Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

Msaada wa US to ukraine tangu vita ianze ni karibu dola bilioni 150,
Imezidi bajeti nzima za kijeshi za Russia, UK, saud arabia na france
Kwani ni kiasi gani ambacho kilikuwa kimetengwa na US ili kuhakikisha Urusi haishindi hii vita?.
The way you argue ni kama vile US iliweka certain Figure kwa ajili ya msaada Kwa Ukreni na sasa wamevuka hiyo figure.
 
Anasema ..."Msaada wa US to ukraine tangu vita ianze ni karibu dola bilioni 150,...."
Cjui hii figure kaipata wapi na akafikia kuilinganisha na bajeti za nchi ambazo haziko vitani.
BTW; Ni tabia ya wabongo wengi kuhamisha magoli.
 
MATAIFA zaidi ya 30 yaliunda NATO ili kuikabili Urusi, hii inaonesha kiasi gani Urusi sio mtu wa mchezo.
Hata Urusi alikuwa na umoja wake(Warsaw pact),sema tu alikosa pesa za kuuendeleza ukasambaratika
 
Mrusi hana hamu kabisa, yaani anajutia sana.
Anajutia Nini wakati part of Ukraine ameikalia.

Kaiharibu haribu Ukraine imekuwa kama Syria.

Yeye kapoteza wanajeshi tu lakini kakalia Ukraine hadi Sasa.

Ukraine Ina wakimbizi na miji imebaki mahame.

Uchumi umedumaa

Bila pesa za marekani this time Ukraine Ingekuwa total colonized na Urussi.

So vita ya urusi na ukraine ni vita vya urusi na NATO na marekani.

Mwanamme mmoja dhidi ya vijambio wengi
 
Kanako saidiwa na mataifa haya..

1. USA
2.EU nzima

Yani kana saidiwa kumkabili Mrusi pekee! Kwa kifupi japo hakapo NATO lakini kanasaidiwa na mataifa zaidi ya 10 kumkabili mrusi!!

Ama kweli Mrusi si mtu mchezo!
Jamaa haelewi Hilo yeye anashangilia tu[emoji1][emoji1787]
 
Kwani ni kiasi gani ambacho kilikuwa kimetengwa na US ili kuhakikisha Urusi haishindi hii vita?.
The way you argue ni kama vile US iliweka certain Figure kwa ajili ya msaada Kwa Ukreni na sasa wamevuka hiyo figure.
Blankcheck,, nachomaanisha iwapo ukraine imepewa msaada wa kuzidi bajeti za kijeshi za nchi tatu kubwa,, lakini bado hawajamudu kukomboa nchi yao, inaonyesha wanakabiliwa na mtihani mkubwa sana,,
US alitumia dola trilion 3,afaghnistan na alifail,,
Ngoja tuone
 
Nafikiri Mrusi ni kati ya wale
Wazi
Nadhani Urusi ni kati ya wale wazungu wasiotahiriwa
 
Kwanza umedanganya kuhusu kiwango cha pesa ambacho US kashatumia Ukraine.
2:- US haikuweka amount fulani ya kutumia Ukraine hata tusema kuwa wamevuka kiwango walichojiweka ili kuidhibiti Urusi.

Na kuhusu Afghanistan na Urusi ni case mbili tofauti:-Taleban haikuwa jeshi kama JWZ bali chama Cha siasa kama CCM ama CHAUMA. kutaka kiwango kilichotumika Afghanistan ndicho kitumike kumdhibiti Mrusi ni sawa na kusema (indirectly) Taleban na Urusi ni sawa kiuwezo.
 
Taliban ilikua jeshi sio chama bro,, Talibani ndio walipindua akina AbdullRashid Dostam, hkimatyar na kuunda serikali,,
Pale ukraine, mmarekani atatumia pesa zaidi ya alizotumia Afaghnistan mara dufu
 
Pashto ni lugha ya kabila la wapashtun
 
Ha ha ha unanikumbusha disaster ya kutaka kuteka uwanja wa ndege pale Mrusi alipoteza 400 special soldiers kwa mkupuo.
Kuhusu Mrusi kuingia mji mkuu hiyo ilikua mtego, kaachiwa aingie kichinjioni, walichofanyiwa kitaandikwa kwenye vitabu vya historia, kufyekwa mpaka raha.
Kiukweli niliogopa sana nilipoona huo msafara mwanzo, sema kumbe Warusi walikua wanatumia mbinu za WlI kwenye vita vya kisasa, nilikua nafungua nyuzi humu walivyokua wanafyekwa hadi nilikua sipati usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…