Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Ushetani unapikwa na CCM yenyewe na sasa NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanaendelea kumchochea shetani kwa matendo yao ya kuwahujumu kuwadhoofisha chadema pasipo na HAKI ndipo penye vurugu, hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi?
Kinukisheni sasa tukutane barabarani, au mnafikiri ni Lisu tu ndio mwenye wafuasi?
 
Kuhusu miamala hakuna haja ya kusema natumiwa sh ngap ila swala lililopo ni kwamba pesa ikiingia inatakiwa uitolee maelez sehemu ilipotoka na uhalali wake kitu ambacho si cha ajabu na kila nchi ina huo utaratibu
Wapo waliotoa Maelezo yote tena kwa kuwatumia wanasheria lakini na bado pesa zao zinaporwa, kubali ukatae BOT kuna shida kubwa na mojawapo ya kikwazo kwa uchumi wa Tanzania kwani pesa nyingi ambazo zingeweza kuja BOT sasa zinaelekezwa kenya Uganda Zambia na Nchi zingine jirani ambapo hawana ukiritimba wa kutengeneza mazingira ya Rushwa kwenye Pesa za watu , Nchi ikipata uhuru tarehe 28 yataibuliwa madudu yote ya BOT
 
Mimi sio shabiki wa Magu na kura sipigi kwa mtu yeyote lakini swala la kumshabikia huyo jamaa linaboa sana. Lisu anakubalika bila mibarua ya huyokhanithi
Huyo ni kiboko ya jiwe na madikteta wote mchukulie poa huyo jamaa yaulize madikteta Sugu yanamgwaya sembuse uchwara.Muulize putin anamjua vizuri.
 
Bora wazungu waje watusaidie kwa gharama yoyote tutawapa sapoti kuliko maccm na fisadi mkuu magufuli kutunyanyasa kiasi hiki.....

Tumechoka tumechoka saaaaaa..... Baaassss
True heri kutawaliwa na wakoloni kuliko kutawaliwa na ccm.
 
Watetezi wa CCM mitandaoni kwa 95% wapo gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wakikaririshwa ujinga na hao watu ndiyo maana utetezi wao mitandaoni hufanana sana
Wewe inaonekana Musiba na Le mutuz walikufanyia kitu kibaya sana. Haiwezekani kila coment unawataja.
 
Ngoja tuone.
Watamfata lini kumpeleka ubeligiji maana.
Chadema KUSHINDA ni NDOTO na hata wakishinda ni NDOTO KUPEWA.
Wangemfata sasa hivi.
Duniani kote mpaka Nchi jirani zote ikiwemo Rwanda ambayo imechuja urafiki na mtukufu Mkoloni mweusi kaburu wa chato
 
Hii comente yako naitunza mpaka siku Magufuli anaapishwa.
Kiukweli hata mimi nilipenda tubadili chama ila kuna vitu viwili vinanifanya niiache CCM ibaki madarakani.

(1) Tanzania hatuna kiongozi wa upinzani mwenye nia ya dhati ya kuibadili nchi yetu.

Tanzania kuna wanaharati wenye ndoto za kuingia ikulu, ili walipe visasi, ndio maana kauli zao ni "Afe ng'ombe afe mmasai lakini wao wawe Marais".

(2) CCM kwa sasa imezaliwa upya.
Hakika CCM kwa sasa wanafanya yale tuliyo kuwa tuna yataka wananchi.

CCM ndiyo mnajiongelesha mmejisahau mnaishi kwa mazoea mmekariri kuwa ya miaka ya nyuma ni sawa na sasa, mwaka 2020 ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania na CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
 
Pumbaaaaaaaf Sana!
Watu tunazungumzia Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu hapa kichaa unaleta mambo ya ungese na umbeya?? ATI roho inakuuma CCM kutembekea V8? Are you serious? Shennxx type!
Asante sana mkuu.Kuna wakati huwa mtu unajiuliza hv huyo jamaa ni jamii ya binadamu kweli kwa akili zake?
 
Wapo waliotoa Maelezo yote tena kwa kuwatumia wanasheria lakini na bado pesa zao zinaporwa, kubali ukatae BOT kuna shida kubwa na mojawapo ya kikwazo kwa uchumi wa Tanzania kwani pesa nyingi ambazo zingeweza kuja BOT sasa zinaelekezwa kenya Uganda Zambia na Nchi zingine jirani ambapo hawana ukiritimba wa kutengeneza mazingira ya Rushwa kwenye Pesa za watu.

Labda kama unavyosema kuwa hizo sheria ni kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa ila nimeshawahi kupokea mpaka 20k$ na ilinichukua wiki mbili tu kukamilisha maelezo na pesa ikaingia kwenye account yangu tayari
 
Naona sasa yaliyowakuta Libya yananyemelea Tanzania mabeberu watu wabaya sana

Na siku zote mabeberu huwa yawawezi kuingia direct ila huwa wanapitia katika migongo ya wanasiasa wenye uchu wa madaraka kama Tundu Lisu

Mkisha kuwa na raisi ambae hawashobokei mabeberu kama alivyo Magu hivi ndivyo inavyokuwa

Taratibu sasa naanza kumchukia Lisu na Chadema yake
 
Hii resolutions mpya ya leo ya US Senate iliyokuwa sponsored na Senator Bob Menendez inayoitaka serikali ya Marekani kutuwekea vikwazo jua ni kazi za Akina Amsterdam;siyo mambo mepesi kuyadharau manake madhara yatakuwa makubwa mnoo kwa nchi hvyo NEC ijitahd kuwa fair.Amsterdam siyo mtu wa kawaida kawa watu wanavyosema-Jamaa huwa anashughulika na complicated political cases duniani
Sisi ni donor country mkuu au umesahau?
 
Kwa hio magufuli hana uchu wa madaraka? huwezi kukataa kushirikiana na viongozi wengine duniani kwa sababu tu wewe ni mzalendo hapana, Nchi ilipopata uhuru iliachwa katika mikono ya viongozi waliokua chini ya wakoloni, Hivyo wakoloni waliweka utaratibu ambao bado utawala wao utaendelea kuwepo kwa maslahi makubwa ya kuheshimu demokrasia na haki za kiraia.
Naona sasa yaliyowakuta Libya yananyemelea Tanzania mabeberu watu wabaya sana

Na siku zote mabeberu huwa yawawezi kuingia direct ila huwa wanapitia katika migongo ya wanasiasa wenye uchu wa madaraka kama Tundu Lisu

Mkisha kuwa na raisi ambae hawashobokei mabeberu kama alivyo Magu hivi ndivyo inavyokuwa

Taratibu sasa naanza kumchukia Lisu na Chadema yake

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom