Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Mwaka 2020 upo kivingine acha kuishi kwa kukariri ya huko nyuma kumbuka CCM imewatesa watu kwa miaka mitano wana hasira machungu moyoni sasa wanaweka kufanya chochote kisichotarajiwa popote
Njoo mtaani uone watu walivyo hawana time na hayo ma uchaguzi

Itatokea amani tu vurugu watafanya watu wawili Watatu na watadhibitiwa

Bado hatuna upinzani wa kushika hii nchi
 
Chadema mngekuwa na uwezo huo msinge tegemea huyo mzungu. Halafu mnataka Uhuru wakati mawazo yanategemea huyo mzungu.
Mbona nyie mnategemea polisi, Tume ya Uchaguzi, T!$$ Jeshi na makorokocho kibao yasiyo haki?
Leo mmewaagiza TCRA wayaambie makampuni ya simu kuwa ukituma ujumbe wowote wenye jina la Tundu Lissu, ujumbe huo usiende, what a shame? Chama.kikubwa kinacheza mziki wa kitoto
 
Usiseme hivyo ndugu yangu. Sie wengine ni walemavu. Watu mmekazania kumwaga damu utadhani mnafuga majini.

Wewe kweli ni mlemavu na zaidi ya mlemavu hapo ulipo. Hakuna kitu kibaya kuwa MLEMAVU WA AKILI.

Watu wanaonewa na kudhulumiwa na huu Utawala dhalimu wa CCM kisa Magufuli kajenga Flyover, SGR na UBUNGO interchange!

Maendeleo ya VITU pasipo UHURU NA MAENDELEO ya watu ni upuuzi na wendawazimu. Amka na jitambue. Uhuru wako na Haki zako visipokwe na CCM kwa kujenga Madaraja, Ndege, Meli, Reli etc.
 
Njoo mtaani uone watu walivyo hawana time na hayo ma uchaguzi
Itatokea amani tu vurugu watafanya watu wawili Watatu na watadhibitiwa
Bado hatuna upinzani wa kushika hii nchi

Acha propaganda za Lumumba!

KIKWETE alimwambia Jiwe kwamba Upinzani siyo UADUI lakini alivo mpuuzi akadharau.

Walioko Upinzani Ni WATANZANIA Kama alivyo Magufuli na they have the rights to govern this country!

Kinachoongoza nji ni KATIBA YA NJI ndo maana Rais anaapishwa kuitii, kuilinda na KUISIMAMIA Katiba ya JMT. Ilani haiongozi/ haitawali nchi, it's just a roadmap to the ruling party!
 
Acha propaganda za Lumumba!
KIKWETE alimwambia Jiwe kwamba Upinzani siyo UADUI lakini alivo mpuuzi akadharau.
Walioko Upinzani Ni WATANZANIA Kama alivyo Magufuli na they have the rights to govern this country!
Kinachoongoza nji ni KATIBA YA NJI ndo maana Rais anaapishwa kuitii, kuilinda na KUISIMAMIA Katiba ya JMT. Ilani haiongozi/ haitawali nchi, it's just a roadmap to the ruling party!!!
Kiongozi kusema hakutakua na vurugu ndio Zimekua propaganda za Lumumba.
 
Tunapata Nini kwa kwenda kwe nchi yao kuwalamba matako...na ujue huyu WAKILI WENU HAKUBALIKI Hata huko marekani baada ya kuchukua kesi za Maduro wa Venezuela na vibaraka wake....mbaneni tu lissu atuambie amepata wapi mabilioni ya kumlipa Amsterdam
Mbona mnapokea mabilioni yao? Kataeni
 
Kunekucha haswaaaaa

Hauchi, hauchi umekuchwaaaaa!!!!

Hii barua ya Wakili msomi Bwana Amsterdam inatisha.

Kumbe CCM tayari wana kura zao mfukoni?? Kumbe CCM wamesha andaa kura bandia zenye ushindi wa 60%? Sasa naweza kujua Kwanini huyu kirume Cha nyani Bwana Polepole anasema watashinda kwa 95%!
Unajua itakuwaje?

Ni hivi : Baada ya CCM na Magufuli kugundua kuwa WANAKWENDA KUSHINDWA VIBAYA NA CHADEMA KWENYE SANDUKU LA KURA wakakaa CCM, NEC,TISS na POLISI KUPANGA MATOKEO BANDIA a.k.a USHINDI WA KISHINDO.

KURA halali za Magufuli Ni 35% KWENYE SANDUKU LA KURA. LISSU ATAPATA 55%+++. ILI MAGUFULI ASHINDE ILE 35% WATA UNGANISHA NA HIYO 60% YA KURA ZA KUGHUSHI TO MAKE 95%.......DEAL DONE!!!

