Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diaspora wanamtegemea Lissu labda ndiye atakaye leta sheria ya uraia pacha Tanzania pindi akipata ridhaa ya kuongoza nchi ili watanzania waliyo nje waweze kuja kuwekeza kama wazawa na si kama wageni ili ajira zipatikane na maendeleo yapatikane.Diaspora wameona Lisu ni kibaraka ndio maana wako kimya
Lisu hajui siasa bado ni mwanaharakati ndio maana kumpandisha jukwani Ponda ili awashawishi waislamu wampigie kura Lisu wenye akili tunaona huyu mtu ni mbumbumbu wa siasaKumbe hata humjui shehe Ponda. Kama hujui anawatetea waislamu kwa lipi hutakiwi hata kuendelea kuwepo kwenye huu uzi.
Yani unamfananisha Nyerere na vitu vya kijinga!Alishasema hata nyerere aliteyewa na wakili muingereza wkt wa harakati za kupigania Uhuru hakuna cha ajabu chini ya juwa wewe gamba
Safari kila propaganda ina majibu yake hamna pa kutokea kenge nyie
Bado nchi hii tuna watu wajinga sana kama ww, hata baba wataifa mwalimu nyerere alikuwa na wakili beberu wa uingereza kwa ajili ya kumtetea dhidi ya kesi za wakoloni, huyo beberu alimsaidia ktk kesi zake alizokuwa anafunguliwa za uchochezi na mpaka tukapata uhuru Kupitia harakati za mwalimu nyerereYani kabisa wewe ni Muafrika na unapiganiwa na beberu ili uwe Rais? Utapingwa na Waafrika wote popote duniani walipo. Hivi mnaona hata wale diaspora aliokuwa anawahutubia Lisu akiwa Ulaya wanaonekana sasa hivi? Wameona huyu jamaa hana nia njema kabisa na tz.
Kitendo cha Amsterdam kuingilia mambo ya ndani ya tz tena nyeti kama uchaguzi ili tu kumsapoti Lisu kuna watu wengi sana wameahirisha kumpigia kura Lisu. Watanzania siyo wajinga linapokuja suala la maslahi ya taifa letu, nafikiri manakumbuka sapot aliyokuwa anapata Magu wakati wa janga la corona aliooamua kupambana jino kwa jino na wakenya kupitia wakuu wa mikoa.
Watu wanajiuliza Lisu atatoa wapi mabilioni ya kumlipa Amsterdam kwenye hii kazi yake aliyompa?
Ponda hawezi kusimama kwenye mkutano wa Lisu na kusema waislamu tumpigie kura Lissu na Lissu nae kuchekelea kama zuzu!
Je, Lissu amejiuliza maamuzi ya wakristo kufuatia matamshi hayo ya Ponda kwenye mikutano yake.
#magu 5 tena.
Na Ole wao wajaribu kuharibu uchaguzi watakiona cha moto,Mimi mkrito na ninaona sawa Sheikh Ponda kumpigia kampeni Lissu. Udhalimu wa Jiwe umeathili wote si waislamu, si wakristo. Wakristo na Waislamu tumeona Jinsi Jiwe wenu akishirikiana na Ndugai walivyomnyanyasa Prof Assad kwa sababu tu anasimamia uislamu wake. Wakristo na waislamu tumeona jinsi Askofu niwemugizi alivyoteswa na vyombo vya usalama vya magufuli kwa kuambiwa sio Raia na kunyang’anywa passport kwa sababu tu alisimamia kweli yake katika ukristo
Kuhusu Robert Amsterdam wala hatushangazi na zaidi tunamfurahia. Kama mawakili wa ndani wanaompigania Lissu kina Fatma Karume mnalipua ofisi zao na kuwafuta uwakili sasa mnategemea Lissu aendelee kutumia mawakili wa ndani Tanzania???
Mtu mnataka kumuua na mmemsababishia ulemavu kwa marisasi yenu alafu hata mawakili wa ndani wanaomtetea mnawanyanyasa na kuwavua uwakili alafu ndo aendelee kutumia mawakili wa ndani??? Thubutu yenu.
Mwaka huu Ccm mmeshikwa vibaya sana na lazima muachie madaraka mwaka huu mtake msitake.
