Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Pata shika la Libya HiloHapa au?
Hakuna cha waziri wala polepole na Mavi 8 yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pata shika la Libya HiloHapa au?
Nenda kaseme haya maneno kwa walibya saa hii uone kama hujanyofolewa ubongo huo.Gaddafi wa kuwaonea Libya hayupo tena.
Njoo mtaani uone watu walivyo hawana time na hayo ma uchaguziMwaka 2020 upo kivingine acha kuishi kwa kukariri ya huko nyuma kumbuka CCM imewatesa watu kwa miaka mitano wana hasira machungu moyoni sasa wanaweka kufanya chochote kisichotarajiwa popote
Mbona nyie mnategemea polisi, Tume ya Uchaguzi, T!$$ Jeshi na makorokocho kibao yasiyo haki?Chadema mngekuwa na uwezo huo msinge tegemea huyo mzungu. Halafu mnataka Uhuru wakati mawazo yanategemea huyo mzungu.
Usiseme hivyo ndugu yangu. Sie wengine ni walemavu. Watu mmekazania kumwaga damu utadhani mnafuga majini.
Njoo mtaani uone watu walivyo hawana time na hayo ma uchaguzi
Itatokea amani tu vurugu watafanya watu wawili Watatu na watadhibitiwa
Bado hatuna upinzani wa kushika hii nchi
Kiongozi kusema hakutakua na vurugu ndio Zimekua propaganda za Lumumba.Acha propaganda za Lumumba!
KIKWETE alimwambia Jiwe kwamba Upinzani siyo UADUI lakini alivo mpuuzi akadharau.
Walioko Upinzani Ni WATANZANIA Kama alivyo Magufuli na they have the rights to govern this country!
Kinachoongoza nji ni KATIBA YA NJI ndo maana Rais anaapishwa kuitii, kuilinda na KUISIMAMIA Katiba ya JMT. Ilani haiongozi/ haitawali nchi, it's just a roadmap to the ruling party!!!
Ameshanisikia kabla ya wewe kuniqoute.Kwa bahati nzuri Mwenyezi Mungu hakusikii.
Kwani uongo? CHADEMA yenyewe ni huyo mzungu na lazima akipata Lissu maana rahisi nchi hii itakuwa ya wazungu. Amka wewe!Tanzania ipi unaisemea? Tanzania yako binafsi unaposhinda ukivuta Bangi?
Mbona mnapokea mabilioni yao? KataeniTunapata Nini kwa kwenda kwe nchi yao kuwalamba matako...na ujue huyu WAKILI WENU HAKUBALIKI Hata huko marekani baada ya kuchukua kesi za Maduro wa Venezuela na vibaraka wake....mbaneni tu lissu atuambie amepata wapi mabilioni ya kumlipa Amsterdam
Kunekucha haswaaaaa
Angeeleweka vizuri kama angeandika kwa kisukuma,Magufuli haelewi kibepari.Tarehe 28 chagua Magufuli, Tanzania njema yaja.
Kwa nilivyosoma huo waraka ina maana hakuna uchaguzi. Sasa tuombee tu jumuiya ya kimataifa iandae vikwazo.
Hakuna sababu ya kutumia mabilioni ya fedha kufanya uhuni kama huu huku mahospitali yakiwa hayana dawa wala vifaa na shule ndizo zimekuwa kama mahame huku mtu akipigana kulazimisha atawale kwa nguvu pasipo ridhaa ya wananchi.
Nitashangaa sana kama nchi hii haitawekewa vikwazo vikali vya kiuchumi safari hii.
Nyerere alikuwa anapambana na wazungu, kwa hiyo aliwaitia wazungu wenzao watoane macho. Hapa sasa tofauti maana ni mswahili kwa mswahili.Kumbuka hata Nyerere kwenye kesi zake za uchochezi alitumia wanasheria toka Uingeleza
Ni nchi ya watu milioni sitini.Tunataka wazungu waje hapa hii ni nchi yangu nina Uhuru wa kuiuza au kuitumia mbona nyie mmeiuza kwa Mrundi anaua watu wetu hapa Sasa sisi tunauza kwa wazungu wanaojielewa nyambaaaf nyie
Uzuri tayari tusha wastukiaHauchi, hauchi umekuchwaaaaa!!!!
Hii barua ya Wakili msomi Bwana Amsterdam inatisha.
Kumbe CCM tayari wana kura zao mfukoni?? Kumbe CCM wamesha andaa kura bandia zenye ushindi wa 60%? Sasa naweza kujua Kwanini huyu kirume Cha nyani Bwana Polepole anasema watashinda kwa 95%!
Unajua itakuwaje?
Ni hivi : Baada ya CCM na Magufuli kugundua kuwa WANAKWENDA KUSHINDWA VIBAYA NA CHADEMA KWENYE SANDUKU LA KURA wakakaa CCM, NEC,TISS na POLISI KUPANGA MATOKEO BANDIA a.k.a USHINDI WA KISHINDO.
KURA halali za Magufuli Ni 35% KWENYE SANDUKU LA KURA. LISSU ATAPATA 55%+++. ILI MAGUFULI ASHINDE ILE 35% WATA UNGANISHA NA HIYO 60% YA KURA ZA KUGHUSHI TO MAKE 95%.......DEAL DONE!!!
HIVO kati ya TAREHE 29 Okt na 2 Nov....... NEC WATATANGAZA MAGUFULI ASHINDA KWA KISHINDO KWA 95%.......Hapo chacha Njomba.....itakuwa ukimung'unya nchale na ukitema nchale[emoji16][emoji16][emoji16]
Uchaguzi huu ni balaaa!!!!
Let's get prepared for the upcoming worst case!!!!
Hata nyinyi mnaowaomba misaada hao wazungu bado mna mawazo ya kitumwaYaani chadema mnaona mmepata kidume Cha kuwatikisa watanzania? Hiyo barua mnayoishobokea ni ya kuonesha jinsi ambavyo bado mna mawazo ya kitumwa kutaka huyo mzungu awe anafikiria badala yenu.
Sasa uanasheria wa wa Lissu una maana gani?
Bwabwajeni mtandaoni huyo Lissu Dec 18 anaenda ubelgiji kwa beberu lake Amsterdam.