Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

BASHITE ni nani ? ni nickname tu ya mtu au ni jina kamili? Maana sasa kila kitu ni bashite.Huenda hili jina bashite ni jina la utani tu na litapita na msimu wake.
 
Kama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.
Hana lolote nae uoga wa maisha ndio unamsumbua na kukubali kutumiwa Kama kondom.Afanye kama CGP Minja
 
Kwani ni umewaza hivyo Haraka

Kwani ni umewaza hivyo Ungesubiria taarifa anasema alikuwa wapi?
Hiyo itakuwa zile dawa ambazo ni kukupumbza au ni zile dawa unapewa baada ya cku kadhaa tunaomboleza kifo htr sana kwa idara yetu nyeti
 
Asante TLS
Itanyooka hii serikali kama alivyoahidi presida wake.
 
Watanzania tunaongea sana yani mpka unajiuliza tunatumia kinywaji gani. Loo. Hivi Mtu hawezi kuchukuliwa na Mdai wake. Au mbaya wake nk. Hizi conclusions mwendo kasi. Zitafanya watu wabaya wafanye maovu na kuwaacha wananchi wasingizie watu fulani. Tumeshakuwa na majibu sasa tunasubiri maswali. Its very sad.
Umeongea vizur sana kama nilivikua nafikiria vijana sikuhizi hatujui kupambanua mambo
 
Hivi wewe kwa akili tu za kuzaliwa, makonda amkamate roma kwa lipi? Mangapi makonda katukanwa?? Mmeanza kwenye vyeti mpaka video da kejeli mkatumiana, makonda alihangaika na nyie? Mbona mnamtafuta hivyo? Aliwakosea nini? Acheni mambo ya kizamani nyie, wivu wenu na chuki zisizo na sababu hazitawapeleka kokote
Wauwaji wakubwa nyie tumewastukia
 
Hivi mke wake sialifika apo wakasema hayupo na sirro alidai polisi hali kana kuwashikilia wasanii hao sasa Leo imekuaje
HEBU endelea kula ugali wa shikamoo halafu ukapumue kule facebook.kakutwa huko alipojificha sasa ni lazima afike polisi kwa mahojiano...
 
Watu bwana, waache!
Kama amepatikana, mnatoana ngama au macho ya nini?! Si ataeleza mwenyewe yaliyompata na halafu kutoka hapo tutatoa maoni yetu? Au mmezoea kuishi kwa hisia, udaku na porojo?
 
HEBU endelea kula ugali wa shikamoo halafu ukapumue kule facebook.kakutwa huko alipojificha sasa ni lazima afike polisi kwa mahojiano...
Unafahamika kwa jina na sura, siku ya kwenda ICC hutapona!
 
Back
Top Bottom