Roho Mbaya na Wivu wa Majirani: Kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari Arusha kitufundishe umuhimu wa CCTV

Roho Mbaya na Wivu wa Majirani: Kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari Arusha kitufundishe umuhimu wa CCTV

Sikiliza hiyo clip vzr..

Huyo mtuhumiwa alifunga TAA kwenye perimeter fance yake Majirani wakasemq anawaumiza macho.. akaja kuweka CCTV wakampinga kwanini afunge CCTV.

HAITOSHI:
Hao maskini walimpiga Juju akaumwa nusu afe.

Hao maskini walimwambia anatakiw aishi kama wao yeye gari la nini atembee kwa miguu..

Haya:

Siku ya tukio hao maskini waliambiwa wasubiri Kiongozi wa mtaa na mtuhumiwa waangalie footage mtoto amefikaje ktk gari? Hao MASKINI wakaanzisha fujo.. polisi ndio wakaja.

Umeelewa navyosema MASKINI sio wa kuwaonea huruma? Sasa ukisema baadhi hapo hakuna hata mmoja aliyemtetea huyo mtuhumiwa au aliefanya Reasoning..
Maskini ni SIWAPENDI VIBAYA MNO
 
Imebidi nikautafute huu Uzi:

Mtibeli anakwambia:

"Utakachoweza kumsaidia masikini ni kumzika siku akifa tena uchimbe shimo refu la futi ishirini"
 
Hahahaha... nimecheka hadi nimejikojolea🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo chawa wa Chadema , sijui anajikuitaje ..Masikini ni watu kama wengine ila kila kitu wanasingizia maskini.
 
Siku ukifiwa utafurahia show yao🤣🤣😂😂...labda ukodi watu kuja msibani
Na hii waswahili ndiyo wanaifanya kuwa ni silaha yao kubwa ya maangamizi ya nyuklia ili uwe mpole hata wakikunyanyasa au wakikuletea uswahili wao uwe mpole ukubaliane nao. Kwangu mimi naamini kuzikwa na watu wengi au wachache kote ni kuzikwa tu hakuleti tofauti yoyote. Ni basi tumejijengea tu hofu tu ya kijinga kichwani kwamba lazima uzikwe na watu wengi. Kumbuka hakuna maiti iliyoozea ndani hata siku moja lazima izikwe tu hata na watu wawili na ikishindikana hata jiji litazika. Anakufa mbwa tu hapo barabarani kagongwa na gari anapata watu wa kumzika sembuse binadamu. Kwa uzoefu wangu pakitokea msiba watakuja ndugu, jamaa na marafiki kuzika na baadhi ya majirani wasiofungamana na upande wowote.

Na hao hao waswahili wanaojitia kuwa akifa fulani hatuendi kuzika ukiwa na kauwezo kidogo tu msibani muda wa chakula kukawa na "catering" aka buffee na soda/bia utawaona ndio wa kwanza kuja msibani kujipendekeza pendekeza na watahudhuria siku zote ili wale wafamilia nzima na majumbani kwao wasipike mpaka msiba uishe.

Kikubwa mkuu wewe hudhuria misiba na matukio yote mtaani hata ukiletewa kadi za michango we changa tu kadiri ya uwezo wako. Na kama ni mkristo hudhuria zile ibada za jumuiya ndogo ndogo, salimia kila umuonaye mtaani lakini usiruhusu waswahili wakuzoee kabisa. Ukiyaweza haya utaishi kwa amani na hakuna litakalokukwaza.

Amani ya moyo ni kitu kizuri sana usikubali mpuuzi yoyote yule kwa njia yoyote ile aingilie amani ya moyo wako na familia yako kwa uswahili wake kwani tunaishi muda mfupi sana duniani.
 
Usitumie chini ya robo ya kipato chako kwa ajili ya makazi yako na familia yako. Bora uwe na nyumba unaayoipangisha Kinondoni Moscow, ili ukaishi mikocheni.
 
Aiseee inasikitisha sana ,kukosa CCTV asingeelewa.

Majirani ni hatari sana ,unaibiwa vitu vyako vyote hakuna anayeoona hata ikiwa mchana ila ingiza mwanamke saa tisa za usiku wanaona fresh.
Umenichekesha aisee
 
Majirani sio poa, hawachelewi kwenda kuwaambia polisi, zile clip walizoangalia kwenye camera ni A.I

Si unaona hako ka chalii kalivyokuwa kanaongea kwa kujiamini, "mtoto hawezi hata kusogea, iweje akutwe kwenye gari"

Hako ukija kukaonyesha hiyo video katasema ni A.I kwa jinsi kalivyotuaminisha
Noma sana
 
Hahaa CCTV waliipinga?
Kwamba imetengenezwa?