HIVO kati ya TAREHE 29 Okt na 2 Nov....... NEC WATATANGAZA MAGUFULI ASHINDA KWA KISHINDO KWA 95%.......Hapo chacha Njomba.....itakuwa ukimung'unya nchale na ukitema nchale😁😁😁
Uchaguzi huu ni balaaa!!!!

Let's get prepared for the upcoming worst case!!!!
 
Angeeleweka vizuri kama angeandika kwa kisukuma,Magufuli haelewi kibepari.Tarehe 28 chagua Magufuli, Tanzania njema yaja.

Sema Magufuli haelewi KIBEBERU. Sidhani kama Jiwe anajua hata maana ya neno "BEPARI" maana tangu awe Rais sijasikia akilitamka even once!!! I
 
Kwa nilivyosoma huo waraka ina maana hakuna uchaguzi. Sasa tuombee tu jumuiya ya kimataifa iandae vikwazo.

Hakuna sababu ya kutumia mabilioni ya fedha kufanya uhuni kama huu huku mahospitali yakiwa hayana dawa wala vifaa na shule ndizo zimekuwa kama mahame huku mtu akipigana kulazimisha atawale kwa nguvu pasipo ridhaa ya wananchi.

Nitashangaa sana kama nchi hii haitawekewa vikwazo vikali vya kiuchumi safari hii.
 
Mbona Amsterdam Kesha hitimisha!!! Jamaa anasomeka vizuri tu mbona? Yaani kwa mafyongo ambayo CCM WAMEPANGA WANAKWENDA KUAIBIKA MBELE YA JUMUIA YA KIMATAIFA. Tayari Amsterdam ameshaelekeza Jumuia zote za Kimataifa kujiandaa kuona matokeo "fake" yaliyopikwa tayari.

Hizi habari siyo za kubuni. Kuna watu wamevujisha hizo habari toka jikoni!!!!Usifikiri Jiwe anapendwa na wote walio ndani ya mfumo. Kuna wengi wameumizwa aidha wao wenyewe au ndugu zao!
 
Tunataka wazungu waje hapa hii ni nchi yangu nina Uhuru wa kuiuza au kuitumia mbona nyie mmeiuza kwa Mrundi anaua watu wetu hapa Sasa sisi tunauza kwa wazungu wanaojielewa nyambaaaf nyie
Ni nchi ya watu milioni sitini.
 
Hauchi, hauchi umekuchwaaaaa!!!!
Hii barua ya Wakili msomi Bwana Amsterdam inatisha.
Kumbe CCM tayari wana kura zao mfukoni?? Kumbe CCM wamesha andaa kura bandia zenye ushindi wa 60%? Sasa naweza kujua Kwanini huyu kirume Cha nyani Bwana Polepole anasema watashinda kwa 95%!
Unajua itakuwaje?
Ni hivi : Baada ya CCM na Magufuli kugundua kuwa WANAKWENDA KUSHINDWA VIBAYA NA CHADEMA KWENYE SANDUKU LA KURA wakakaa CCM, NEC,TISS na POLISI KUPANGA MATOKEO BANDIA a.k.a USHINDI WA KISHINDO.
KURA halali za Magufuli Ni 35% KWENYE SANDUKU LA KURA. LISSU ATAPATA 55%+++. ILI MAGUFULI ASHINDE ILE 35% WATA UNGANISHA NA HIYO 60% YA KURA ZA KUGHUSHI TO MAKE 95%.......DEAL DONE!!!
HIVO kati ya TAREHE 29 Okt na 2 Nov....... NEC WATATANGAZA MAGUFULI ASHINDA KWA KISHINDO KWA 95%.......Hapo chacha Njomba.....itakuwa ukimung'unya nchale na ukitema nchale[emoji16][emoji16][emoji16]
Uchaguzi huu ni balaaa!!!!
Let's get prepared for the upcoming worst case!!!!
Uzuri tayari tusha wastukia
 
Yaani chadema mnaona mmepata kidume Cha kuwatikisa watanzania? Hiyo barua mnayoishobokea ni ya kuonesha jinsi ambavyo bado mna mawazo ya kitumwa kutaka huyo mzungu awe anafikiria badala yenu.
Sasa uanasheria wa wa Lissu una maana gani?
Bwabwajeni mtandaoni huyo Lissu Dec 18 anaenda ubelgiji kwa beberu lake Amsterdam.
Hata nyinyi mnaowaomba misaada hao wazungu bado mna mawazo ya kitumwa
 
Mzeee baba hana muda wa kusoma huo utumbo , yupo busy na ushindi ni lazima maana tunafahamu mataifa ya kibepari yanafanya kila linalowezekana lakini JPM SHUJA ANAENDA KUSHINDA KWA KISHINDO ......

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom