Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Na hakika kuna wanasheria tz wazuri kuliko huyu samaki mweupe Amsterdam
 
Ni kweli Wafrika tunahitaji wawekezaji wa kizungu hata kwenye demokrasia maana kote tumeshindwa!
Ndiyo, tunajua mmeshindwa uchaguzi. Fikra za namna hii, upinzani hamtakaa kamwe mchukue dola. Labda mwendelee tu kuchukua dola za mikopo ya Wazungu.
 
Hata kama ila CV imechafuka ...
Hivi ndivyo vyeti FEKI tunavyovikataa kabisa; tunataka matokeo. Kusifiwa CV huko kitu gani wakati sisi lengo letu kila Mtanzania apate umeme, maji, huduma ya afya na elimu bora??? Kumbe ndiyo maana Mzungu wenu anajitahidi kusafiri Ulaya ili kuongeza CV??? Empty mindset!
 
Reactions: nao
Safiii Sanaaa.
 
"Acha mbwa waendelee kubweka sisi tunasonga mbele...." Gwajima akimnukuu Churchill bungeni leo
 
Hiyo Twitter sijui kama kaboood ataitafasiri kama ilivyo kwa yule mshamba wa chato aliyesoma seminary akashindwa kujua kiingereza
 
Nauliza tu wazoefu wa mambo ya Sheria, kama kesi itafanikiwa kufunguliwa ICC, Mshitakiwa kwa kwanza akiwa Rais tena aliyeko madarakani - Rais huyo akagoma kwenda na akamwamuru Waziri wake wa katiba na sheria kijitoa kwenye hiyo makahama - Je nini kitatokea?
 
Mama D na wewe, hivi unaweza kufungua kesi tu hata hapo kisutu bila kupeleka documents kwa masijala wa mahakama? ambaye naye atazipitia na kuona zina mashiko ama lah ili kesi ifunguliwe ama itupwe siyo, au na hili nalo hadi ufundishwe?
 
Mama D na wewe, hivi unaweza kufungua kesi tu hata hapo kisutu bila kupeleka documents zilizoshiba kwa masijala wa mahakama? ambaye naye atazipitia na kuona zina mashiko ama lah ili kesi ifunguliwe am itupwe!
Nilijua baada ya docs kila kitu tayari kwa sasa, kumbe bado iko kwenye matarajio
 
Mkuu,

Wewe ni MTanzania kweli?

Impostor ni nani katika nchi yetu na uthibitisho unao hadi unukuu mstari wenye neno hilo?

Maana fupi ya 'impostor' hii hapa:

"..An impostor is a person who pretends to be somebody else, often through means of disguise. Their objective is usually to try to gain financial or social advantages through social engineering, but also often for purposes of espionage or law enforcement...."

Sasa, baada ya kipande hicho kwa kuwa hapa ndio jukwaa la kuweka kila kitu bayana, tafadhali tusaidie kumtaja huyo mtu anayeitwa impostor na uwe tayari kutoa ushahidi kama ulivyomnukuu huyo Robert Amsterdam mwenye kusambaza kitabu cha 'Empire of Deceit'

Peruse the link: Who is Robert Amsterdam?
 

Hivi Kenya walikufa elfu nga hadi ICC wakafunua kesi? Kama hujui bora unyamaze kuliko kupotosha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…