Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

Diaspora wameona Lisu ni kibaraka ndio maana wako kimya
Diaspora wanamtegemea Lissu labda ndiye atakaye leta sheria ya uraia pacha Tanzania pindi akipata ridhaa ya kuongoza nchi ili watanzania waliyo nje waweze kuja kuwekeza kama wazawa na si kama wageni ili ajira zipatikane na maendeleo yapatikane.

Diaspora si wapiga kura lakini ni wachangiaji wakubwa wa maendeleo ya nchi zao za asili kifikra na kiuchumi. Wale waliyokuwa wakisafiri nje kila mara walikuwa vibaraka?

Na wale waliyokuwa wamekubaliana mikataba ya uchimbwaji wa dhahabu na nchi kupata share ya 3% walikuwa vibaraka? Lazima tuweke maslahi ya nchi kwanza kabla ya watu na vyama vyao.
 
Kumbe hata humjui shehe Ponda. Kama hujui anawatetea waislamu kwa lipi hutakiwi hata kuendelea kuwepo kwenye huu uzi.
Lisu hajui siasa bado ni mwanaharakati ndio maana kumpandisha jukwani Ponda ili awashawishi waislamu wampigie kura Lisu wenye akili tunaona huyu mtu ni mbumbumbu wa siasa
 
Alishasema hata nyerere aliteyewa na wakili muingereza wkt wa harakati za kupigania Uhuru hakuna cha ajabu chini ya juwa wewe gamba

Safari kila propaganda ina majibu yake hamna pa kutokea kenge nyie
Yani unamfananisha Nyerere na vitu vya kijinga!

Lisu kaangukia pua! Yani Amsterdam atupangie sie watz wa kumchagua? Ana akili kweli huyu?
 
Bado nchi hii tuna watu wajinga sana kama ww, hata baba wataifa mwalimu nyerere alikuwa na wakili beberu wa uingereza kwa ajili ya kumtetea dhidi ya kesi za wakoloni, huyo beberu alimsaidia ktk kesi zake alizokuwa anafunguliwa za uchochezi na mpaka tukapata uhuru Kupitia harakati za mwalimu nyerere
Rudi darasani ukasome mnaleta hoja za kipumbafu mnafikiri watanzania bado ni wajinga shenzi kabisa
 
Na Ole wao wajaribu kuharibu uchaguzi watakiona cha moto,
 
Yes. Kama angesimama yeye kama Lisu lakini siyo kama Amsterdam
 
Hata uniite mimi kilaza hao kina Amsterdam wamechangia sana, kuna kundi halitampigia Lisu kura sababu yao.

Huwezi wewe mbelgiji unataka kutupangia sisi watz wa kumchagua. Utaanguka tu
Kwa hali ilivyo ktk utawala huu bado mnahitaji magufuli aendelee kuwa Rais wa nchi hii?
 
Nyie waislam wa ponda mpo wangapi?
 
Unataka Amsterdam mbelgiji ndio awe rais kwa mgongo wa Lisu?
Una mfano wowote wapi hiyo imetokea
Yani ni nchi gani ktk afrika hilo limefanyika? Ndiyo maana mzee lowassa alisema elimu elimu elimu
 
Kamanda Lissu kakumbatia gundu,anaanguka
 
Lisu yeye mabilioni ya kumpa Amsterdam atayatoa wapi?

Hivi kila mgombea akiweka mtu wake kutoka nje awe anampigania patakuwa na taifa tena?

Lisu kashafeli
Huyo uliyem-quote anaandika pumba zake anakuwa ndani ya nyumba fulani mbali kanisa na wanapoishi wananchi wenye kujua rais Magu anafanya nini nchini.
 
Hii sindano imewaingia vizuri ccm safi sana Lissu na Ponda.
 
Mleta mada umeleta hoja isiyo na mashiko

Kwani umeambiwa Wakiristo na Waisl
amu wana ushindani kama wa Simba na Yanga kiasi kwamba kila kisemachwa na muislamu lazima kipingwe na Mkiristo na kila kisemwacho na Mkiristo lazima kipingwe na Muislamu? huo ni ujinga

Kama wewe una mentality hiyo basi una roho mbaya tu huna hoja ya msingi!, yaani una roho ya kwa nini.

Lissu ni Mkiristo na ni Mkatoliki, Magufuli ni Mkiristo na ni mkatoliki Sasa Udini wa Ponda hapo uko wapi?

Au wewe hupendi Ponda kumuunga mkono mtu anayetetea haki ili waislamu waendelee kutawaliwa na mtu mdini na mbaguzi ili waendelee kubaguliwa katika nchi yao wenyewe?.

Naona umesukumwa na hisia za udini zaidi kuliko fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…