Kinukisheni sasa tukutane barabarani, au mnafikiri ni Lisu tu ndio mwenye wafuasi?Ushetani unapikwa na CCM yenyewe na sasa NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanaendelea kumchochea shetani kwa matendo yao ya kuwahujumu kuwadhoofisha chadema pasipo na HAKI ndipo penye vurugu, hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi?
Wapo waliotoa Maelezo yote tena kwa kuwatumia wanasheria lakini na bado pesa zao zinaporwa, kubali ukatae BOT kuna shida kubwa na mojawapo ya kikwazo kwa uchumi wa Tanzania kwani pesa nyingi ambazo zingeweza kuja BOT sasa zinaelekezwa kenya Uganda Zambia na Nchi zingine jirani ambapo hawana ukiritimba wa kutengeneza mazingira ya Rushwa kwenye Pesa za watu , Nchi ikipata uhuru tarehe 28 yataibuliwa madudu yote ya BOTKuhusu miamala hakuna haja ya kusema natumiwa sh ngap ila swala lililopo ni kwamba pesa ikiingia inatakiwa uitolee maelez sehemu ilipotoka na uhalali wake kitu ambacho si cha ajabu na kila nchi ina huo utaratibu
Huna point zaidi ya kuwa kibaraka wa AmsterdamMtu ukishatanguliza tusi kwenye hoja unakuwa huna tofauti na anything rubbish;Stand up as a man.Kujua kwingi while naona umeandika hopeless.
Watu watakinukisha hata bila kutumwa na Lisu kwani mpika ushetani ni CCM siyo LisuKinukisheni sasa tukutane barabarani, au mnafikiri ni Lisu tu ndio mwenye wafuasi?
Huyo ni kiboko ya jiwe na madikteta wote mchukulie poa huyo jamaa yaulize madikteta Sugu yanamgwaya sembuse uchwara.Muulize putin anamjua vizuri.Mimi sio shabiki wa Magu na kura sipigi kwa mtu yeyote lakini swala la kumshabikia huyo jamaa linaboa sana. Lisu anakubalika bila mibarua ya huyokhanithi
Usinifokee wewe mlamba viatu byakeUna ushahidi kwa haya uliyoongea ?
True heri kutawaliwa na wakoloni kuliko kutawaliwa na ccm.Bora wazungu waje watusaidie kwa gharama yoyote tutawapa sapoti kuliko maccm na fisadi mkuu magufuli kutunyanyasa kiasi hiki.....
Tumechoka tumechoka saaaaaa..... Baaassss
Kibaraka ndiyo hoja katika swali la msingi la mleta mada? Long way to go.Huna point zaidi ya kuwa kibaraka wa Amsterdam
Wewe inaonekana Musiba na Le mutuz walikufanyia kitu kibaya sana. Haiwezekani kila coment unawataja.Watetezi wa CCM mitandaoni kwa 95% wapo gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wakikaririshwa ujinga na hao watu ndiyo maana utetezi wao mitandaoni hufanana sana
Duniani kote mpaka Nchi jirani zote ikiwemo Rwanda ambayo imechuja urafiki na mtukufu Mkoloni mweusi kaburu wa chato
Mama yako anasema mbona haumpigii simu siku hizi. Ananilalamikia hapa mkuu.Mwambieni huyo sijui Robert Amsterdam wenu kuwa aanzishe Chuo cha Kufundisha 'Wapuuzi' wenzake Kuandika Barua, ila Magufuli ndiyo Rais tu.
CCM ndiyo mnajiongelesha mmejisahau mnaishi kwa mazoea mmekariri kuwa ya miaka ya nyuma ni sawa na sasa, mwaka 2020 ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania na CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
Asante sana mkuu.Kuna wakati huwa mtu unajiuliza hv huyo jamaa ni jamii ya binadamu kweli kwa akili zake?Pumbaaaaaaaf Sana!
Watu tunazungumzia Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu hapa kichaa unaleta mambo ya ungese na umbeya?? ATI roho inakuuma CCM kutembekea V8? Are you serious? Shennxx type!
Wapo waliotoa Maelezo yote tena kwa kuwatumia wanasheria lakini na bado pesa zao zinaporwa, kubali ukatae BOT kuna shida kubwa na mojawapo ya kikwazo kwa uchumi wa Tanzania kwani pesa nyingi ambazo zingeweza kuja BOT sasa zinaelekezwa kenya Uganda Zambia na Nchi zingine jirani ambapo hawana ukiritimba wa kutengeneza mazingira ya Rushwa kwenye Pesa za watu.
Tupo huru chini ya Mkoloni CCM.Tanzania ni nchi huru!
Kweli kabisa ndio maana nasema ana kazi huyo translaterJiwe unaweza kumtafsiria maneno yakimuingia akakutumbua hadi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi ni donor country mkuu au umesahau?Hii resolutions mpya ya leo ya US Senate iliyokuwa sponsored na Senator Bob Menendez inayoitaka serikali ya Marekani kutuwekea vikwazo jua ni kazi za Akina Amsterdam;siyo mambo mepesi kuyadharau manake madhara yatakuwa makubwa mnoo kwa nchi hvyo NEC ijitahd kuwa fair.Amsterdam siyo mtu wa kawaida kawa watu wanavyosema-Jamaa huwa anashughulika na complicated political cases duniani
Naona sasa yaliyowakuta Libya yananyemelea Tanzania mabeberu watu wabaya sana
Na siku zote mabeberu huwa yawawezi kuingia direct ila huwa wanapitia katika migongo ya wanasiasa wenye uchu wa madaraka kama Tundu Lisu
Mkisha kuwa na raisi ambae hawashobokei mabeberu kama alivyo Magu hivi ndivyo inavyokuwa
Taratibu sasa naanza kumchukia Lisu na Chadema yake