Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹 Jamani tutatumia langu usijali..!!Atakubali kweli kuishi magomen huyu mtoto mzuri gheto lenyewe Lina godoro tu
😹😹😹 Jamani tutatumia langu usijali..!!Atakubali kweli kuishi magomen huyu mtoto mzuri gheto lenyewe Lina godoro tu
😹😹😹 Jamani si anaongea ukweli kwahiyo ulitaka anidanganye?Huwa sipendi watu wanaojikataa kama wewe , wewe ni binadamu na unawezo wowote mbele yako acha kuishi tu kwa imani chukua hatua.
Exactly warombo wanafanya kazi sijawahi ona.....Dah ila rombo wanafanya kazi ya kuutetea uchaga wetu iwe ngumu sana japo nawapenda mno ni wapambanaji nafikiri kuliko wachaga wote🤔
Wachaga wa rombo nawakubali mno nilivyo leo ni wao wamenitoa , nawakubali mno kwa juhudiExactly warombo wanafanya kazi sijawahi ona.....
Hilo siwezi semea huku Ila kuna familia zina ishu za ndani wengi hudhani pombe Ila hamna pombe hapo
Mbona Waarabu wanakaa kifamilia na hatushangai? au huwa hawana pesa za kuwenda kuanzisha maisha nje ya nyumbani?Unashangaa hilo wapo mpaka wanaoa na kuzaa watoto na still wanalelewa kwao na wazee wao
Kabisa kabisaWachaga wa rombo nawakubali mno nilivyo leo ni wao wamenitoa , nawakubali mno kwa juhudi
Utatuweza waafrika lkn hasa baada ya wengi kuijua shule, na kutoka kule kuishi extended family.....Mbona Waarabu wanakaa kifamilia na hatushangai? au huwa hawana pesa za kuwenda kuanzisha maisha nje ya nyumbani?
Ukiua mtu wenge lake si la kitoto lazima utasema tuBaba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku.
Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya Olele,tarafa ya mashati wilayani Rombo baada ya baba Mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward kumuua mwanae wa kumzaa ajulikanae Kwa jina la Oscar mwenye umri wa miaka 40.
Hali inayooendelea muda huu kijijini hapa ni kuwa polisi wanafukua shimo alilofukiwa kijana huyo wakati Baba mzazi akiwa tayari kituo Cha polisi Kwa ajili ya Taratibu nyingine.
Hali jinsi ilivokuwa Hadi kujulikana....
Jana jioni Mzee Edward akiwa kwenye pombe baada ya pombe kumkolea ndipo alipomueleza mama mmoja ambae alikuwa anakunywa nae pombe hapo kilabuni. Ndipo mama huyo alipoita watu na kuwaelezea na Kisha watu hao kumuhoji Baba huyo na ndipo walipopiga simu polisi.
Majirani wanasema kuwa Baba huyo alikuwa akiishi yeye na mwanae huyo ambae Sasa ni marehemu na kwamba Mke wa Mzee Edward alishafariki siku nyingi.
😀😀Huyu mzee Edward si ni mjomba wake na min -me huyu
Ingekuwa ughaibuni wangeanza kuchunguza hata hicho kifo cha mkeweMajirani wanasema kuwa Baba huyo alikuwa akiishi yeye na mwanae huyo ambae Sasa ni marehemu na kwamba Mke wa Mzee Edward alishafariki siku nyingi.
AMINA nakupenda sana😹😹😹 Jamani tutatumia langu usijali..!!
Kijana atakuwa kwenye kundi la kataa ndoa!Duuuh, hatari Sana, hivi kijana wa 40 years bado upo Kwa baba?, au NI nyumba ya kijana anamlea Baba Yake?
Vipi kijana hakuwa na make???
Wangekataza pombe muuaji wangempataje?Ni wakati sahihi wa kuthibiti unyonyaji wa pombe Rombo. Labda kuna swala la urithi.
Alikuwa ana kijana wake mwingine alikuwa anaumwa umwa yupo TU ndani baada ya kuchoka kumuuguza inasemekana alimuua, na hili limetokeza baada ya mauaji ya huyu mwanae mwingine.Ingekuwa ughaibuni wangeanza kuchunguza hata hicho kifo cha mkewe