Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

Asitutishe
 
Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions
Kwa akili hizi na wewe unadhubutu kweli kusema ni mpenda maendeleo ya watanzania!?
===
Wahuni wa Benghazi huko Libya waliizamisha nchi yao kwa upuuzi wa fikira za namna hii!
Tanzania ni kubwa.Lielewe hilo mkuu.
 
Wa kuamua Magufuli awe rais au asiwe rais ni watanzania si Amstadam wala vibaraka wake
 
Licha ya matatizo ya kitaifa bado mie ni Mtanzania. Mbona Congo DRC Wabelgiji wameiba na wanaendelea kuiba na kuuwa watu na kufadhili vikundi vya kigaidi na hakuna kilicho fanyika? Mbona RA hawajibishi mgodi wa North Mara kwa kutiririsha kwa makusudi maji yenye sumu kwa raia, alifanya Nini?
Natambua tuna changamoto nyingi sana Kama taifa Ila kwa hili Lisu umekosea Kura yangu. Sikupigii Kura kwa sababu umeshindwa kuweka pembeni maumivu ya risasi ( ulifanyiwa unyama hata Mimi niliumia) na kuyafanya maumivu yako yawe ya taifa.
I won't vote for Lisu due to RA interference
 

Mkuu, ukisikia brainwashing ndiyo kama hivyo. Kuna watu wameshikiwa akili zao na watu wengine. Some have become zombies, literally!

Hasira zote tutazielekeza kwenye ballot box.
 
Kwa akili hizi na wewe unadhubutu kweli kusema ni mpenda maendeleo ya watanzania!?
===
Wahuni wa Benghazi huko Libya waliizamisha nchi yao kwa upuuzi wa fikira za namna hii!
Tanzania ni kubwa.Lielewe hilo mkuu.
Kama CCM inapenda maendeleo ya watanzania,kwann inaogopa uchaguz huru na wazi?kwann CCM inajisifia na ma hardtop & V8 zenye AC safi wakati wananchi wa kawaida kwa wingi wanalala kwenye nyumba za tembe?
 
Andika kiswahili. Lugha ya watu huiwezi. Unatia aibu mkuu.
 
Hivi RA anajua kuwa Tanzania hamna Covid-19? Au atatuma wakala kwa Nini hatutoi takwimu.
I am a patriot, I love my country, viongozi wetu wakitushinda tutawatoa tu hata kwa maandamano. Wasituletee za Libya. Mbona Saud Arabia imewashinda kupeleka democracy?
 
Kwani Robert kasemaje? Naona wanaomponda wote hawajaelewa alichosema. Mm kwa kweli siwapendi watu wanaoingilia Uhuru wa nchi za watu. Uhuru wa watu na sio hawa wanaosema boksi la kura liheshimiwe. Tume ni ya Tz, tupo salama. Tl akapigwe kwenye boksi la kura na si vinginevyo.
 
Hali ya Libya ikoje sasa? Kwa hiyo, unataka taifa letu nalo liingie kwenye huo mtego, ambao umeinasa na kuiua Libya?

Kuna viumbe wa ajabu Tanzania sijawahi wazia. Yaani mtu anatamani nchi anakoishi yatokee yaliyotokea Libya.
Mungu tunakuomba udeal na hawa watu mmoja mmoja. Kama Tanzania haiwafai wafungulie milango waende ubelgiji watuachie nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…