Roho Mbaya na Wivu wa Majirani: Kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari Arusha kitufundishe umuhimu wa CCTV

Roho Mbaya na Wivu wa Majirani: Kisa cha mtoto aliyetambaa hadi ndani ya gari Arusha kitufundishe umuhimu wa CCTV

Pole mimi nyumba niliyopanga nimepanga na wa Nigeria tena wanaume wacheza mpila sijui wanatafuta Team kwa mjibu wao hawa nilijua kwa vile ni wageni hawana tabu

So tukawa tumezoeana kiasi fulani maana tulikua una enda gym moja ni masela

Hawana jiko wapo kwenye room moja master

Mimi jiko ninalo baasi wakaomba wawe wanatumia vitu vyangu vyombo jiko nk..
Sasa kuna mmoja demu wake kaja hapa na ajabu wanalala wote chumba kimoja🙌

Sasa najuta hilo jiko wameligeuza lao sipiki mpka wa malize wakimaliza kupika hawasafishi🙌🙌

Nimwambia huyo demu wao walau awe ana safisha akachukia
Saiv nawaangalia but nimejifunza sirudii tena nimekoma
Euuw!..na yale makelele yao, unawezaje kuishi na hawa watu? Nimeishi nao apartment moja mwaka nzima,sasa hivi nimewakimbia naishi na wakongo Ngoma inogile🤣🤣🤣...hawa usengenyaji na uvivu, wakifanya kazi kwa mzungu siku tatu,hawaonekani tena mpaka wiki ijayo🤣🙌
 
Kuna Jamaa hapo ktk hiyo clip.. anakazia kabisa, na mdomo wake kama mnduku wa kuku.

Ni hivi CCTV ni muhimu mie nimefunga hadi kwenye gari sababu kuu ni Bodaboda huwa wanajilengesha wenyewe kesi unaletewa mwenye gari.

Ndio maana nasema kila siku kujenga viwanja vya bei rahisi ni shida sana lazima majiran zako wawe maskini tu.. ni kheri ukajenge kwa matajiri wenzio kuondoa huu upumbavu. Maskini na Roho mbaya ni sambamba.. kuna UZI hapa unazingumzia vzr kuhusu kuwaacha MASKINI wafe na shida zao.. hawana jema.
Mkuu we ni tajiri?
 
Siku ukifiwa utafurahia show yao🤣🤣😂😂...labda ukodi watu kuja msibani
Msibani na wewe si unafika, mchango unatoa, by the way msiba wakija wengi ama wachache haina manufaa yeyote, wakija watu 1000 sio kwamba marehemu atafufuka, hata watu 10 mbona mnamaliza msiba fresh tu, tena kwa gharama ndogo kabisa.
 
Mhh kazi sana..
Mungu anisaidie nkipata chance nizitafute pesa Kwa Naman zote
Pamoja na kukulia kwenye shida sijawahi kuwa hivi.
Kuna mtu namjua wa karibu sana alijenga mahali,Maisha yalikuwa ya amani mpaka alipohamia jirani,Tena kwenye nyumba hajaimaliza akaamza mashindano.ameikimbia nyumba
Subiri ntafungua Uzi wa hili ntakutag uone visa Kwa kirefu🤣
Mkuu nitag please...napenda visa vya masikini

Ndo maana mimi na umaskini tulitangaziana vita mamaae!
 
Euuw!..na yale makelele yao, unawezaje kuishi na hawa watu?
Ngoja nitoe nyongoo hawa watu wanakelele 🙌🙌🙌 wakiona kimya sana utasikia S are you jigijigi now yooo 🤣🙌
Na kila kitu mwisho lazima waweke yooo ooooh

Nimeishi nao apartment moja mwaka nzima,sasa hivi nimewakimbia naishi na wakongo Ngoma inogile🤣🤣🤣...hawa usengenyaji na uvivu, wakifanya kazi kwa mzungu siku tatu,hawaonekani tena mpaka wiki ijayo🤣🙌
Sasa hapa sijui bora ukae na kina nani hawa watu wakikanyaga jikoni tu ndani tafrani makelele na wapo wa 3 girl 1 man wawili na wanalala room moja🙌
 
Ngoja nitoe nyongoo hawa watu wanakelele 🙌🙌🙌 wakiona kimya sana utasikia S are you jigijigi now yooo 🤣🙌
Na kila kitu mwisho lazima waweke yooo ooooh

Sasa hapa sijui bora ukae na kina nani hawa watu wakikanyaga jikoni tu ndani tafrani makelele na wapo wa 3 girl 1 man wawili na wanalala room moja🙌
Wote miyeyusho, wacameroon, ivory coast, Senegal chenga sana asee...at least wakenya wako serious kidogo...

Najuta nimekimbia kodi kubwa, nilikuwa naishi na watasha, hawana huu ungese,... kimyaa ukitoka job no kelele, hata salamu hamna😆😆....hapa nawaza kurudi kabla masnow hayajaanza!
 
Wote miyeyusho, wacameroon, ivory coast, Senegal chenga sana asee...at least wakenya wako serious kidogo...
Mimi hawa sijawahi kuishi nao
Ila kwa hawa wa Nigeria 🙌
Najuta nimekimbia kodi kubwa, nilikuwa naishi na watasha, hawana huu ungese,... kimyaa ukitoka job no kelele, hata salamu hamna😆😆....hapa nawaza kurudi kabla masnow hayajaanza!
Pole maa karibu dar es salaam l

huku mala nyingi hakuna heka heka labda ukae uswahili sana na kutengeneza mazoea na watu hovyo

Kama mimi nisingetengeneza mazoea nao yasingenikuta maana hapa kuna watu wengine pia na hawana shida
 
Et , hapatani na watu 🤔

Hapatani na watu au kwa vile hakai nao vibarazani kupiga soga

Na amewazidi mbali ndio maana wanamchukia

NB; ukijipata kakae na watu wa aina yako
Majirani sio poa, hawachelewi kwenda kuwaambia polisi, zile clip walizoangalia kwenye camera ni A.I

Si unaona hako ka chalii kalivyokuwa kanaongea kwa kujiamini, "mtoto hawezi hata kusogea, iweje akutwe kwenye gari"

Hako ukija kukaonyesha hiyo video katasema ni A.I kwa jinsi kalivyotuaminisha
 
Huyo angeenda kutoa ushahidi mahakamani angefunga mtu😂
 
Mimi hawa sijawahi kuishi nao
Ila kwa hawa wa Nigeria 🙌

Pole maa karibu dar es salaam l

huku mala nyingi hakuna heka heka labda ukae uswahili sana na kutengeneza mazoea na watu hovyo

Kama mimi nisingetengeneza mazoea nao yasingenikuta maana hapa kuna watu wengine pia na hawana shida
bb9cc86c-0ca1-4f08-b21b-5679debdad0c.jpeg
 
Majirani sio poa, hawachelewi kwenda kuwaambia polisi, zile clip walizoangalia kwenye camera ni A.I

Si unaona hako ka chalii kalivyokuwa kanaongea kwa kujiamini, "mtoto hawezi hata kusogea, iweje akutwe kwenye gari"

Hako ukija kukaonyesha hiyo video katasema ni A.I kwa jinsi kalivyotuaminisha
Majirani wema wapo
Na majirani sample kama ya huyo chalii hua nuksi
Ila video za AI zinajulikana mbona
 
Back
Top Bottom