kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Ni wakati sahihi wa kuthibiti unyonyaji wa pombe Rombo. Labda kuna swala la urithi.
Huyu mdada ni mrembo mno wala hana shida wewe saka pesa tu acha visingizio
😹😹😹 Naanzaje kukutoa kafara Beira wangu 😍
Mwambie huyo 😹😹Huyu mdada ni mrembo mno wala hana shida wewe saka pesa tu acha visingizio
Haijui dunia huyu mlokoleMwambie huyo 😹😹
Tuwazoee tuDah ila rombo wanafanya kazi ya kuutetea uchaga wetu iwe ngumu sana japo nawapenda mno ni wapambanaji nafikiri kuliko wachaga wote🤔
Kitu wasichojua wengi rombo kuna mpaka wakikuyu wakamba na wa taita🤔Tuwazoee tu
Alooo MUNGU saidiaHuyu mdada ni mrembo mno wala hana shida wewe saka pesa tu acha visingizio
Beibe wangu lamomy😹😹😹 Naanzaje kukutoa kafara Beira wangu 😍
Atakubali kweli kuishi magomen huyu mtoto mzuri gheto lenyewe Lina godoro tu
Huwa sipendi watu wanaojikataa kama wewe , wewe ni binadamu na unawezo wowote mbele yako acha kuishi tu kwa imani chukua hatua.Atakubali kweli kulala kuishi magomen huyu mtoto mzuri gheto lenyewe Lina godoro tu
Nakubali mzee kwanza sijawahi kuona umenipa dislike ndo leo huenda nimeyumba kweliHuwa sipendi watu wanaojikataa kama wewe , wewe ni binadamu na unawezo wowote mbele yako acha kuishi tu kwa imani chukua hatua.
For sure broNakubali mzee kwanza sijawahi kuona umenipa dislike ndo leo huenda nimeyumba kweli
Hiyo ni perfect combo.Kitu wasichojua wengi rombo kuna mpaka wakikuyu wakamba na wa taita🤔