Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Bibilia na Quran zimesema.Acha fujo kijana.
Mbona katiba haijasema hayo achilia mbali bible na quran?
Dunia imejaa?Bibilia na Quran zimesema.
Bibilia ilisema zaeni mkaijaze dunia, maana yake dunia ikijaa mnatakiwa kuacha kuzaa.
Sasa ni muda mrefu dunia ilishajaa wajinga bado wanaendelea kuzaa tu.
...........Mama yako asingeolewa ungezaliwa wewe?Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
ndugu yangu we Fanya mambo yako tu ukitaka uwapangilie vichaa wa JF utaumia akili bure!Tanzania wajinga hawaishi .
Baba yake na mtoa mada alikuwa tajiri sana hadi akqfikia maamuzi ya kumuoa mama yake na mtoa mada.
Sasa mkuu huoni kwamba unamuonea tu kwa lawama hizo?Ni mama yangu mzazi..
Nimekaa Katavi miaka mingi sana, hakuna sehemu nisiyoijua.Dunia imejaa?
Nenda Katavi ujionee mwenyewe.
Watu 2 wakilewa familia ni tofauti Kanisa na mtu mmoja. Bado tuoe, tuzae, na kuleaKuitunza na kulea watoto wangu kwani kuna ubaya gani?? Siwezi kugawana Mali zangu na toto la mtu mwingine eti kisa ndoa..
Hivi wengine huwa mnafikiriaje?...........Mama yako asingeolewa ungezaliwa wewe?
Mkuu, mimi siamini kabisa katika radhi sijui laana. I believe in humanity and respect. Baada ya kupata kiinua mgongo chake, kwanini hakunilipa deni langu kiasi kikubwa cha pesa??Sasa mkuu huoni kwamba unamuonea tu kwa lawama hizo?
Yeye alitimiza wajibu wake wa kukuzaa, kukutunza, kukusomesha hadi ukakua.
Ulivyojitegemea hawajibiki na wewe tena kwa lolote.
Na akifa, mabaki ya mali zake kama baba yenu naye tayari ashatangulia mbele za haki, basi haki yenu ni kugawana urithi.
Akiwa hai wewe kwa sasa ndiye unawajibika kumtunza, kumkana ni kukwepa majukumu na wajibu wako kwa mzazi.
Angalia, usije ukakosa radhi ya mama mkuu.
Tutazaa na kulea lakini sio kuoa. Mali tunazitafuta kwa nguvu sana alafu lije tu toto la mtu kuzichukua kiulaini?? Ahhh wapi??Watu 2 wakilewa familia ni tofauti Kanisa na mtu mmoja. Bado tuoe, tuzae, na kulea
Kwa hiyo kujaa kwako wewe PhD holder inamaanisha 45%?Nimekaa Katavi miaka mingi sana, hakuna sehemu nisiyoijua.
Kwa hiyo kuijaza dunia, kwako wewe Ngumbaru, ni hadi kila sehemu ifurike watu pasiwepo hata sehemu ya kupita?
Hizi akili za hivi mnazitoaga wapi?
Mbona ni akili za ki ngedere sana!
Kwani kusudi la wewe kuwepo na kuishi hapa duniani ni kwa ajili ya Ronaldo?Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Sasa haujaeleza kama ulikuwa ukimdai.Mkuu, mimi siamini kabisa katika radhi sijui laana. I believe in humanity and respect. Baada ya kupata kiinua mgongo chake, kwanini hakunilipa deni langu kiasi kikubwa cha pesa??
Okay. I'm sorry bro..Sasa haujaeleza kama ulikuwa ukimdai.
Uliandika kifupi mno kama vile ulimchukia baada ya kushindwa kukugawia mafao yake ya uzeeni, ndiyo maana nikaandika niliyoyaandika.
Ndiyo.Kwa hiyo kujaa kwako wewe PhD holder inamaanisha 45%?
Mkaijaze dunia.Ndiyo.
Hiyo 65 asilimia inayobaki ni kwa ajili ya milima, mashamba, kunguru, swala, mito, kenge na mjusi, fisimasi, mapori na misitu nakadhalika.
Unataka kujaza dunia ijae hadi pakosekane hadi sehemu ya kuweka viwanja vya michezo?
Siyo maneno yangu, hayo ni maneno aliyoyatamka yeye alipopelekwa mahakamani akishutumiwa kuishi na mke wa mtu, alichosema ni kwamba anaishi na mchumba wake anayeitwa JosephineHuwa mnapotosha maana ya maneno ya kiswahili saazingine bila kujua.
Kwa maana kama limekushinda Moja unaachia yote? Eti mna usafi gani, we mchàfu endelea kujichafua usitake tunuke mavi wakati umejinyea mwenyewe, ushindwe kuoa wewe utushawishi na sisi tusioe, we subiri Ronaldo aoe ndo uoe na weweDhambi haipo kwenye zinaa tu. Dhambi inapatikana kwa kuwaza, kunena na kutenda.
Mna usafi gani hadi useme mmeoa kukwepa kumuudhi mwenyezi Mungu?
Usijivunie kuzaliwa, hata panya wanazaliwa............Mama yako asingeolewa ungezaliwa wewe?