Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Harmorapa na yeye hakuja kutoa pole...???[emoji134]
Pale O'bay kuna bunduki nyingi sana.
Msameheni bure manake angeweza jikuta anakimbia hadi Tunduma kwa miguu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Bashite hachelewi kukudhoofisha au kukupoteza. Kwa yaliyomkuta Manji simshauri Ruge kujiingiza ktk vita na Bashite
Manji hakuwa anapambana na Bashite tu kumbuka ila msimamo wa manji umemsaidia vinginevo gari lake lingechukuliwa na bashite
 
Manji hakuwa anapambana na Bashite tu kumbuka ila msimamo wa manji umemsaidia vinginevo gari lake lingechukuliwa na bashite
Kumbe alitaka kumfanyia mchezo alomfanyia Nas Haulage?
Afu Manji alikuwa anapambana na nani tena zaidi ya Bashite?
 
Kumbe alitaka kumfanyia mchezo alomfanyia Nas Haulage?
Afu Manji alikuwa anapambana na nani tena zaidi ya Bashite?
Mkuu huwezi kumparamia Manji bila kuwa na baraka za watu wenye ufikiri sawa na wa kwake. Acha movie iendelee kusonga
 
Naanza kuunganisha doti kianzia kuwataja drug dealers, kutobalnce story YA bishop, kuvamiwa studio, kuandaa mkutano na waandishi wa habari baada YA kutenguliwa uwaziri na kutekwa kwa roma, Naanza kupata picha kamili
 
Baada ya kuunganisha dots hebu lete sentensi kamili ndugu mkuu sana
 
Siku zote watu wanalalamika humu JF juu ya involvement ya Ruge (Clouds Media) kusambaratisha wasanii wa fleva kwa kuwatumia kama mapunda wao. Wakikuchoka wanakulostisha kwa njia zao, mbona marehemu Ngwea aliwachonga sana hawa jamaa? Ruge akamatwe na ahojiwe, huyu si mtu poa hata kidogo.....ni jangili kiaina.....wasanii wengi wanamlalamikia chini chini kuhofia maisha yao na kulostishwa kisanii.
 
Mpaka hii miaka mitano ishe kila aina ya drama itachezwa
 
It
Itakua mission ya kibashite hii kama ile ya Clouds iliyofail
 
Nshomile Ruge kama unajua lolote plz usituangushe

Fanya kweli kama ile issue ya uvamizi Wa studio ulivyowachana kina bashite live
 
Yes 100% nakubaliana na ww Ruge anajua kila kitu juu ya utekeji wao....hii movie haitaki mbwembwe zaid ya kujua nani alifanya mpango mzima ni Boss wake anaelewa ndo nabidi ashikiliwe na kuhojiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…