Yes. Kama angesimama yeye kama Lisu lakini siyo kama AmsterdamDiaspora wanamtegemea Lissu labda ndiye atakaye leta sheria ya uraia pacha Tanzania pindi akipata ridhaa ya kuongoza nchi ili watanzania waliyo nje waweze kuja kuwekeza kama wazawa na si kama wageni ili ajira zipatikane na maendeleo yapatikane. Diaspora si wapiga kura lakini ni wachangiaji wakubwa wa maendeleo ya nchi zao za asili kifikra na kiuchumi. Wale waliyokuwa wakisafiri nje kila mara walikuwa vibaraka?
Na wale waliyokuwa wamekubaliana mikataba ya uchimbwaji wa dhahabu na nchi kupata share ya 3% walikuwa vibaraka? Lazima tuweke maslahi ya nchi kwanza kabla ya watu na vyama vyao.
Kwa hali ilivyo ktk utawala huu bado mnahitaji magufuli aendelee kuwa Rais wa nchi hii?Hata uniite mimi kilaza hao kina Amsterdam wamechangia sana, kuna kundi halitampigia Lisu kura sababu yao.
Huwezi wewe mbelgiji unataka kutupangia sisi watz wa kumchagua. Utaanguka tu
We ni moja wa kilaza mkubwa. Wazazi wako ana hasara kubwa sana.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ponda hujui nguvu aliyonayo kwa waislamu, sisi waislam ndio tunajua kwa nini Ponda anasema tumpigie kura Lissu. Maadam Shekhe Ponda kasema nanikiongozi wetu basi tutatekeleza.
Kama huamini subiri uone maeneo yenye waislam wengi kama Magufuli atachomoka, nasababu nikuwa tunamsikiliza kiongozi wetu Shekhe Ponda. Hata wanaccm lilia kama Pohamba watampigia kura Lissu, kwa maana watamsikiliza kiongozi wetu Shekhe Ponda.
Una mfano wowote wapi hiyo imetokeaUnataka Amsterdam mbelgiji ndio awe rais kwa mgongo wa Lisu?
Ponda ni Shekhe Mtetezi wa Waisilamu dhidi ya Uonevu wa taasisi za CCM haswa Bakwata.
Bob Amsterdam ni Wakili wa Lissu na ndiye aliemwambia Lissu aje Nchini ili hao waliokuwa wanasema Watamshambulia tena wamguse ili awafungulie mashtaka
Sasa neno Kuangusha litakuwa limepoteza maana kwenye kamili ya ccm
Huyo uliyem-quote anaandika pumba zake anakuwa ndani ya nyumba fulani mbali kanisa na wanapoishi wananchi wenye kujua rais Magu anafanya nini nchini.Lisu yeye mabilioni ya kumpa Amsterdam atayatoa wapi?
Hivi kila mgombea akiweka mtu wake kutoka nje awe anampigania patakuwa na taifa tena?
Lisu kashafeli
Diaspora tunamuunga Lissu. Tumemchangia kumtibu. Tunamchangia sasa kwenye kampeni. Tulia dawa iwaingieDiaspora wameona Lisu ni kibaraka ndio maana wako kimya
Hii sindano imewaingia vizuri ccm safi sana Lissu na Ponda.Yani kabisa wewe ni Muafrika na unapiganiwa na beberu ili uwe Rais? Utapingwa na Waafrika wote popote duniani walipo. Hivi mnaona hata wale diaspora aliokuwa anawahutubia Lisu akiwa Ulaya wanaonekana sasa hivi? Wameona huyu jamaa hana nia njema kabisa na tz.
Kitendo cha Amsterdam kuingilia mambo ya ndani ya tz tena nyeti kama uchaguzi ili tu kumsapoti Lisu kuna watu wengi sana wameahirisha kumpigia kura Lisu. Watanzania siyo wajinga linapokuja suala la maslahi ya taifa letu, nafikiri manakumbuka sapot aliyokuwa anapata Magu wakati wa janga la corona aliooamua kupambana jino kwa jino na wakenya kupitia wakuu wa mikoa.
Watu wanajiuliza Lisu atatoa wapi mabilioni ya kumlipa Amsterdam kwenye hii kazi yake aliyompa?
Ponda hawezi kusimama kwenye mkutano wa Lisu na kusema waislamu tumpigie kura Lissu na Lissu nae kuchekelea kama zuzu!
Je, Lissu amejiuliza maamuzi ya wakristo kufuatia matamshi hayo ya Ponda kwenye mikutano yake.
#magu 5 tena.
Tafuta kazi kijana acha kushunda mitandaoniJenga hoja acha kubwabwaja
Cheap politics jenga hoja.Kamanda Lissu kakumbatia gundu,anaanguka