Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
...........Mama yako asingeolewa ungezaliwa wewe?
 
Tanzania wajinga hawaishi .

Baba yake na mtoa mada alikuwa tajiri sana hadi akqfikia maamuzi ya kumuoa mama yake na mtoa mada.
ndugu yangu we Fanya mambo yako tu ukitaka uwapangilie vichaa wa JF utaumia akili bure!
 
Ni mama yangu mzazi..
Sasa mkuu huoni kwamba unamuonea tu kwa lawama hizo?

Yeye alitimiza wajibu wake wa kukuzaa, kukutunza, kukusomesha hadi ukakua.

Ulivyojitegemea hawajibiki na wewe tena kwa lolote.

Na akifa, mabaki ya mali zake kama baba yenu naye tayari ashatangulia mbele za haki, basi haki yenu ni kugawana urithi.

Akiwa hai wewe kwa sasa ndiye unawajibika kumtunza, kumkana ni kukwepa majukumu na wajibu wako kwa mzazi.

Angalia, usije ukakosa radhi ya mama mkuu.
 
Dunia imejaa?
Nenda Katavi ujionee mwenyewe.
Nimekaa Katavi miaka mingi sana, hakuna sehemu nisiyoijua.

Kwa hiyo kuijaza dunia, kwako wewe Ngumbaru, ni hadi kila sehemu ifurike watu pasiwepo hata sehemu ya kupita?

Hizi akili za hivi mnazitoaga wapi?

Mbona ni akili za ki ngedere sana!
 
Mkuu, mimi siamini kabisa katika radhi sijui laana. I believe in humanity and respect. Baada ya kupata kiinua mgongo chake, kwanini hakunilipa deni langu kiasi kikubwa cha pesa??
 
Kwa hiyo kujaa kwako wewe PhD holder inamaanisha 45%?
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kwani kusudi la wewe kuwepo na kuishi hapa duniani ni kwa ajili ya Ronaldo?
 
Mkuu, mimi siamini kabisa katika radhi sijui laana. I believe in humanity and respect. Baada ya kupata kiinua mgongo chake, kwanini hakunilipa deni langu kiasi kikubwa cha pesa??
Sasa haujaeleza kama ulikuwa ukimdai.

Uliandika kifupi mno kama vile ulimchukia baada ya kushindwa kukugawia mafao yake ya uzeeni, ndiyo maana nikaandika niliyoyaandika.
 
Huwa mnapotosha maana ya maneno ya kiswahili saazingine bila kujua.
Siyo maneno yangu, hayo ni maneno aliyoyatamka yeye alipopelekwa mahakamani akishutumiwa kuishi na mke wa mtu, alichosema ni kwamba anaishi na mchumba wake anayeitwa Josephine
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Dhambi haipo kwenye zinaa tu. Dhambi inapatikana kwa kuwaza, kunena na kutenda.

Mna usafi gani hadi useme mmeoa kukwepa kumuudhi mwenyezi Mungu?
Kwa maana kama limekushinda Moja unaachia yote? Eti mna usafi gani, we mchàfu endelea kujichafua usitake tunuke mavi wakati umejinyea mwenyewe, ushindwe kuoa wewe utushawishi na sisi tusioe, we subiri Ronaldo aoe ndo uoe na wewe
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Back
Top Bottom