Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Hivi unadhani maisha ndiyo kitu cha kujivunia? Mende ana uhai, mbwa ana uhai pia. Ikiwa unajivunia uhai, wewe na mbwa au mende tofauti yake nini?

Money Money, Money is what makes a man to be contrasted from other animals.
Umepiga kwenye mshono,...acha watu wajifariji tu,....lakini pia ni vyema tukakumbuka kuoa au kuto kuoa ni maamuzi ya mtu BINAFSI,...
 
Kuoa ni kumsaidia majukumu mwanamke,huku yeye akipanga ni lini utakufa umwachie hizo mali zako.
Kwa mali gani mlizonazo 😹😹
Yani wanaume wa bongo mnanichekeshaga sana na hiyo kauli yenu ya wanawake kurithi mali zenu 🤣

Hizo nyumba za tope au mibuti yenu ya jeje??
Nyumba zenyewe za biskuti mnasaidiana kuzibumba sasa kuna shida gani ukifa mwenzio akiendelea kujikinga na mvua na jua 😹😹😹
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Acha uzwazwa. Kwani maisha ya Ronaldo ni kipimo kwa kila mmoja?
 
Akili Kisoda.Mbona wewe Hujaoa Na Huna Utajiri Kama Ronaldo? Kwa Kukusaidia Matajiri Wanaomlipa Mshahara Huyo Mumeo Wameoa Wakiwa na Miaka Ishirini Tu,Arabuni Hakuna Mbuga Za Wanyama Hivyo Hao Akina Ronaldo Na wenzao Wanatumika kama Vivutio Vya Matajiri Wakiwa Wanakimbia kimbia Uwanjani Kugombea Mpila Mmoja Ni Sawa Na Unavyoona Chui Akikimbiza Swala Pale Serengeti.
Hapa unajaribu kujifariji tu , kumlinganisha binadamu grade A (Ronaldo) na wanyama. Kama Ronaldo ni mnyama, mimi na wewe tutakuwa kinyesi cha hao wanyama
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Sasa ndio utuite pangu pakavu....?
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Unajuaje kama sio Bwabwa
 
Huku kwetu Africa usipooa utaonekana chizi Fulani hivi.
Oyaa wanangu embu tuoaneni Tu 😂
 
1. Furaha sio pesa
2. Furaha sio kuoa.
Maisha hayatabiriki.

Sulemaini aliwahi kusema hivi;
Jambo la ajabu nimeona, tajiri aenda kwa miguu lakini masikini akibebwa na farasi.
ukiyajua haya utashangaa kuwa wala pesa sio mara zote ni chanzo cha furaha

Nikiwa na mke/mwanamke mweleqa, mwenye akili njema tukawa na bond nzuri...kwangu hii ni zaidi ya furaha.
Hii itanifanya nifikiri na kupanga mipango yangu kwa utulivu na umakini.
kila mtu ana chanzo chake cha furaha.

Kwa walio miliki pesa nyingi kiasi kuanzia angalau bank isome kuanzia 100m watanielewa kuwa kuna vimateso vinakufuata na ukosefu wa amani halisi.

huwezi nielewa hadi umenielewa
Nani kakwambia furaha sio pesa.
"If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and jobless""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom