Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Hivi unadhani maisha ndiyo kitu cha kujivunia? Mende ana uhai, mbwa ana uhai pia. Ikiwa unajivunia uhai, wewe na mbwa au mende tofauti yake nini?

Money Money, Money is what makes a man to be contrasted from other animals.
Umepiga kwenye mshono,...acha watu wajifariji tu,....lakini pia ni vyema tukakumbuka kuoa au kuto kuoa ni maamuzi ya mtu BINAFSI,...
 
Kuoa ni kumsaidia majukumu mwanamke,huku yeye akipanga ni lini utakufa umwachie hizo mali zako.
Kwa mali gani mlizonazo 😹😹
Yani wanaume wa bongo mnanichekeshaga sana na hiyo kauli yenu ya wanawake kurithi mali zenu 🤣

Hizo nyumba za tope au mibuti yenu ya jeje??
Nyumba zenyewe za biskuti mnasaidiana kuzibumba sasa kuna shida gani ukifa mwenzio akiendelea kujikinga na mvua na jua 😹😹😹
 
Acha uzwazwa. Kwani maisha ya Ronaldo ni kipimo kwa kila mmoja?
 
Hapa unajaribu kujifariji tu , kumlinganisha binadamu grade A (Ronaldo) na wanyama. Kama Ronaldo ni mnyama, mimi na wewe tutakuwa kinyesi cha hao wanyama
 
Sasa ndio utuite pangu pakavu....?
 
Unajuaje kama sio Bwabwa
 
Huku kwetu Africa usipooa utaonekana chizi Fulani hivi.
Oyaa wanangu embu tuoaneni Tu 😂
 
AMBAYE ANAMLIPA DOLA 110000 KILA MWEZI KAMA MSHAHARA.
RONALD AMEFANYA ILE SOGEA TUISHI AMBAYO HATA BONGO INAFANYIKA SANA TU
We ndio umeongea point, Nado hataki kuja kudhulmiwa na hao malaya.....anawaweka kwenye Uchumba zone
 
Nani kakwambia furaha sio pesa.
"If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and jobless""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…