Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Kuna vitu vingine mtu unashindwa uwanzie wapi umalizie wapi?

Chamsingi ngoja ifike hiyo 28 October.
 
Daaah jamaa yuko nondo sana yani data zote anazo, kuna vipengele vingine hata mimi raia wa hii nchi nilikua sina aware navyo lakini hiki kichwa kinayajua yote
Ila haitasaidia kumtoa JP Magufuli.
 
Wafanyabiashara wakubwa wote wamehamishia pesa zao nje na wengine wamehamia mataifa mengine wapo tayari kuishi hata congo kwenye vita lakini wana Amani na pesa zao kuliko kukaa sehemu yenye unyanyasaji idara za kifedha na wale waliopewa dhahama kutumia fursa hizo kupiga blackmail kujinufaisha kwa njia haramu za kishetani
 
Kuna vitu vingine mtu unashindwa uwanzie wapi umalizie wapi?

Chamsingi ngoja ifike hiyo 28 October.
Nchi inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi
 
Anaetafasiri kwa jiwe kazi anayo jamani maana mpaka aelewee na barua ni nyingiii uwiii
Jiwe unaweza kumtafsiria maneno yakimuingia akakutumbua hadi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu ukishatanguliza tusi kwenye hoja unakuwa huna tofauti na anything rubbish;Stand up as a man.Kujua kwingi while naona umeandika hopeless.
 
Nchi inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi
Huko ni kujiongopea.
Huyo Amsterdam hatawasaidia chochote.

Nakushauri na wewe ukate tiketi yako mapema, baada ya 28 October, umfuate Lisu huko atakako tokomea.
 
Babako anaendeleaje leo hii? umeshampigia simu, kumsalimia na kumwambia unampenda?
 
Mtu ukishatanguliza tusi kwenye hoja unakuwa huna tofauti na anything rubbish;Stand up as a man.Kujua kwingi while naona umeandika hopeless.
Watetezi wa CCM mitandaoni kwa 95% wapo gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wakikaririshwa ujinga na hao watu ndiyo maana utetezi wao mitandaoni hufanana sana
 
Kuhusu miamala hakuna haja ya kusema natumiwa sh ngap ila swala lililopo ni kwamba pesa ikiingia inatakiwa uitolee maelez sehemu ilipotoka na uhalali wake kitu ambacho si cha ajabu na kila nchi ina huo utaratibu
 
Kwaiyo wewe roho inakuuma ccm kutembekea v8.
Pumbaaaaaaaf Sana!
Watu tunazungumzia Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu halafu kichaa fulani unaleta mambo ya ungese na umbeya?? ATI roho inakuuma CCM kutembekea V8? Are you serious? Shennxx type!
 
Huko ni kujiongopea.
Huyo Amsterdam hatawasaidia chochote.

Nakushauri na wewe ukate tiketi yako mapema, baada ya 28 October, umfuate Lisu huko atakako tokomea.
CCM ndiyo mnajiongelesha mmejisahau mnaishi kwa mazoea mmekariri kuwa ya miaka ya nyuma ni sawa na sasa, mwaka 2020 ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania na CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
 
Kuhusu miamala hakuna haja ya kusema natumiwa sh ngap ila swala lililopo ni kwamba pesa ikiingia inatakiwa uitolee maelez sehemu ilipotoka na uhalali wake kitu ambacho si cha ajabu na kila nchi ina huo utaratibu
Wapo waliotoa Maelezo yote tena kwa kuwatumia wanasheria lakini na bado pesa zao zinaporwa, kubali ukatae BOT kuna shida kubwa na mojawapo ya kikwazo kwa uchumi wa Tanzania kwani pesa nyingi ambazo zingeweza kuja BOT sasa zinaelekezwa kenya Uganda Zambia na Nchi zingine jirani ambapo hawana ukiritimba wa kutengeneza mazingira ya Rushwa kwenye Pesa za watu.
 
Acha CCM, NEC na Magufuli waendeleze kibri, jeuri, udikteta na uhuni wote wanaoweza kufanya kwenye Uchaguzi huu wa 2020! But there's one thing for sure, after 28 October Tanzania won't be the same Things will be quite different! Just mark my words.
Logging off.........Please wait.....✌️
 
The Hague is safe place for uncivilized and uneducated people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…