Anyway umenifunza kitu.
So Kuna umaskini wa category tofauti,fikra,elimu,pesa,nk
Jamii yetu tumekariri umaskini ni kukosa pesa tu
Umaskini unastawi penye ukosefu wa fedha na elimu. Ukiwa aidha na hela au elimu nzuri hata kufikiria kunakuwa kwa utulivu you can never make stupid but only rational decisions.

Kama chimbuko lako hawakusoma na hawakumiliki fedha basi unakuwa katika lindi la umasikini na udumavu wa fikra.
 
moja ya vitu hutakiwi kufanya ,kama umebahatika kupata vijisent usinunue kiwanja uswahilini,au ukanunue kiwanja sehemu kumejaa wazawa wale waanzilishi wa mji.Hapa jiandae kwa vita
Mimi na ndugu yangu (ke) tulinunua eneo pembeni ya mji kwa wazawa tukajenga,tumekutana na mambo mazito sana.kwanza syster wangu wameishia kumtupia majini kaugua sana hadi leo hajakaa vizuri.Mimi nilishangaa jirani yangu anasema afadhali sasa hivi hana gari wote tuko sawa tunatumia public transport
 
Majirani ni kukaa nao kiakili! Hizi nyumba za kupanga usijipendekeze sana! Pasaka moja nilichinja mbuzi nikakaribisha majirani, nunua pombe! Pilau za watoto Kila kitu!

Kumbe imewauma, wakati mi nilidhani nimefanya jambo jema. Wakaanza kunichukia, chini chini wanasema ninajifanya nina hela!
Usimuonee huruma masikini mwenzio ndio mfumo w maisha.
Mwache apambane na hari yake.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Pole mimi nyumba niliyopanga nimepanga na wa Nigeria tena wanaume wacheza mpila sijui wanatafuta Team kwa mjibu wao hawa nilijua kwa vile ni wageni hawana tabu

So tukawa tumezoeana kiasi fulani maana tulikua una enda gym moja ni masela

Hawana jiko wapo kwenye room moja master

Mimi jiko ninalo baasi wakaomba wawe wanatumia vitu vyangu vyombo jiko nk..
Sasa kuna mmoja demu wake kaja hapa na ajabu wanalala wote chumba kimoja🙌

Sasa najuta hilo jiko wameligeuza lao sipiki mpka wa malize wakimaliza kupika hawasafishi🙌🙌

Nimwambia huyo demu wao walau awe ana safisha akachukia
Saiv nawaangalia but nimejifunza sirudii tena nimekoma
Mfumo wa maisha kwa sasa tulipo fikia. Usimuonee huruma masikini mwenzako. Wapambane na hari zao.
Kazi ni kipimo cha utu
 
kuna jirani hapa kijana wake (23 yrs) alimrubuni mtoto wa jirani yake (11yrs) akamwibie hela ndani, jirani alipogundua akamfuata kindugu wakamalizana akarudishiwa hela yake 40k, bado hyo kijana akaendelea kumrubuni mtoto na vitisho juu, mtoto akasema kwa wazazi wake, wazaz wakaenda kwa mtendaj wa mtaa kushtak, cha ajabu wale wazaz wakamtorosha mtoto, baada ya malumbano ofisini wakafunga njia(kujenga ukuta) inayopita kwenye eneo lao et kwa nini jiran kaenda kuwastaki hawataki apite kwenye eneo lao wakat njia ni ya jamii nzima, tumepambana nao mke wa jamaa ameonga mpaka kumery kwa mtenda il ukuta usivunjwe, baada ya kuona danadana kwa mtendaj kwa sasa shaur lipo baraza la ardhi na tutapambana nao mpaka ukuta uvunjwe.. mmmmke zao.g
Kama vipi kila anayepita hapo ampe kumer ili ukuta usivunjwe.
 
Siku ukifiwa utafurahia show yao🤣🤣😂😂...labda ukodi watu kuja msibani
Kwani wakija wao marehemu atafufuka!! Katika kitu siogopi ni jirani kutokuja msibani kwng au kwenye changamoto zangu. Cjui pande ulipo Ila kwa miji iliyo changa mka watu wanaenda kwenye vijiwe vya bora boda na kuwapoza na uwakika na kula kwao. Watakuja wengi kuliko idadi mkuu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom