Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

Mkuu wala usisononeke, kila mtu anakimbia mbio zake binafsi kwenye maisha! Mungu hawai wala kuchelewesha jambo kwa kiumbe wake....unaonaje ungekua tajiri ukiwa na miaka 25 halafu sasa hivi ungekua umefikisika huna hata mia? Unamfikiriaje yule mzazi aliezaa wale watoto 4 wote waliokufa uwanja wa Taifa mmoja akiwa na miaka 11, kwa maana sasa hana hata mmoja na yupo sawa na wawe, unaonaje ungepata mtoto ukiwa na miaka 20 na angekufa mwaka huu akiwa na miaka 15? MUNGU ndio mjuzi, nina miaka 40 mkuu na mtoto wangu wa kwanza ana miezi 3, ndivyo Mungu alivyonipangia na maisha yanaendelea! 35 years bado na endelea kuomba na hata ukikosa shukuru pengine Mungu ameona watoto watakua si kheri kwako!
 
Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.

Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii.
 
Kuna Jamaa alipata kazi akiwa na miaka 25 yaan mwaka mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu..ila alikuja kufa miaka miwili baadaye yaan akiwa na miaka 27

Kuna mwengine yeye baada ya masomo, aliajiriwa akiwa namiaka 43 akaisha miaka 90

Hilo nisuala la Ajira tu..je wanaojiajili??

KATAA KATAKATA KUJIWEKEA DEADLINE KWENYE MAISHA.

Yaaan achana na mambo yakusema nikifika miaka 30 , nitakua na nyunba, gari kazi n.k

WEWE HUJUI KESHO YAKO .. AJUAYE NI MUNGU.

utapanga hili, lkn kumbe Mungu anataka akucheleweshe ili ujifunze jinsi gan maisha yalivyo,nasiku ukiyapata basi uyachezeee.

Muache Mungu aite Mungu ...Komaaa komaaa pambana pambanaa

KUSHINDA LAZIMA USHINDE SIO KWA HARAKA ILA UTASHINDA KWA UHAKIKA.

MUNGU HAPENDI WATU WAVIVU, WANAOKATA TAMAA
Nadhani umemueleza jambo la msingi. He should keep fighting by working hard...the limit is the sky
 
Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.

Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii.
Hilo la mtoto linawezekana, pambana
 
d
Mkuu we are at a same age ila mwezank mm nilibahati kupata mto nikiwa na age ya 25 hv ila HV Sasa ugomvi mkubwa uliibuka nikanyanganywa mtot , kwa kitupi nilinyanganywa jukumu lote Kaz zangu nimepoteza nyingi tu biashara nazo zimekufa nying mno nadata ApA nilipo kwa kitupi celewi hatama ya maisha yangu

Leo nikasiki wimbo fln unasema tenda miujiza niliudowlod nikawa nausikiliza anglau nimsii mungu ktk nyimbo anikumbuke naanza kuona aibu yaani
Hiii dunia hii ina mafumbo mengi sana juu ya maisha yetu sisi Binadamu.

Bil ya kumtegemea Mungu kwa kumshirikisha kwa kila kitu, mafanikio ni ndoto za mchana kabisa.

Nimekumbuka 2019 July, yule Mchungaji M-Nigeria Msabato aliyekuwa akihubiri ktk makambi alipata pigo zito sana baada ya Familia yake ya watu 7(Mke+Watoto) kufariki dunia kwa moto uliowalipukia wakiwa nyumbani na kuunguza wote pa1 na nyumba yake yote kisha kusalia yeye pekee aliyekuwa ktk hayo makambi.

Mwaka huo huo 2019 December kijana mwingine tena Mtanzania alifiwa na Mkewe+watoto wawili kwa mlipuko wa gesi nyumbani kwake na kuteketeza familia yake yote akifuatiwa na Baba yake mzazi kufariki pia baada ya kupata mshtuko tokana na vifo vya familia ya mtoto wake/Me.

