Roho Mbaya na Wivu wa Majirani: Kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari Arusha kitufundishe umuhimu wa CCTV

Kuna Jamaa hapo ktk hiyo clip.. anakazia kabisa, na mdomo wake kama mnduku wa kuku.

Ni hivi CCTV ni muhimu mie nimefunga hadi kwenye gari sababu kuu ni Bodaboda huwa wanajilengesha wenyewe kesi unaletewa mwenye gari.

Ndio maana nasema kila siku kujenga viwanja vya bei rahisi ni shida sana lazima majiran zako wawe maskini tu.. ni kheri ukajenge kwa matajiri wenzio kuondoa huu upumbavu. Maskini na Roho mbaya ni sambamba.. kuna UZI hapa unazingumzia vzr kuhusu kuwaacha MASKINI wafe na shida zao.. hawana jema.
 
Usihukumu tabia ya wachache kuwa ya wote.
Wapo wenye pesa na tabia kama hizo
 
Asilimia 90 ya Maskini wapo hivyo.

Ukiona mwenye uwezo ana tabia hizo ujue CHIMBUKO lake ni familia ya Kimaskini pesa kazipata ukubwani kwa kubahatisha.

Umaskini si hali ya KIUCHUMI pekee..

Umaskini unagusia vitu vingi ikiwemo ELIMU.

ukifatilia hao wote wanaopiga kelele baada ya kupatikana mtoto kwenye gari huwezi kuta hata mmoja ana Degree.. hata ile Degree ya ushonaji..

Ndio ujue Umaskini ni neno pana..

Tajiri ana exposure, mtulivu.. si unaona hata ishu ya CCTV hao maskini walimpinga ?
 
Hahaa CCTV waliipinga?
Kwamba imetengenezwa?

Anyway umenifunza kitu.
So Kuna umaskini wa category tofauti,fikra,elimu,pesa,nk
Jamii yetu tumekariri umaskini ni kukosa pesa tu
 
Uhusiano kati ya uwezo wa kiakili (au afya ya akili) na umaskini ni mkubwa, lakini tafiti zinaonyesha kuwa umaskini ndio unaosababisha ufinyu wa akili, na sio kinyume chake. Hali hii ya kisayansi inaitwa "Scarcity Mindset" (Mtazamo wa Uhaba).Umaskini huchosha ubongo na kupunguza uwezo wa mtu kufanya maamuzi sahihi.
 
Hahaa CCTV waliipinga?
Kwamba imetwngenezwa?

Anyway umenifunza kitu.
So Kuna umaskini wa category tofauti,fikra,elimu,pesa,nk
Jamii yetu tumekariri umaskini ni kukosa pesa tu
Sikiliza hiyo clip vzr..

Huyo mtuhumiwa alifunga TAA kwenye perimeter fance yake Majirani wakasemq anawaumiza macho.. akaja kuweka CCTV wakampinga kwanini afunge CCTV.

HAITOSHI:
Hao maskini walimpiga Juju akaumwa nusu afe.

Hao maskini walimwambia anatakiw aishi kama wao yeye gari la nini atembee kwa miguu..

Haya:

Siku ya tukio hao maskini waliambiwa wasubiri Kiongozi wa mtaa na mtuhumiwa waangalie footage mtoto amefikaje ktk gari? Hao MASKINI wakaanzisha fujo.. polisi ndio wakaja.

Umeelewa navyosema MASKINI sio wa kuwaonea huruma? Sasa ukisema baadhi hapo hakuna hata mmoja aliyemtetea huyo mtuhumiwa au aliefanya Reasoning..
 
Natania tu..

Just imagine yule Mama ana hela ana ulinzi , ana Mamlaka etc lakin akili yake ipo finyu.. je angekuw hana hela wala ulinzi ingekuwaje??
 
Hahaa CCTV waliipinga?
Kwamba imetengenezwa?

Anyway umenifunza kitu.
So Kuna umaskini wa category tofauti,fikra,elimu,pesa,nk
Jamii yetu tumekariri umaskini ni kukosa pesa tu
Ukweli Uliofichuliwa na CCTV: Bila uwepo wa kamera za usalama, jirani huyo angemiliki shutuma nzito za utekaji, mauaji, au hata ushirikina, jambo ambalo lingeweza kusababisha uvunjifu wa amani au yeye kushitakiwa kimakosa.
 
Natania tu..

Just imagine yule Mama ana hela ana ulinzi , ana Mamlaka etc lakin akili yake ipo finyu.. je angekuw hana hela wala ulinzi ingekuwaje??
😀 Mara nyingi ukimkuta mtu ana hela na ana kila kitu lakini bado akili yake ikabaki kuwa finyu huyo ni kenge kwenye msafara wa mamba na hivyo vitu kavipata kwa kudra tuu..
IMG-20260519-WA0019.jpg
 
Sikiliza hiyo clip vzr..

Huyo mtuhumiwa alifunga TAA kwenye perimeter fance yake Majirani wakasemq anawaumiza macho.. akaja kuweka CCTV wakampinga kwanini afunge CCTV.

HAITOSHI:
Hao maskini walimpiga Juju akaumwa nusu afe.

Hao maskini walimwambia anatakiw aishi kama wao yeye gari la nini atembee kwa miguu..

Haya:

Siku ya tukio hao maskini waliambiwa wasubiri Kiongozi wa mtaa na mtuhumiwa waangalie footage mtoto amefikaje ktk gari? Hao MASKINI wakaanzisha fujo.. polisi ndio wakaja.

Umeelewa navyosema MASKINI sio wa kuwaonea huruma? Sasa ukisema baadhi hapo hakuna hata mmoja aliyemtetea huyo mtuhumiwa au aliefanya Reasoning..
Mhh kazi sana..
Mungu anisaidie nkipata chance nizitafute pesa Kwa Naman zote
Pamoja na kukulia kwenye shida sijawahi kuwa hivi.
Kuna mtu namjua wa karibu sana alijenga mahali,Maisha yalikuwa ya amani mpaka alipohamia jirani,Tena kwenye nyumba hajaimaliza akaamza mashindano.ameikimbia nyumba
Subiri ntafungua Uzi wa hili ntakutag uone visa Kwa kirefu🤣
 
Umuhimu wa CCTV Nyumbani Uswahilini (Kutokana na Tukio Hili)
Mazingira ya uswahilini yana sifa ya nyumba zilizoshonana, watoto wengi kucheza nje kwa pamoja, na mipaka ya viwanja inayochanganyika.

Tukio la Arusha linatufundisha umuhimu wa CCTV uswahilini katika maeneo yafuatayo:

1. Kuepusha Migogoro ya Kudhaniana na "Chuki za Majirani"Kuzuia Kusingiziwa:
Uswahilini ni rahisi jambo baya likitokea (kama mtoto kuumia au kupotea) majirani kuanza kunyooshea vidole familia fulani kwa hisia au chuki.
CCTV inaleta ukweli wa kisayansi na kuondoa hisia uzushi na kutambulisha uhalisia wa watu wanaokuzunguka.
 
Mhh kazi sana..
Mungu anisaidie nkipata chance nizitafute pesa Kwa Naman zote
Pamoja na kukulia kwenye shida sijawahi kuwa hivi.
Kuna mtu namjua wa karibu sana alijenga mahali,Maisha yalikuwa ya amani mpaka alipohamia jirani,Tena kwenye nyumba hajaimaliza akaamza mashindano.ameikimbia nyumba
Subiri ntafungua Uzi wa hili ntakutag uone visa Kwa kirefu🤣
Nasubiri.. usisahau mkuu..😂
 
Back
Top Bottom