Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

ni kweli ni mental case
yani sijui waliomuaminisha he is powerful obvious ni mambumbu wenzake
Na hii inabidi tuliangali vizuri...tafakari Tunu kwa maana ya kawaida kama akishika nchi kwa maana rahisi Robert ndiye atakuwa anaongoza maana wenyewe wanafanya wanahoagizwa
 

Let you be assured that there is no such a thing like eruption in turmoil which will happen in Tanzania. Forget about it, peace and traquility will prevail in Tanzania, the land of Kilimanjaro and Tanzanite.

President Magufuli who have prooved without daught to each and everyone that he is a firm, decisive and no soft learder is going to win the election. Lissu and his insanity atitudes is a loser in the waiting. To be fair to cdm, Lissu and the likes , both are in the state of extremely foolishness as far as the different issues in their election agendas are concerned.
 

Kufananisha vitu viwili visivyofanana sio sawa. Libya na Tanzania hazifanani kiuchumi, kisiasa wala kijamii.
Kingine ni vizuri kujifunza nini kimetokea kwa Libya baada ya hayo waliyoyafanya wakipewa support toka walikojua wamefaidika nini?
Tunachokataa ni kutumika kwa maslahi ya hao wanaotoa support. Tanzania ni nchi huru waache wananchi wajichagulie kiongozi wanayemtaka na sio kiongozi anayetakiwa na wao
 
This time police wametengeza ushahidi mzuri Sana wa kupiga mabomu utakaotumika wakati ukifika, hapa boss wao anachomoka vipi sasa kwa ushahidi huu.
ICC hawatahitaji ushahidi tena zile video zao zinatosha kuwatia hatiani
 
Mbona huwa 'haandiki' mambo mengi tu ya 'Uozo' ambayo huwa yanatokea huko huko Nchini Kwake? Mwambieni 'Tanzania' hii ya 'JPM' ipo Imara.
Tanzania haipo imara na haipo huru ndiyo maana ukitumiwa pesa toka nje ya Nchi BOT wanaweza kukupora ni tofauti na kenya Uganda Zambia kwenye uhuru na pesa zako, hivi sasa NECCCM Tumeccm na Polisiccm ni vyombo binafsi vya CCM uhuru upo wapi? TBCCCM inatangaza habari za CCM tu , Nchi haipo imara ingekuwa imara msingekuwa kutwa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi
 
Tanzania kamwe hatukubali kuongozwa mambo yetu na mzungu "punga"

#hatutaki rais mbelgiji
Tanzania ipi unaisemea? Tanzania yako binafsi unaposhinda ukivuta Bangi?
 
ICC hawatahitaji ushahidi tena zile video zao zinatosha kuwatia hatiani
Police wamesaidia Sana kutoa ushahidi tena wa live Kama walivyosaidia ushahidi kwa charles tailor na bagbo hongereni Sana polisi
 
Uhuru na HAKI havipo Tanzania ya sasa ya kidikteta chini ya utawala kwa kikaburu weusi waliokariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Gaddafi wa kuwaonea Libya hayupo tena.
 
Police wamesaidia Sana kutoa ushahidi tena wa live Kama walivyosaidia ushahidi kwa charles tailor na bagbo hongereni Sana polisi
CCM bye bye maana hakuna asiyeulaani utawala huu wenye manyanyaso kwa kila mtu wakiwemo wafanyabiashara wakubwa waliporwa pesa zao kwa njia haramu za kishetani
 
Tarehe 28 Nchi ikipata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi yafuatayo yatazingatiwa haraka, itabidi kuitisha mkutano mkubwa wa wafanyabiashara wakubwa kuwaomba radhi kwa manyanyaso walitotendewa na pia kuwaomba warejeshewe mali zao pasipo kukimbilia mahakamani kudai fidia kubwa za riba, utawala huu una majeraha makubwa Rais ajae mpenda Haki itabidi kufanya kazi ya ziada kuwatuliza walionyanyasika wasidai fidia kubwa walizike na kurejeshewa chao pasipo kuyumbisha uchumi.
 
Huku nikimuombea Mzee Trump ashinde (yeye hana muda na ujinga wa siasa za Afrika) na huku JPM ndiye rais kwa miaka mingine 10, ndiyo nasema kumi....mapoyoyo wote ambao janja yao ya "kujitegesha" kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ili wandikwe wavuje damu na kutuma picha USA, haki ya nani lazima mkimbilie Msumbiji au Mogadishu!
 
CCM bye bye maana hakuna asiyeulaani utawala huu wenye manyanyaso kwa kila mtu wakiwemo wafanyabiashara wakubwa waliporwa pesa zao kwa njia haramu za kishetani
Amka mkuu, unaota tu. Dunia imebadirika sana, Marekani na washirika wameacha ujinga wa kuwaondoa viongozi wa nchi za Afrika maana wamegundua "kubeba" raslimali za nchi hizo kwa njia hiyo kunaleta usumbufu wa wakimbizi haramu kwa nchi yao na Ulaya, wamegundua wanaofaidika na mchezo huu ni ISIS na magenge ya kusafiririsha wahamiaji haramu!
 
Did he copy this 'magazine" to Lissu? Tell him to write also to the USA Presidential candidates who will be fighting it out on the 3rd of November, 2020. This "magazine" will be of very great help first to his President and to the other presidential candidate and in fact to the entire people of the US to try and fight for their RIGHT TO VOTE and refuse to represented by ONLY 23% voters in this country that claims to be "a leader in democracy" ! It is a shame for Amsterdam and other imperialists to try to interfere and do "nose - popping" in other sovereign countries' internal affairs while their internal matters are "going down the drain". Finally let Amsterdam and his local and foreign supporters be assured that NOBODY, again NOBODY in the current government is going to bother reading this "time - wasting magazine, college - school, academic type thesis " at this time when we, Tanzanians are busy with our General Elections issues, A MORE IMPORTANT ISSUE THAN THIS ………… FROM AMSTERDAM.
 
CCM hivi kwa nini mmeifikisha Tanzania yetu katika haki hii kweli?

Haya yote ni ya kweli na ni lazima muyajibu.
 
Sidhani kama wanoshabikia haya mambo ya vurugu na vikwazo wanaishi hapa. Hata familia zao zaweza zisiwe hapa pia.
Niko hapa na naomba vikwazo viwekwe kuliko ujinga unaofanywa na ccm. Madawa yapigwe marufuku viongozi wapigwe ban ya uhakika kabisa.
 
Usiseme hivyo ndugu yangu. Sie wengine ni walemavu. Watu mmekazania kumwaga damu utadhani mnafuga majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…