Mungu atusaidie kutuepusha na majaribu na kutushindia changamoto za kimaisha, Amina.
 
Mie bahat sijui nzuri au mbaya nna marafiki wengi walimu secondary..sasa nna shost ni kichwa balaa anafundisha kemia ..alikuja kwangu nna vifaranga vingii vya kienyeji nikamwambia nimeamua kuongeza kipato pia kupitia kuku wa kienyej zaman nilikua nafuga mradi kuche ss naokota mayai napeleka incubator....akaniamba mhhh mm mume wangu hawez ruhusu niweke vifaranga ndan ya nyumba yake[emoji1787]! Ss hyo nyumba anayoisema sasa[emoji55]!
Lakini ameridhika na maisha ya kukopa kopa tu .kiukweli mpk leo nabaki kumshangaa. Ana life gumu lakini hafunguki ubongo!ptu
Wako soap soap 24/7, halafu utasikia nimesahau kadi ya benki nyumbani, nisaidie buku tu. Kumbe ndo anaenda kula.

Jinga kabisa.
 
Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.

Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii.
Asiye na maisha ni aliyekufa
 
Mkuu wala usisononeke, kila mtu anakimbia mbio zake binafsi kwenye maisha! Mungu hawai wala kuchelewesha jambo kwa kiumbe wake....unaonaje ungekua tajiri ukiwa na miaka 25 halafu sasa hivi ungekua umefikisika huna hata mia? Unamfikiriaje yule mzazi aliezaa wale watoto 4 wote waliokufa uwanja wa Taifa mmoja akiwa na miaka 11, kwa maana sasa hana hata mmoja na yupo sawa na wawe, unaonaje ungepata mtoto ukiwa na miaka 20 na angekufa mwaka huu akiwa na miaka 15? MUNGU ndio mjuzi, nina miaka 40 mkuu na mtoto wangu wa kwanza ana miezi 3, ndivyo Mungu alivyonipangia na maisha yanaendelea! 35 years bado na endelea kuomba na hata ukikosa shukuru pengine Mungu ameona watoto watakua si kheri kwako!
Mungu akubariki sana kwa shuhuda ulizotoa hapa Chifu.
 
Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.

Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii.
Inavyoonekana wewe ni aina ya wale watu wanaopenda sana kuonewa huruma na kupewa pewa pole!

Huu ni ujinga uliopitiliza na usiposhituka utaishia hivi hivi

Aina ya watu Kama wewe wengi wao ni wale katika malezi yao kila kitu waliamuliwa na wazazi. Yaani hufanyi kitu hadi Mzazi wako akuruhusu hata katika vile vitu vidogi vidogo

Aina hii ya malezi ikikutana na mtu ambaye ubongo wake hauko sharp ataendelea kutegemea amri ya Mzazi hadi uzeeni kiasi kwamba hadi Mzazi anaanza kukushangaa

Fanya maamuzi acha kulia lia! Kila mtu anaishi maisha yake! Utapewa pole na kutiwa moyo lakini bila kuchukua hatua utaendelea kubaki hivyo hivyo na hizo pole hazitakusaidia chochote

Mwenye kufanya maamuzi ni wewe na wala hakuna wa kuamua kwa niaba yako. Kupewa pewa pole sio sifa nzuri.

Na inavyoonyesha unafanya vitu huku mbele ukiwa umetanguliza uoga na mindset ya kusubiri ushindwe ueleze watu wakuonee huruma wakupe pole

Pambana watu wakupe hongera wanapoona mafanikio, na katikati ya mapambano kuna milima na mabonde watu wakupe pole baada ya kuona juhudi zako zilipofikia

Ni hayo tu!
 
Wewe ndo tunawaza sawa...sipendi kbs mtu muoga oga mie arghhh! Ni muda wa kufanya action huu
 
Back
Top Bottom