Hapa bongo wakati fulani hasa utawala huu inakulazimu kuishi kama una usonji vile.Hahahahaaasasa tujue nani yupo nyuma ya hii movie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa bongo wakati fulani hasa utawala huu inakulazimu kuishi kama una usonji vile.Hahahahaaasasa tujue nani yupo nyuma ya hii movie
Na wewe sii usubiri tunyamaze wenyewe mapovu ya nini yanakutoka [emoji12] [emoji12] [emoji12]Si musubiri mwenyewe aseme alikua wapi?mapovu ya nini?!
Hana lolote nae uoga wa maisha ndio unamsumbua na kukubali kutumiwa Kama kondom.Afanye kama CGP MinjaKama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.
Hiyo itakuwa zile dawa ambazo ni kukupumbza au ni zile dawa unapewa baada ya cku kadhaa tunaomboleza kifo htr sana kwa idara yetu nyetiKwani ni umewaza hivyo Haraka
Kwani ni umewaza hivyo Ungesubiria taarifa anasema alikuwa wapi?
Ficha upumbavu wako na akili zako mfu ukoMsanii MTU wa kawaida tuu...wanatekwa machezaji na familia zao majuu uko sembuse bongo bhanaaa...
Angekua na akili tusingegundua kuwa hii ni sinema yakeBashiteh ana akili sana. Mm nashangaa watu hunena jamaa kafeli uku hadi sasa hakuna mwenye akili kama yeye mkoa mzima.
Umeongea vizur sana kama nilivikua nafikiria vijana sikuhizi hatujui kupambanua mamboWatanzania tunaongea sana yani mpka unajiuliza tunatumia kinywaji gani. Loo. Hivi Mtu hawezi kuchukuliwa na Mdai wake. Au mbaya wake nk. Hizi conclusions mwendo kasi. Zitafanya watu wabaya wafanye maovu na kuwaacha wananchi wasingizie watu fulani. Tumeshakuwa na majibu sasa tunasubiri maswali. Its very sad.
Wauwaji wakubwa nyie tumewastukiaHivi wewe kwa akili tu za kuzaliwa, makonda amkamate roma kwa lipi? Mangapi makonda katukanwa?? Mmeanza kwenye vyeti mpaka video da kejeli mkatumiana, makonda alihangaika na nyie? Mbona mnamtafuta hivyo? Aliwakosea nini? Acheni mambo ya kizamani nyie, wivu wenu na chuki zisizo na sababu hazitawapeleka kokote
HEBU endelea kula ugali wa shikamoo halafu ukapumue kule facebook.kakutwa huko alipojificha sasa ni lazima afike polisi kwa mahojiano...Hivi mke wake sialifika apo wakasema hayupo na sirro alidai polisi hali kana kuwashikilia wasanii hao sasa Leo imekuaje
Foreal...Saanane ndo wamegoma naye.WTF!!!!!
Mpumbavu mwenyewe....wanakamatwa RAIA kibao na kusingiziwa kesi. Mara ngapi unaiona defender inapita na nyomi? Who is Roma!? Acha zako pumbavu wewe.Ficha upumbavu wako na akili zako mfu uko
Unafahamika kwa jina na sura, siku ya kwenda ICC hutapona!HEBU endelea kula ugali wa shikamoo halafu ukapumue kule facebook.kakutwa huko alipojificha sasa ni lazima afike polisi kwa mahojiano...
Duh! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa....opinions are like assholes.
We all have one and they all stink!