Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

BASHITE ni nani ? ni nickname tu ya mtu au ni jina kamili? Maana sasa kila kitu ni bashite.Huenda hili jina bashite ni jina la utani tu na litapita na msimu wake.
 
Hana lolote nae uoga wa maisha ndio unamsumbua na kukubali kutumiwa Kama kondom.Afanye kama CGP Minja
 
Kwani ni umewaza hivyo Haraka

Kwani ni umewaza hivyo Ungesubiria taarifa anasema alikuwa wapi?
Hiyo itakuwa zile dawa ambazo ni kukupumbza au ni zile dawa unapewa baada ya cku kadhaa tunaomboleza kifo htr sana kwa idara yetu nyeti
 
Asante TLS
Itanyooka hii serikali kama alivyoahidi presida wake.
 
Umeongea vizur sana kama nilivikua nafikiria vijana sikuhizi hatujui kupambanua mambo
 
Wauwaji wakubwa nyie tumewastukia
 
Hivi mke wake sialifika apo wakasema hayupo na sirro alidai polisi hali kana kuwashikilia wasanii hao sasa Leo imekuaje
HEBU endelea kula ugali wa shikamoo halafu ukapumue kule facebook.kakutwa huko alipojificha sasa ni lazima afike polisi kwa mahojiano...
 
Watu bwana, waache!
Kama amepatikana, mnatoana ngama au macho ya nini?! Si ataeleza mwenyewe yaliyompata na halafu kutoka hapo tutatoa maoni yetu? Au mmezoea kuishi kwa hisia, udaku na porojo?
 
HEBU endelea kula ugali wa shikamoo halafu ukapumue kule facebook.kakutwa huko alipojificha sasa ni lazima afike polisi kwa mahojiano...
Unafahamika kwa jina na sura, siku ya kwenda ICC hutapona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…