Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

Huwa sipendi watu wanaojikataa kama wewe , wewe ni binadamu na unawezo wowote mbele yako acha kuishi tu kwa imani chukua hatua.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Jamani si anaongea ukweli kwahiyo ulitaka anidanganye?
 
Dah ila rombo wanafanya kazi ya kuutetea uchaga wetu iwe ngumu sana japo nawapenda mno ni wapambanaji nafikiri kuliko wachaga wote๐Ÿค”
Exactly warombo wanafanya kazi sijawahi ona.....

Hilo siwezi semea huku Ila kuna familia zina ishu za ndani wengi hudhani pombe Ila hamna pombe hapo
 
Exactly warombo wanafanya kazi sijawahi ona.....

Hilo siwezi semea huku Ila kuna familia zina ishu za ndani wengi hudhani pombe Ila hamna pombe hapo
Wachaga wa rombo nawakubali mno nilivyo leo ni wao wamenitoa , nawakubali mno kwa juhudi
 
Wachaga wa rombo nawakubali mno nilivyo leo ni wao wamenitoa , nawakubali mno kwa juhudi
Kabisa kabisa

Aseeh Rombo kwenye Hilo pongezi zao nyingi sana mkuu....

Huyo mzee kuua Kuna vitu ambavyo hatuvijui wazee walifanya pengine anajua au hajui , au mwenyewe alifanyia mtu, muda wa kulipia fidia ukifka lazima madai yalipwe.
 
Mbona Waarabu wanakaa kifamilia na hatushangai? au huwa hawana pesa za kuwenda kuanzisha maisha nje ya nyumbani?
Utatuweza waafrika lkn hasa baada ya wengi kuijua shule, na kutoka kule kuishi extended family.....

wengi sasa ni wachoyo, wabinafsi, mambo ni mabaya hasa
 
Ukiua mtu wenge lake si la kitoto lazima utasema tu
 
Majirani wanasema kuwa Baba huyo alikuwa akiishi yeye na mwanae huyo ambae Sasa ni marehemu na kwamba Mke wa Mzee Edward alishafariki siku nyingi.
Ingekuwa ughaibuni wangeanza kuchunguza hata hicho kifo cha mkewe
 
Ni wakati sahihi wa kuthibiti unyonyaji wa pombe Rombo. Labda kuna swala la urithi.
Wangekataza pombe muuaji wangempataje?
Gambe ndo imesaidia mtuhumiwa kujitaja, labda ungeshauri pombe itumiwe hata mahakamani ili kujua ukweli kwa haraka.
 
Ingekuwa ughaibuni wangeanza kuchunguza hata hicho kifo cha mkewe
Alikuwa ana kijana wake mwingine alikuwa anaumwa umwa yupo TU ndani baada ya kuchoka kumuuguza inasemekana alimuua, na hili limetokeza baada ya mauaji ya huyu mwanae mwingine.
Maelezo hayo ni Kwa mujibu wa majirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