moto wa kifuu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 390
- 60
Kwa bahati nzuri Mwenyezi Mungu hakusikii.Niko hapa na naomba vikwazo viwekwe kuliko ujinga unaofanywa na ccm. Madawa yapigwe marufuku viongozi wapigwe ban ya uhakika kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bahati nzuri Mwenyezi Mungu hakusikii.Niko hapa na naomba vikwazo viwekwe kuliko ujinga unaofanywa na ccm. Madawa yapigwe marufuku viongozi wapigwe ban ya uhakika kabisa.
Nadhani ili uandike humu lazima uwe mpya kwanza. Au kuna njia ya "senior entry "?joined septemba
|
Na ndio maana wanapaswa kupuuzwa.Mimi siwezi kuwa mhanga wa jambo baya lolote linaloweza kuikumba tz,Ila naonea huruma ndugu zangu na watz wengine wasiojiweza.Sidhani kama wanoshabikia haya mambo ya vurugu na vikwazo wanaishi hapa. Hata familia zao zaweza zisiwe hapa pia.
Tunapata Nini kwa kwenda kwe nchi yao kuwalamba matako...na ujue huyu WAKILI WENU HAKUBALIKI Hata huko marekani baada ya kuchukua kesi za Maduro wa Venezuela na vibaraka wake. Mbaneni tu lissu atuambie amepata wapi mabilioni ya kumlipa AmsterdamKwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Suala hapa sio kuogopwa! Ndio kazi yake ameajiriwa na analipwa kwa ajili hiyo!I am beginning to think Amsterdam is another ‘mental case’ who does this guy think he is in this world; the US president or somen? What an egomaniac.
Wakuwalaumu ni Fatma Karume na Tundu Lissu kwa kumuaminisha he actually matters; like serious huyu mtu kwenye kichwa chake anaamini serikali ya Tanzania ina muogopa au huyo Lissu wake kweli ana supporters wa ivyo.
Pamoja na mawazo yako ya kijima, usiharibu kura yako 28/10, mpigie JPM tuMagufuli ni rais atakayekuwa wa kwanza kutawala awamu moja ndani ya taifa letu zuri.
Amewagawanya watanzania
Amewadharau watanzania
Ameharibu mfumo mzima wa taifa letu huku mambumbumbu machache yakimkenulia meno!
Wengi wamekufa mazingira ya kutatanisha kwenye serikali yake
Kawafunga wengi kisiasa
Serikali yake imetetea ushoga mchana kweupe pee kwa kujitenga na operesheni ya makonda ya kuwasaka mashoga, serikali yake ikaandika barua ya kujitenga na lengo la makonda na ikakiri kwamba mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania 😔
Katumia vibaya hazina ya tsifa na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma kwa kiwango cha kutisha!
Amevuruga demokrasia
Kala fedha za rambirambi za watu wa Kagera
Kaliingiza jeshi la polisi na jeshi la wananchi kwenye siasa zake za majitaka
Hatufai hata kwa mwezi mmoja huyu mtu!
Watanzania wapenda haki pamoja na watu wote wapenda demokrasia wamemkataa
Mwaka 2020 upo kivingine acha kuishi kwa kukariri ya huko nyuma kumbuka CCM imewatesa watu kwa miaka mitano wana hasira machungu moyoni sasa wanaweka kufanya chochote kisichotarajiwa popoteUkiwafuatilia vizuri wana JF kwanza wengi wapo abroad (overseas) wakina BAK hawa
Wengi white colour job
Wengi sio wapiga Kura ila wapiga taarebu tu humu
Anasema mambo ya kuandamana wakati yeye yupo zake UK
Kwanza jua Hakuna m Tanzania ataacha shughuli zake aende barabarani kumpambania Mwanasiasa yoyote ukikutana nao huku Neno lao kuu utasikia atakaeshinda yoyote anatosha
Sasa viongozi wa Chadema na supporter wao wa mitandaoni ambao ki uhalisia Hawakai hata bongo wanaona wata andamana Kama nchi hizo nyingine wanavyoona
Wangejua uchaguzi wenyewe hauna hata joto huku mtaani kulinganisha na 2015 zaidi joto Lipo mitandaoni tu
Kama hawakuandamana kipindi kile Magu ni worst kwenye UKUTA Ndio waandamane awamu hii
Umekumbusha ishu ya Nigeria Hao wanasiasa watakutana France huko wanakunywa kahawa na kulipana posho za vikao vya maridhiano wakati huku ground mnapasuana vichwa
Halafu Kingine hawajui hata huko wanapoandamana na kubondana ni kutokana na historia zao
Hao Nigeria tokea enzi za Biafra ndio mambo yao hayo
Huku hatuna historia za kushikiana mapanga
Kwani nani kule mbeya nano alitoaYeye baba yako ameacha ushoga kwani?
Ina maana kipindi baba yako anakuwa shoga mheshimiwa Lissu alikuwa ndo rais?
