zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Kuanzia mwanzo wa huu mjadala, nimekuwa nakubaliana nawe kabisaa katika hoja zako na mtizamo wako katika hili. lakini kwa vile kwa muda sasa tumepigana vita sana hapa mpaka kumtoa Morani na majina yote yaliyomfuata huko alikoenda, nimeamua kula sahani moja na upande mwingine wa hii crime ambao mara nyingi unapewa sana pass na justice system ya Tanzania.
Vit-rada hajulikani halipo sasa hivi, Patel inasemekana kuwa amekimbia, na wengine wengi wanapeta day after day pamoja na makubwa wanayofanya. This now has to stop.
Najua kuna njia nyingi za kufanya hili na mapendekezo yako na wengine hapa yanasomwa na wanabodi na wanaohusika ila mimi mkuu nimeamua kuanza na hili la criminal profiling kwa sasa.......
Waliowaachia kuondoka ndio mafisadi wakubwa. Balali jee?