ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Pole mimi nyumba niliyopanga nimepanga na wa Nigeria tena wanaume wacheza mpila sijui wanatafuta Team kwa mjibu wao hawa nilijua kwa vile ni wageni hawana tabuMajirani ni kukaa nao kiakili! Hizi nyumba za kupanga usijipendekeze sana! Pasaka moja nilichinja mbuzi nikakaribisha majirani, nunua pombe! Pilau za watoto Kila kitu!
Kumbe imewauma, wakati mi nilidhani nimefanya jambo jema. Wakaanza kunichukia, chini chini wanasema ninajifanya nina hela!
So tukawa tumezoeana kiasi fulani maana tulikua una enda gym moja ni masela
Hawana jiko wapo kwenye room moja master
Mimi jiko ninalo baasi wakaomba wawe wanatumia vitu vyangu vyombo jiko nk..
Sasa kuna mmoja demu wake kaja hapa na ajabu wanalala wote chumba kimoja🙌
Sasa najuta hilo jiko wameligeuza lao sipiki mpka wa malize wakimaliza kupika hawasafishi🙌🙌
Nimwambia huyo demu wao walau awe ana safisha akachukia
Saiv nawaangalia but nimejifunza sirudii tena nimekoma