NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
Umepiga kwenye mshono,...acha watu wajifariji tu,....lakini pia ni vyema tukakumbuka kuoa au kuto kuoa ni maamuzi ya mtu BINAFSI,...Hivi unadhani maisha ndiyo kitu cha kujivunia? Mende ana uhai, mbwa ana uhai pia. Ikiwa unajivunia uhai, wewe na mbwa au mende tofauti yake nini?
Money Money, Money is what makes a man to be contrasted from other animals.