Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kahongwa na Bwana wake mwingineImeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua kumbe anatumia iPhone 16pro max.
Mimi hata nguo nzuri sinunui, najiuliza aliipata wapi, kapewa na nani?.
Juzi Tu hapa kasema anadaiwa Ada nikalipa tena kwa kujibana Sana.
Aisee Roho inauma wazee, inauma sana.
Wanaume tusipokuwa makini tunakula mapema, ngoja niendelee kutafuta hela
Mama yako unamtumia shilingi ngapi kwa mwezi? Ngoja ufunzwe na ulimwengu yale ambayo mamayo hakukufunzaImeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua kumbe anatumia iPhone 16pro max.
Mimi hata nguo nzuri sinunui, najiuliza aliipata wapi, kapewa na nani?.
Juzi Tu hapa kasema anadaiwa Ada nikalipa tena kwa kujibana Sana.
Aisee Roho inauma wazee, inauma sana.
Wanaume tusipokuwa makini tunakula mapema, ngoja niendelee kutafuta hela
Mbona kila siku ananiambia ni Mimi tuKahongwa na Bwana wake mwingine
Hizi pesa ningewapa wazazi wangu wwangekuwa mvali sanaMama yako unamtumia shilingi ngapi kwa mwezi? Ngoja ufunzwe na ulimwengu yale ambayo mamayo hakukufunza
Huu ushauri ni Muhimu Sana, yaani hawa wanawake wanajiliza njaa Sana kumbe Wana hela kukuzidi hata Wewe unayewahongaKabla ya kuhonga hakikisha , umefanya mambo ya msingi, pia umekula vizuri umekula vizuri , unavaa vizuri , pia usisahau kunywa bia , ndio uhonge chenji zinazobakia ukitoka bar.
Mporipori kaingizwa mjiniJina tu Bush Dokta, ndio umekutana na Gold Digger. Kudadafeki
Nenda katubu kwa wazazi wako fastaaaHizi pesa ningewapa wazazi wangu wwangekuwa mvali sana
Ndio umeshtuka leo bwashee πHuu ushauri ni Muhimu Sana, yaani hawa wanawake wanajiliza njaa Sana kumbe Wana hela kukuzidi hata Wewe unayewahonga
Aisee nimejiona mjinga Sana punguuani sina akiliNenda katubu kwa wazazi wako fastaaa
This is very badHonestly, some men love suffering!