πππππRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Source???Fanya fasta kumshitaki huyu mhutu. Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya hivi karibuni inaonesha Tanzania ni nchi isiyo na furaha duniani. Imeshika nafasi ya 147 kati ya nchi 154. Moja ya sababu ya nchi hii kuwa yenye huzuni ni kufiwa kwa demokrasia, wizi wa kura kupata watawala haramu, mauaji kwa wapinzani, hali ngumu ya maisha, nk. Yaani nchi ipo msibani. Mhutu na genge lake akajieleze ICC.
Jaribu kusoma crimes against humanity inabeba makosa mangapi?? Kwa uchache nakumbukaICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya βmassive crimes against humanityβ. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Mungu wabariki Wazungu
ππππππMungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibi.
JPMSasa impostor ni nani JPM au Ni yeye.
Wanaweza hata kuiweka ya 197 sababu wao ndio hawana furaha na Tanzania, japo wanaitamani sanaRipoti ya Umoja wa Mataifa ya hivi karibuni inaonesha Tanzania ni nchi isiyo na furaha duniani. Imeshika nafasi ya 147 kati ya nchi 154.
Binti SayuniMtatapatapa sana Tanzania itaendelea kuwa imara
Hata hawataitwa, hayo niawazo yako tu.Agh wapi kuitwa tu the Hague ni hatua njema itawaamsha sisiemu hujamuona musiba?
Namba 7 na 8 zinaihusu sana yanayoendelea Tanzania ya Magufuli. Kaleta kitu asichoelewa huyo gamba. Lugha ni tatizo kwa wabongo.Jaribu kusoma crimes against humanity inabena makosa mangapi?? Kwa uchache nakumbuka
1 war crimes
2 deportation
3 enslavement
4 torture
5sexual violence
6 force disaperences
7imprisonment
8 persecution
Ndio maana jamaa amemwambia AG ajiandae na changamoto kubwa mbeleni!Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Wanadamu wote wanaoneana sana, sema ni kwa njia tofauti!Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Nimetokea kuwachukia sana hawa watu!Washenzi kabisa hao,eti wanafanya kongamano kuwa uchaguzi umemalizika kwa amani!Kwa amani wakati watu wamekufa na wengine kufanywa vilema,shwain kabisa!
Endeleeni serikali lakini wale mnaowapelekea bakuli wanaelezwa unyama wenu live.Wananchi wa Tanzania wapo wanaona jinsi vibaraka wanavyotaka nchi yao ishtakiwe,uku wao wakikimbilia ughaibuni kula bata.
Kesho na keshokutwaViongozi wa dini wa Tanzania wanasubiri sadaka zetu kesho kutwa.
yaani chadema mnatia sana aibu aisee, mmekua kama toilet paper za wazungu. Hamuendi fungua kesi ICC. Inabidi ICC ndo ije wafungulia kesi viongozi you imbecileRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Hivi wew mama ndio wale mlifukuzwa kwa kukosa vyeti vya form four nini? Shame unamdhalilisha sana Oprah...Ended hen I serikali lakini wale mnaowapelekea bakuli wanaelezwa unyama wenu live.
Bora wazungu kuliko kikundi hatari kwa utu wa mwanadamu kinachoitwa CCM.yaani chadema mnatia sana aibu aisee,,...mmekua kama toilet paper za wazungu...hamwendi fungua kesi ICC..Inabidi ICC ndo ije wafungulia kesi viongozi you imbecile