SuperAsanteni rafiki zetu Wazungu maana Waswahili tumebakia kuvunjana miguu sisi vs sisi!
Mwambie Magufuli Aaanze yeye kwanza kujitegemea aoneshe mfano, aache kula,kuhonga mpaka kunya kwa kodi za walalahoi.Sasa nani kakwambia anataka misaada yao?
Magufuli anachotaka ni watu kama nyie mzibuke hizo akili ili muwe na fikra za kujitegemea! Siyo kila siku misaada kama yule mgembea wenu aliekimbia aliesema tz haiwezi kuishi bila wazungu.
Kumbe akili zenyewe tu hunaSuper
Mwambie Magufuli Aaanze yeye kwanza kujitegemea aoneshe mfano, aache kula,kuhonga mpaka kunya kwa kodi za walalahoi.
View attachment 1628941
Wanatoa bure? Kwa akili yako unafikir mzungu anakupa kitu bila return?Mpuuzi wewe, wakitoa misaada wanakuwa wahisani, mbona hela ya MCC mlikuwa mnailalamikia sasa kama mnaweza kujitegemea?
Tofautisha serikali na chama!!!!Hususani akiwa yeye ndio alfa na omega kwamba akiondoka chama kina kufa kama ilivyo kwa mheshimiwa Mbowe
Ndio ulichokaririshwa?Tofautisha serikali na chama!!!!
Just think of it!!
Mashamba kuvurugwa!!
Vitega uchumi kubomolewa
Account kufungwa
Lakini bado mtu ana survive na haungi juhudi.......
Na ukiwafuatilia hao wanao shabikia mara nyingi utakuta wamelegea viunoKama hujishughulishi unakaa kwa shemeji yako Mbowe au Sugu lazima uone unateswa Kama mkimbizi. Wanaume waliozoea kula kwa jasho hawalii lii hovyo mitandaoni. Nakuhakikishia hakuna litakalotokea.
Mmegeuka kuwa wanawake malaya mkisikia Amsterdam ka tweet hivi mnakurupushana usingizini kushangilia. Eti watu wa nje wawasaidie!?
Kama mlishindwa kuandamana ndo imetoka hiyo. Mtasubiri sana Ila nakuhakikishia hakuna litakalotokea. Kwa akili hizi za kusikilizia mabaya yaikute nchi bora CCM iendelee kutawala miaka 200 inayo.
Ndicho usotaka kusikia?Ndio ulichokaririshwa?
Ukatili unaofanywa na akina Jiwe Kwa watanzania wenzao haukuwahi kufanywa na waingereza, wajerumani kwa waTanganyika.Asanteni rafiki zetu Wazungu maana Waswahili tumebakia kuvunjana miguu sisi vs sisi!
Salary unasubili nini tanzania si uende huko kwao unao waabudu mkaoane huko?Bora wazungu kuliko kikundi cha watu wanaoitwa CCM wasiojali mateso, shida na tabu za watanzania.
UK wangetaka wangejitoa ndani ya umoja wa ulaya ni day One activity, lakini wanaona si busara kutoka bila mkataba wowote ule.Bunge la Ulaya, siasa za Tanzania!
Mgogoro wa Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za Tanzania kweli?
AmazingGood tufungiwe misaada yote na wahisani
Wewe empty head tabulalasa , bipolar disorder anaweza kuleta maendeleo ?Na wewe umeamini CCM wanahaha Chadema waingie bungeni!??... Kweli bado humjui JPM vizuri. Hata asingepatikana mbunge wa upinzani hata mmoja no one cares!??, Wananchi wanahitaji maendeleo FULL STOP, sio huu usen.ge wenu wa mara Ni Yeye, mara Amsterdam, mara bunge la ulaya etc. Watu wanataka waone mabadiliko kwenye Jamii sio Siasa zenu za kilaghai.
Jiwe namjua!! Sasa kwa akili yako Jiwe atawafanya nini??? Kwa fupa walilomwekea tu la ICC hachomoi. Ndo nae atajifunza maumivu aliyompa Erick Kabendera yanaumajewatasaidiaje? Unamjua Jiwe au unamsikia?
Ndo wanafanya sasa na hauna cha kuwafanyaYani Mambo ya Afrika yajadiliwe na mzungu tupo Berlin conference
sawa mwambie huyu kibaraka wa mabeberu na sisi tuna jambo letuuAmeandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Kwanza walidai kaalikwa bunge la EU, Lissu mwenyewe akakanusha, hivyo Hawa wafuasi wa huyu bwana ni wakupuuza tu, ukiona post yao wewe isome alafu tabasamu kisha kunywa maji barid na uendelee na kusoma reply zao huku ukifurahi wanavyo jipa moyo.Acheni uzwazwa machadema!
Waache kujadili hali inayoendelea Msumbiji na Ethiopia badla yake wajadili tz iliyotulia tuliii na watu wanaendelea na mishe zao?
Huyo Amsterdam wenu tuliwaonya kwamba anamharibia mteja wake nyie hamkusikia.