Nashauri tusubiri impact yake,maana tokea tupate Uhuru haijawahi kuwa na mgombea urais aliyeweka Wakili wake kumsimamia iwapo atafanyiwa vitendo vya uminywaji Wa haki zake.itawezekana anakusanya ushahidi end of the day ataweza kuwaslisha kesi ICC.Jiwe ana PhD lakini hajasoma.Beberu mwisho wake mwezi huu. Shuain zake
Yaani chadema mnaona mmepata kidume Cha kuwatikisa watanzania? Hiyo barua mnayoishobokea ni ya kuonesha jinsi ambavyo bado mna mawazo ya kitumwa kutaka huyo mzungu awe anafikiria badala yenu.Kunekucha haswaaaaa
"Minyoo" [emoji23][emoji23]Tanzania ipi unaisemea? Tanzania yako binafsi unaposhinda ukivuta Bangi?
Chadema mngekuwa na uwezo huo msinge tegemea huyo mzungu. Halafu mnataka Uhuru wakati mawazo yanategemea huyo mzungu.Pepo toka, tuachie nchi yetu, tuachie uhuru wetu, tunahitaji haki. Haki ya kuishi, haki ya kuwa na furaha
Magu anapiga magoti na ubabe wake,mbabe kapata mbabe.lisu kidume cha meko.Yaani chadema mnaona mmepata kidume Cha kuwatikisa watanzania? Hiyo barua mnayoishobokea ni ya kuonesha jinsi ambavyo bado mna mawazo ya kitumwa kutaka huyo mzungu awe anafikiria badala yenu.
Sasa uanasheria wa wa Lissu una maana gani?
Bwabwajeni mtandaoni huyo Lissu Dec 18 anaenda ubelgiji kwa beberu lake Amsterdam.
Ni Nani amewachoka hao CCM?! Je, majority ya Watz wako CCM au kwa kibaraka Lissu?Maneno haya kwanza waambie ccm wanaong'ang'ania madaraka wakati wamechokwa.
Tangu lini?Magu anapiga magoti na ubabe wake,mbabe kapata mbabe.lisu kidume cha meko.
Mkuu ndo maana ya neno wakili msomi.we hutaambulia kitu hapo.Mimi sio shabiki wa Magu na kura sipigi kwa mtu yeyote lakini swala la kumshabikia huyo jamaa linaboa sana. Lisu anakubalika bila mibarua ya huyokhanithi
Ubarikiwe kwa kumtetea raisi wako.Uchaguzi wa mwaka huu umetumia fedha nyingi sana kuhonga watu.
Hawa CCM inaelekea utawala kwao ni dili kubwa sana.
Ni kama majambazi wakiona sehemu kuna fedha yanatumia kila nguvu na silaha kupata fedha hata kwa kuua .
Miaka Mitano Polepole na Bashiru wametengeneza siasa za kuuana na kuumizama ili kubaki kwenye Dola.
Bahati mbaya Bashiru na Polepole hawajaguswa na matukio yanayolingana na roho zao mbaya hapa duniani. Wamesababisha Mayatima wengi hawa watu wawili wakiungwa mkono na Kheri na Musiba.
Mungu atawalipia mayatima waliowakosa wazazi wao kwa sababu ya Pole pole ,Bashiru, Musiba na Kheri. Ni watu waovu hawa watu wanne. Watu wasio na Chembe ya utu na huruma. Ni bora kufuga majini kuliko hawa watu wanne.
Polepole ,Bashiru ,Musiba na Kheri wametuharibia nchi. Siasa imekua ni uadui mkubwa kuliko kitu chochote. Waovu wakubwa sana hawa na wamemchafulia sana Rais wetu kwa uroho wao wa madaraka.
Magufuli atashinda kiulaini mno mno. Mungu aliyeiepusha TZ na mafisadi 2015 pia akaiepusha na korona 2020 ndiye huyo huyo ataiepushaTZ na vibaraka wanaotaka utawala kwa maslahi ya majizi ya kizungu yaliyozoea kujizolea madini yetu. Mungu bado anaipenda mno TZ.Magufuli ni rais atakayekuwa wa kwanza kutawala awamu moja ndani ya taifa letu zuri.
Amewagawanya watanzania
Amewadharau watanzania
Ameharibu mfumo mzima wa taifa letu huku mambumbumbu machache yakimkenulia meno!
Wengi wamekufa mazingira ya kutatanisha kwenye serikali yake
Kawafunga wengi kisiasa
Serikali yake imetetea ushoga mchana kweupe pee kwa kujitenga na operesheni ya makonda ya kuwasaka mashoga, serikali yake ikaandika barua ya kujitenga na lengo la makonda na ikakiri kwamba mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania [emoji17]
Katumia vibaya hazina ya tsifa na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma kwa kiwango cha kutisha!
Amevuruga demokrasia
Kala fedha za rambirambi za watu wa Kagera
Kaliingiza jeshi la polisi na jeshi la wananchi kwenye siasa zake za majitaka
Hatufai hata kwa mwezi mmoja huyu mtu!
Watanzania wapenda haki pamoja na watu wote wapenda demokrasia wamemkataa
Hapa au?Mkuu kimbembe cha Libya sio mchezo. Mawaziri wengi tupo nao kwenye makambi ya wakimbizi