Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Aendelee hivyo hivyo kufungua kesi , ila mzee baba anachapa kazi tu huku
 
Amsterdam na Lisu wake walikula za uso October 28th....kilichobakia ni zile Hekaya za Mfa maji haishi kutapatapa na mkae mkijua kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
 
Mishipa ya shingo imekutoka kwa kumtetea huyu mhutu, amekufanyia nini jema. Dude katili, liuaji, lisilothamini utu.
 
Mauaji yaliyotokea Tanzania siyo genocide kwa definition ya Umoja wa Mataifa. Genocide ni unapokusudia kuangamiza kundi maalum la raia wasio silaha aidha kwa sababuza kidini, kikabila, kijinsia nk.
 
Huyu R. Amsterdam kweli ni mtu? Ana uchungu gani na Watanzania? Isijekuwa ni katika wale waliochukuliwa mali!
 
Mauaji yaliyotokea Tanzania siyo genocide kwa definition ya Umoja wa Mataifa. Genocide ni unapokusudia kuangamiza kundi maalum la raia wasio silaha aidha kwa sababuza kidini, kikabila, kijinsia nk.
kuangamiza kundi la upinzani lisilo CCM particlarly CHADEMA
 
Huku Amsterdam kule the Hague mbona ccm mwaka huu mnalo🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Amsterdam na Lisu wake walikula za uso October 28th....kilichobakia ni zile Hekaya za Mfa maji haishi kutapatapa na mkae mkijua kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
mbona wahaya wana akili, sasa wewe ni muhaya au ni mushuti
 
mbona wahaya wana akili, sasa wewe ni muhaya au ni mushuti
Mimi ni Muhaya pure na nina akili sana, sema tumepishana kile tunachokiamini na ndio maana unanitoa akili na kuondoa uhalali wa kabila langu.
 
Huyu Ansterdam janja yake tushaijua.
Hivi anajua barua yake kwa Mbowe imevuja
 
Kwa style hii aise Magu aongezewe miaka 5' tena ya kuiongoza nchi hii mpk wengi wetu watakapojua FOCUS ya serikali hii.
 
Sawa ngoja tusubiri upumbavo wake huo atakao upeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…