekezo ya mwanasheria wa nje ya nchi. Stupid move!
Tatizo Ni haki na usawa ktk siasa na kipindi hichi Cha uchaguzi...
1. NEC kuwaengua wagombea wa upinzani kwa sababu za ajabu na za kubumba...
2. Msafara na kampeni za Lisu kupigwa mabomu na polisi...
3. Msajiri na Kamati Ile kumzuia Lisu asifanye Kampeni...
4. Figisu wanazofanyiwa mawakala wa upinzani...
Kali zaidi Ni
5. Kuwepo kwa vituo hewa vya uchaguzi..
6. Kuwepo kwa mabox ya kupigia kura yakuwa tayari kura zimeshapigwa...
Naona matokeo ya uchaguzi yakifutwa baada ya kutangazwa na baada ya vurugu na umwagaji wa damu kutokea...