Unashangaa hilo wapo mpaka wanaoa na kuzaa watoto na still wanalelewa kwao na wazee waoDuuuh, hatari Sana, hivi kijana wa 40 years bado upo Kwa baba?, au NI nyumba ya kijana anamlea Baba Yake?
Vipi kijana hakuwa na make???
Unajua mila na maisha ya uchagani? Wachaga wana mashamba ya ndizi + kahawa yanayoitwa ''vihamba'' ambako hujenga nyumba. Mara nyingi, mtoto wa kwanza wa kiume ndiye anarithishwa hilo eneo na kama mama yake na baba yake bado wako hai, anakaa nao na kuwatunza. Wazazi na mtoto wanakuwa na nyumba tofauti zinazojengwa kwenye hilo shamba.Duuuh, hatari Sana, hivi kijana wa 40 years bado upo Kwa baba?, au NI nyumba ya kijana anamlea Baba Yake?
Vipi kijana hakuwa na make???
Kwamba dogo alikuwa anadai urithi au?!!Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku.
Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya Olele,tarafa ya mashati wilayani Rombo baada ya baba Mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward kumuua mwanae wa kumzaa ajulikanae Kwa jina la Oscar mwenye umri wa miaka 40.
Hali inayooendelea muda huu kijijini hapa ni kuwa polisi wanafukua shimo alilofukiwa kijana huyo wakati Baba mzazi akiwa tayari kituo Cha polisi Kwa ajili ya Taratibu nyingine.
Hali jinsi ilivokuwa Hadi kujulikana....
Jana jioni Mzee Edward akiwa kwenye pombe baada ya pombe kumkolea ndipo alipomueleza mama mmoja ambae alikuwa anakunywa nae pombe hapo kilabuni. Ndipo mama huyo alipoita watu na kuwaelezea na Kisha watu hao kumuhoji Baba huyo na ndipo walipopiga simu polisi.
Majirani wanasema kuwa Baba huyo alikuwa akiishi yeye na mwanae huyo ambae Sasa ni marehemu na kwamba Mke wa Mzee Edward alishafariki siku nyingi.
Zinawekwa banghe?Zile pombe za rombo kupata mental issue ni rahisi 😥kamuua vibaya sana
Kama ni hivyo mzee alicheza kama peleWajomba zangu ni watu wakubwa bwashee nikikutajia unaweza sema ni chai ila nikukuthibitishia unaweza tetemeka😅😅 baba yangu japo hakua na kitu ila hakua Fala kuoa familia za kizembe🤣
Mzee sio Fala na wewe usiwe Fala ukaoa kiazi tuKama ni hivyo mzee alicheza kama pele
Hongera kwake
Lakin nimekuchek kule juu ndugu yangu angalia
Eti mtoto kwa baba hakui.Duuuh, hatari Sana, hivi kijana wa 40 years bado upo Kwa baba?, au NI nyumba ya kijana anamlea Baba Yake?
Vipi kijana hakuwa na make???
Dah ila rombo wanafanya kazi ya kuutetea uchaga wetu iwe ngumu sana japo nawapenda mno ni wapambanaji nafikiri kuliko wachaga wote🤔Majanga plus